MTAFITI WA DAWA ZA MITISHAMBA AIOMBA SERIKALI KUICHUNGUZA DAWA YAKE YA CORONA ALIYOIGUNDUA.
![](https://1.bp.blogspot.com/-_TC1iDkUOLk/XtFLb--XwZI/AAAAAAALsA8/T9EEsUiZEa0e1LY9gFB_DVP2sm3ORSFlQCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200529-WA0082.jpg)
Na Woinde Shizza ,ARUSHA
Mtafiti wa Dawa za asili aliyejulikana kwa jina la Rose Roberty (changa Muja) ameiomba Serikali kumsaidia kupima dawa aliyogundua na kuifanyia majaribio kuona kama inatibu ugonjwa wa Corona (Covid-19)
Akiongea na waandishi wa habari leo nyumbani kwake,Rose alieleza kuwa ameweza kugundua dawa ambayo inaweza ikatibu ugonjwa huu ambao unaotikisa dunia ,na anaimani kabisa dawa hiyo itaweza kuponya ugonjwa huo.
Alisema dawa hiyo inatokana na mchanganyiko wa miti shamba...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili12 May
Virusi vya corona: Je, dawa za mitishamba zina nafasi katika mapambano dhidi ya corona?
5 years ago
BBCSwahili13 May
Virusi vya corona: Rais wa Madagascar Rajoelina amewashutumu wakosoaji wa dawa ya mitishamba
5 years ago
BBCSwahili27 Apr
Virusi vya corona: Senegal yakanusha kuagiza dawa ya mitishamba kutoka Madagascar
5 years ago
BBCSwahili29 May
Virusi vya corona: 'Sina mpango wa kuanzisha sindano za dawa ya mitishamba', asema Rajoelina
5 years ago
BBCSwahili06 May
Virusi vya corona: Umoja wa Afrika kuchunguza ufanisi na uchunguzi wa dawa ya mitishamba ya Madagascar
10 years ago
Mtanzania13 Aug
Jaguar aiomba Serikali ipambane na dawa za kulevya
NAIROBI, Kenya
MSANII wa muziki nchini Kenya, Charles Kanyi ‘Jaguar’, ameiomba Serikali nchini humo ianzishe mashindano ya shule ili iondoe muda wa wanafunzi kutumia dawa za kulevya.
Jaguar alisema vijana wengi wanaokimbia shule wanakimbilia vijiweni kwa sababu hakuna michezo lakini kama michezo itaanzishwa katika shule itaondoa wanafunzi kukimbilia vijiweni.
“Serikali iangalie jinsi ya kuanzisha michezo shuleni ili kuwafanya vijana wajiingize kwenye michezo hiyo badala ya kurudi mitaani na...
5 years ago
BBCSwahili03 May
Virusi vya corona: Je, Madagascar wamepata dawa ya mitishamba kutibu virusi vya corona?
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-FjC5wpIr2sE/XrJkH0GlG1I/AAAAAAALpSQ/2OzXxtxjenUEaLJdhV6xmHvnXRXT3jL-gCLcBGAsYHQ/s72-c/_112156177_530d9425-26b8-40c1-b8dd-c3e13ed85728.jpg)
Umoja wa Afrika kuchunguza ufanisi wa dawa ya mitishamba ya Madagascar
![](https://1.bp.blogspot.com/-FjC5wpIr2sE/XrJkH0GlG1I/AAAAAAALpSQ/2OzXxtxjenUEaLJdhV6xmHvnXRXT3jL-gCLcBGAsYHQ/s640/_112156177_530d9425-26b8-40c1-b8dd-c3e13ed85728.jpg)
AU imesema kuwa Kamishna wa tume ya Umoja wa Afrika inayohusika na masuala ya kijamii Amira ElFadil alifanya mazungumzo na balozi wa Madagascar nchini Ethiopia Eric Randrianantoandro tarehe 30 April na wameafikiana kuwa nchi wanachama wataupatia maelezo muhimu Muungano wa Afrika...
9 years ago
MichuziMSD kuweka nembo za Serikali kwenye dawa zake, wizi wa dawa kudhibitiwa
Katika kulitekeleza hilo, Mkurugenzi wa Bohari ya Dawa (MSD),Cosmas Mwaifwani aliagizwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Donan Mmbando kwa niaba ya Rais, kuhakikisha kuwa dawa zote za Serikali zinakuwa na utambulisho...