Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


China yaiambia Marekani itaendelea kujenga

Naibu Kamanda wa jeshi la wanamaji la China amemuambia waziri wa usalama wa Marekani kuwa China haitasitisha mradi wake Baharini

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

CHINA YALAANI KITENDO CHA MAREKANI KUKATAA KUTOA VIBALI VYA KUINGIA NCHI HIYO WANAFUNZI WA CHINA

China yalaani kitendo cha Marekani kukataa kutoa vibali vya kuingia nchi hiyo wanafunzi wa ChinaMsemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amelaani kitendo cha Marekani kukataa kutoa vibali vya kuingia wanafunzi wa China katika nchi hiyo.Zhao Lijian amesema kuwa vitisho vya serikali ya Marekani dhidi ya wanafunzi wa China sambamba na kukataa kuwapatia viza, ni kinyume na uwazi na uhuru ambao Washington imekuwa ikidai kuutekeleza. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China ameitahadharisha Marekani isijaribu kukiuka kwa namna yoyote haki za wanafunzi wa China, kwa kuwa kitendo hicho...

 

11 years ago

Mwananchi

Taasisi ya Marekani kujenga maktaba sita nchini

Taasisi isiyo ya kiserikali ya The Crawford Smith Foundation ya Marekani, imesema ina mpango wa kujenga maktaba sita nyingine katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania.

 

10 years ago

Dewji Blog

Bodi ya UTT-PID na Menejimenti yake ilipozuru China kwa ziara ya siku 5 ya kujenga uzoefuu yafana

3.jpg pichaBodi ya taasisi ya UTT-PID na  Menejimenti yake wakia katika picha ya pamoja na uongozi wa kampuni ya Chengdu Engineering Corporation wakati wa picha ya pamoja.   Waliosimama mbele (wa pili kutoka kulia) ni mjumbe wa bodi Bi. Janeth Mmari, akifuatiwa na Mkurugenzi Mkuu wa UTT-PID, Dr. Gration Kamugisha, akifuatiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya UTT-PID, Mrs Elpina Mlaki. Wengine ni wajumbe wa bodi hiyo ya UTT-PID pamoja na wenyeji wao wa nchini humo 

 Na Mwandishi Maalum

Bodi ya Taasisi ya Miradi...

 

11 years ago

BBCSwahili

Je Marekani inahofia China Afrika?

Rais Barack Obama wa Marekani, wiki hii anatarajiwa kukutana na viongozi wa nchi zipatazo 50 za Afrika, mjini Washngton.

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani na China kupunguza hewa chafu

Marekani na China zimeweka wazi nia yao ya kupunguza kiasi cha hewa chafu inayozalishwa na nchi hizo

 

10 years ago

BBCSwahili

Benki ya China yaitia wasiwasi Marekani

Marekani imeelezea wasiwasi wake kufuatia uamuzi wa Uingereza kuwa nchi ya kwanza Magharibi kujiunga na benki ya China.

 

9 years ago

BBCSwahili

China:Marekani inachochea mataifa ya Asia

Uchina imeishutumu Marekani kuwa inafanya uchochezi wa kisiasa, kwa kupiga doria katika eneo linalozozaniwa la bahari ya kusini ya Uchina

 

5 years ago

CCM Blog

RAIA WA CHINA MTAFITI WA CORONA AUAWA MAREKANI

Bing LiuHaki miliki ya pichaUNIVERSITY OF PITTSBURGHMauaji ya raia wa China, mtafiti wa masuala ya virusi vya corona kwenye ardhi ya Marekani yamesababisha nadharia mbalimbali duaniani kuwa kuna sababu iliyojificha kuhusu kifo chake.Bing Liu, profesa msaidizi mwenye miaka 37 katika Chuo Kikuu cha Tiba cha Pittsburgh, Marekani alipatikana akiwa amekufa nyumbani kwake siku ya Jumamosi.Wenzake walisema alikuwa karibu kupata "matokeo muhimu" ya tafiti kuhusu Covid-19, tukio lililosababisha kuwepo kwa...

 

10 years ago

GPL

MAREKANI, CHINA KUSAIDIA VITA DHIDI YA UJANGILI

Mkurugenzi wa African Wildlife Foundation, Dr. Patrick Bergin, akizungumza katika mkutano huo. Mkurugenzi Mtendaji wa Wildaid akizungumza. Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu,…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani