Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIA WA CHINA MTAFITI WA CORONA AUAWA MAREKANI

Bing LiuHaki miliki ya pichaUNIVERSITY OF PITTSBURGHMauaji ya raia wa China, mtafiti wa masuala ya virusi vya corona kwenye ardhi ya Marekani yamesababisha nadharia mbalimbali duaniani kuwa kuna sababu iliyojificha kuhusu kifo chake.Bing Liu, profesa msaidizi mwenye miaka 37 katika Chuo Kikuu cha Tiba cha Pittsburgh, Marekani alipatikana akiwa amekufa nyumbani kwake siku ya Jumamosi.Wenzake walisema alikuwa karibu kupata "matokeo muhimu" ya tafiti kuhusu Covid-19, tukio lililosababisha kuwepo kwa...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona:Rwanda kuwarejesha nyumbani raia wake waliokwama Ulaya na Marekani.

Raia wa Rwanda waliokwama Marekani na Ulaya kutokana na marufuku zilizowekwa za kudhibiti maambukizi wataanza kurudishwa nyumbani.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Nadharia za uongo kuhusu virusi vya corona kati ya Marekani na China

Tangu mlipuko wa virusi vya corona kutokea nadharia zisizo za kweli kuhusu chimbuko na ukubwa wa janga la corona ni miongoni mwa yaliyoenea kwenye mitandao.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Marekani yaipiku Italia na China katika kesi za maambukizi ya corona duniani

Marekani imethibishwa kuwa na maambukizi mengi zaidi ya corona kuliko nchi nyingine yeyote duniani, kwa kuwa na visa zaidi ya 85,500.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: China yaionya Marekani dhidi ya kusababisha vita baridi

Waziri wa masuala ya kigeni nchini China ameishutumu Marekani kwa kueneza dhana potofu na uongo kuhusu virusi vya corona hatua inayozua hofu kati ya mataifa hayo mawili.

 

5 years ago

BBCSwahili

Kenya: Raia alichapwa viboko na raia wa China baada ya kusemekana alichelewa kazini

Kenya raia wanne wa Uchina wamekamatwa na polisi Kenya baada ya kusambaa kwa video mtandaoni ikionesha mkenya akichapwa viboko.

 

5 years ago

Michuzi

MTAFITI WA DAWA ZA MITISHAMBA AIOMBA SERIKALI KUICHUNGUZA DAWA YAKE YA CORONA ALIYOIGUNDUA.

Na Woinde Shizza ,ARUSHA
Mtafiti wa Dawa za asili aliyejulikana kwa jina la Rose Roberty (changa Muja) ameiomba Serikali kumsaidia kupima dawa aliyogundua na kuifanyia majaribio kuona kama inatibu ugonjwa wa Corona (Covid-19)
Akiongea na waandishi wa habari  leo  nyumbani kwake,Rose alieleza kuwa  ameweza kugundua dawa ambayo inaweza ikatibu ugonjwa huu ambao unaotikisa dunia ,na anaimani kabisa dawa hiyo itaweza kuponya ugonjwa huo.
Alisema dawa hiyo inatokana na mchanganyiko wa miti shamba...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Mapambano ya nyuma ya pazia kati ya Marekani na China baada ya mlipuko wa virusi vya corona

Virusi vya corona vinaweza kuthibitisha kati ya mataifa hayo yenye nguvu duniani nani anapaswa kuwa juu ya mwingine

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Uhasama kati ya Marekani na China wajitokeza katika kukabiliana na mlipuko huo Afrika

Bara la Afrika linaendelea kuwa ulingo wa vita baridi kati ya Washington na Beijing.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Taasisi za utafiti Marekani zatahadharishwa juu ya wizi wa data unaodaiwa kuhusisha China

Wadukuzi wanaohusishwa na China wanalenga mashirika yanayofanya utafiti wa janga la Covid-19, Maafisa wa Marekani wanasema.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani