Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafanyabiashara Tanzania, China wajengeana uwezo

Kongamano la biashara lililomalizika jana nchini limewawezesha wafanyabiashara nchini kukutana ana kwa ana na wenzao wa China, kubadilishana taarifa na kujenga mtandao wa kibiashara kwa faida yao na nchi kwa ujumla.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WARSHA YA WAFANYABIASHARA WA TANZANIA NA CHINA YAFANYIKA JIJINI DAR LEO.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko Sekta Binafsi Nchini (TPSF),Godfrey Simbeye akizungumza na waandishi wa habari katika warsha iliyowakutanisha wafanyabiashara wa China na Watanzania iliyofanyika leo katika Hoteli ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam.  Mwenyekiti wa  Baraza la Biashara la China na Afrika (CABC) Tawi la Tanzania,Xian Ding akizungumza na waandishi wa habari  katika warsha iliyowakutanisha wafanyabiashara wa China na Watanzania iliyofanyika leo katika Hoteli ya Hyatt Regency...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YALETA UFANISI KATI YA WAFANYABIASHARA, WAWEKEZAJI WA CHINA NA TANZANIA

 Meneja Uhusiano wa Benki ya CRDB anayeshughulika na huduma ya China Deski, Ibrahim Masahi (kulia), akitoa ufafanuzi kuhusu huduma maalum za kibenki kwa ajili ya kusaidia wafanyabiashara na wawekezaji wa China na Tanzania, wakati wa maonyesho ya bidhaa za China yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.    Baadhi ya wateja wakisoma vipeperushi vyenye taarifa muhimu za Benki ya CRDB kuhusu huduma maalum ya China Deski. Baadhi ya watu waliofika katika banda la CRDB wakati wa maonyesho ya bidhaa za...

 

11 years ago

GPL

CHINA WORD BUZ YAELEZEA NJIA MBADALA ZITAKAZOPUNGUZA GHARAMA ZA WAFANYABIASHARA WADOGO KUFUATA BIDHAA CHINA‏

Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo hapa nchini Bw. Shafii Mwaijande akionyesha kipeperushi kinachoelezea moja ya makampuni makubwa ya bishara ambayo yamesaini mikataba ya kibiashara na kampuni ya China World Buz, katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya China Word Buz na mwakilishi wa wamiliki wa viwanda 45 nchini China vilivyoingia mkataba wa kibiashara na kampuni hiyo China Bwana Cheng Wang Wu na wa pili kutoka kushoto...

 

5 years ago

BBCSwahili

China yaonyesha uwezo wake wa kijeshi kwa gwaride la nguvu

China ina kila sababu ya kusheherekea siku hii kwa shangwe baada ya historia kuwapitisha hatua ya kuwa taifa maskini na sasa ni taifa la pili duniani kwa kuwa na uchumi mkubwa duniani.

 

11 years ago

GPL

KAMPUNI YA CHINA WORLD BUZ YAENDESHA SEMINA KWA WAFANYABIASHARA JIJINI ARUSHA

Shafii Mwaijande Ofisa Mtendaji Mkuu wa China Word Buz kwa upande wa Tanzania akizungumza na wafanya biashara wadogo na wakati kwenye ukumbi wa Triple A jijini Arusha wakati wa Semina kwa wafanya biashara hao iliyofanyika siku ya jana, kuhusu mfumo utakaosaidia wafanyabiashara wadogo wa Tanzania kutafuta masoko ya bidhaa nchini China na kuwapa taarifa sahihi za masoko kwa msaada wa kampuni hiyo,Mfumo huo hautampa gharama kubwa...

 

10 years ago

Vijimambo

ZAIDI WANAFUNZI 100 WAPEWA SEMINA YA KUWAJENGEA UWEZO KUANZA SAFARI YA MASOMO KATIKA VYUO VIKUU VYA INDIA NA CHINA

Mkurugenzi wa Global Link Education (GEL) ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje ya nchi, Abdulmaliki Mollel akitoa maelezo katika semina ya kuwajengea uwezo wazazi na wanafunzi wanaokwenda kusoma Vyuo Vikuu vya India na China leo katika ofisi zao zilizopo viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
 Meneja Mkuu wa Global Link Education (GEL) ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje ya nchi, David Nsimba akitoa semina ya kuwajengea uwezo wanafunzi wanaokwenda kusoma ...

 

11 years ago

Michuzi

MAMLKAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (TCAA) NA MAMLAKA YAUSAFIRI WA ANGA NCHINI CHINA (CAAC) WASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO WA NDEGE ZINAZOTENGENEZWA CHINA KUTUA KATIKA ANGA LA TANZANIA

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Fadhili Manongi na Mkurugenzi Msaidizi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga wa China (CAAC)Li Jian wapili kutoka (kulia) wakisaini mkataba wa ushirikiano wa maswala ya Usafiri wa Anga , ambapo Ndege zinazotengenezwa nchini China zitaruhusiwa kutua katika Anga ya Tanzania. Mkataba huo uliosainiwa jijinia Dar es Salaam, utawawezesha Mamlaka hiyo hapa nchini kuweza kujenga kwa wataalam kuweza kudhibiti Ubora wa Ndege hizo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani