Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UMOJA WA AFRIKA KUCHUNGUZA DAWA YA CORONA YA MADAGASCAR


Umoja wa Afrika (AU) unafanya mazungumzo na Jamuhuri ya Madagascar, ili kupata data za kiufundi kuhusu usalama na ufanisi wa dawa ya mitishamba iliyotangazwa hivi karibuni ambayo ilidai inazuwia na kutibu Covi-19.
AU imesema kuwa Kamishna wa tume ya Umoja wa Afrika inayohusika na masuala ya kijamii Amira ElFadil alifanya mazungumzo na balozi wa Madagascar nchini Ethiopia Eric Randrianantoandro tarehe 30 April na wameafikiana kuwa nchi wanachama wataupatia maelezo muhimu Muungano wa Afrika...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Umoja wa Afrika kuchunguza ufanisi na uchunguzi wa dawa ya mitishamba ya Madagascar

Umoja wa Afrika (AU) unafanya mazungumzo na Jamuhuri ya Madagascar, ili kupata data za kiufundi kuhusu usalama na ufanisi wa dawa ya mitishamba iliyotangazwa hivi karibuni ambayo ilidai inazuwia kutibu Covi-19.

 

5 years ago

Michuzi

Umoja wa Afrika kuchunguza ufanisi wa dawa ya mitishamba ya Madagascar

Umoja wa Afrika (AU) unafanya mazungumzo na Jamuhuri ya Madagascar, ili kupata data za kiufundi kuhusu usalama na ufanisi wa dawa ya mitishamba iliyotangazwa hivi karibuni ambayo ilidai inazuwia na kutibu Covi-19.

AU imesema kuwa Kamishna wa tume ya Umoja wa Afrika inayohusika na masuala ya kijamii Amira ElFadil alifanya mazungumzo na balozi wa Madagascar nchini Ethiopia Eric Randrianantoandro tarehe 30 April na wameafikiana kuwa nchi wanachama wataupatia maelezo muhimu Muungano wa Afrika...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli atuma ndege Madagascar kuchukua 'dawa ya corona'

Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli leo Jumapili Mei 3 amesema atatuma ndege Madagascar kwenda kufuata dawa ya mitishamba ambayo rais wa nchi hiyo anadai kuwa inatibu corona.

 

5 years ago

CCM Blog

TANZANIA YAPEWA NA MADAGASCAR MSAADA WA DAWA YA CORONA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi na Waziri wa Mambo ya Nje wa Madagascar Tehindrazanarivelo Djacoba As Oliva wakinywa dawa ya kukinga na kutibu ugonjwa wa Corona wakati akipokea msaada wa dawa hiyo ulitolewa na Madagascar kwa Tanzania, jana.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akipokea kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Madagascar Tehindrazanarivelo Djacoba As Oliva msaada wa dawa ya...

 

5 years ago

Michuzi

MADAGASCAR YAIPATIA TANZANIA MSAADA WA DAWA YA CORONA

Tanzania imesema haijalegalega wala kujitenga katika kupambana na maradhi ya COVID – 19  na badala yake imetoa uongozi madhubuti katika kuratibu na kuunda timu ya wataalamu wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC kuandaa muongozo na utaratibu wa kukabiliana na ugonjwa huo ikiwa ni pamoja na kutafuta njia za kupunguza nguvu ama kuleta tiba ya COVID – 19.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi ameyasema hayo wakati akipokea msaada...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Tanzania yapokea shehena ya 'Dawa' ya Madagascar

Tanzania imethibitisha kupokea shehena ya dawa ya mitishamba kutoka Madagascar inayodaiwa kutibu corona.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI PROF. KABUDI AWASILI NCHINI MADAGASCAR KUCHUKUA DAWA YA CORONA


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi wa kulia akinywa dawa ya kutibu ugonjwa wa virusi vya corona




Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Madagascar Mhe. Tehindrazanarivelo Djacoba As Oliva mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Antananarivo kwa ajili ya kupokea msaada wa dawa ya kutibu na kukinga ugonjwa wa COVID-19...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Senegal yakanusha kuagiza dawa ya mitishamba kutoka Madagascar

Senegali imekanusha madai kwamba imeagiza kile ambacho kinasemekana ni dawa ya virusi vya corona huko Madagascar

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Idadi ya walioambukizwa yaongezeka Madagascar licha ya kuwa na 'dawa'

Idadi ya wagonjwa wa corona inaendelea kuongezeka Madagascar licha ya nchi hiyo kudai kuwa imepata ''dawa'' ya kukabiliana na maradhi hayo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani