Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Umoja wa Afrika kuchunguza ufanisi wa dawa ya mitishamba ya Madagascar

Umoja wa Afrika (AU) unafanya mazungumzo na Jamuhuri ya Madagascar, ili kupata data za kiufundi kuhusu usalama na ufanisi wa dawa ya mitishamba iliyotangazwa hivi karibuni ambayo ilidai inazuwia na kutibu Covi-19.

AU imesema kuwa Kamishna wa tume ya Umoja wa Afrika inayohusika na masuala ya kijamii Amira ElFadil alifanya mazungumzo na balozi wa Madagascar nchini Ethiopia Eric Randrianantoandro tarehe 30 April na wameafikiana kuwa nchi wanachama wataupatia maelezo muhimu Muungano wa Afrika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Umoja wa Afrika kuchunguza ufanisi na uchunguzi wa dawa ya mitishamba ya Madagascar

Umoja wa Afrika (AU) unafanya mazungumzo na Jamuhuri ya Madagascar, ili kupata data za kiufundi kuhusu usalama na ufanisi wa dawa ya mitishamba iliyotangazwa hivi karibuni ambayo ilidai inazuwia kutibu Covi-19.

 

5 years ago

CCM Blog

UMOJA WA AFRIKA KUCHUNGUZA DAWA YA CORONA YA MADAGASCAR


Umoja wa Afrika (AU) unafanya mazungumzo na Jamuhuri ya Madagascar, ili kupata data za kiufundi kuhusu usalama na ufanisi wa dawa ya mitishamba iliyotangazwa hivi karibuni ambayo ilidai inazuwia na kutibu Covi-19.
AU imesema kuwa Kamishna wa tume ya Umoja wa Afrika inayohusika na masuala ya kijamii Amira ElFadil alifanya mazungumzo na balozi wa Madagascar nchini Ethiopia Eric Randrianantoandro tarehe 30 April na wameafikiana kuwa nchi wanachama wataupatia maelezo muhimu Muungano wa Afrika...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Senegal yakanusha kuagiza dawa ya mitishamba kutoka Madagascar

Senegali imekanusha madai kwamba imeagiza kile ambacho kinasemekana ni dawa ya virusi vya corona huko Madagascar

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Rais wa Madagascar Rajoelina amewashutumu wakosoaji wa dawa ya mitishamba

Rais wa Madagascar Rajoelina amesema kwamba wakosoaji wa dawa ya mitishamba kutoka taifa hilo wanaikosoa kwasababu ya ubwenyenye

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je, Madagascar wamepata dawa ya mitishamba kutibu virusi vya corona?

Rais wa Madagasca ametangaza dawa ya kunywa ya mitishamba inayotokana na mmea wa pakanga pamoja na mimea mingine inayoweza kutibu maambukizi ya virusi vya corona.

 

5 years ago

Michuzi

MTAFITI WA DAWA ZA MITISHAMBA AIOMBA SERIKALI KUICHUNGUZA DAWA YAKE YA CORONA ALIYOIGUNDUA.

Na Woinde Shizza ,ARUSHA
Mtafiti wa Dawa za asili aliyejulikana kwa jina la Rose Roberty (changa Muja) ameiomba Serikali kumsaidia kupima dawa aliyogundua na kuifanyia majaribio kuona kama inatibu ugonjwa wa Corona (Covid-19)
Akiongea na waandishi wa habari  leo  nyumbani kwake,Rose alieleza kuwa  ameweza kugundua dawa ambayo inaweza ikatibu ugonjwa huu ambao unaotikisa dunia ,na anaimani kabisa dawa hiyo itaweza kuponya ugonjwa huo.
Alisema dawa hiyo inatokana na mchanganyiko wa miti shamba...

 

11 years ago

Mwananchi

Kushuka kwa elimu Afrika Mashariki, dawa ni umoja

Tukubaliane kwanza kwamba, wazazi wote Afrika Mashariki tungependakuwarithisha watoto na wajukuu zetu elimu na nchi bora zaidi kuliko tulizo nazo hivi sasa .

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: 'Sina mpango wa kuanzisha sindano za dawa ya mitishamba', asema Rajoelina

Rais wa Madagascar Andry Rajoelina amebadilisha msimamo wake kuhusu dawa ya nchi yake anayodai kuwa na uwezo wa kutibu corona.

 

10 years ago

BBCSwahili

Umoja wa Mataifa kuchunguza kashfa

Umoja wa Mataifa umeunda kamati huru kuchunguza kashfa ya udhalilishaji watoto nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani