BENKI YA CRDB YALETA UFANISI KATI YA WAFANYABIASHARA, WAWEKEZAJI WA CHINA NA TANZANIA
![](http://3.bp.blogspot.com/-aWw3rEjKijQ/U_xUEK0mUuI/AAAAAAABGW8/qH7XCKes_CA/s72-c/Pg.2.jpg)
Meneja Uhusiano wa Benki ya CRDB anayeshughulika na huduma ya China Deski, Ibrahim Masahi (kulia), akitoa ufafanuzi kuhusu huduma maalum za kibenki kwa ajili ya kusaidia wafanyabiashara na wawekezaji wa China na Tanzania, wakati wa maonyesho ya bidhaa za China yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wateja wakisoma vipeperushi vyenye taarifa muhimu za Benki ya CRDB kuhusu huduma maalum ya China Deski.
Baadhi ya watu waliofika katika banda la CRDB wakati wa maonyesho ya bidhaa za...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziBENKI YA CRDB YADHAMINI KONGAMANO LA WAWEKEZAJI MKOANI SONGWE
11 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/01/211.jpg)
KAMPUNI YA VIJANA WA KITANZANIA YA (CHINA WORD BUZ) KUWAKOMBOA WAFANYABIASHARA WADOGO NA WA KATI
10 years ago
MichuziJARIDA LA EUROMONEY LA UINGEREZA LATOA TUZO YA UFANISI KWA BENKI YA NMB TANZANIA
11 years ago
Michuzimakamu wa rais wa china,Li Yuanchao afungua mkutano wa uwekezaji kati ya tanzania na china jijini Dar leo
9 years ago
MichuziWAFANYAKAZI WA BENKI YA CRDB WAKISHIRIKI MICHEZO MBALIMBALI KATIKA SIKU YA FAMILIA YA CRDB
Watoto wakifurahia michezo mbalimbali katika viwanja vya Olasiti Garden
leo katika sherehe za siku ya familia ya CRDB ambazo hufanyika kila mwaka
na kuhudhuriwa na familia za wafnayakazi wa benki pamoja na familia za
wateja.
KWA PICHA...
11 years ago
Mwananchi26 Jun
Wafanyabiashara Tanzania, China wajengeana uwezo
10 years ago
MichuziBENKI YA UWEKEZAJI YA ULAYA (E.I.B), YAIPIGA JEKI BENKI YA CRDB
Akizungumza jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB, Dk. Charles Kimei alisema benki yake kwa kushirikiana na EIB imeamuwa kusaidia jamii nchini hivyo mkataba huo ni mwanzo wa ushirikiano endelevu utakaohamasisha upatikanaji wa ajira.
Alisema kufanyakazi na benki ya EIB...