Familia ya Bob Marley yaanzisha brand ya kwanza ya bangi
Familia ya hayati Bob Marley ikishirikiana na kampuni moja ya Seattle, imeanzisha brand ya kwanza ya dunia ya bangi chini ya jina lake, mmea ambao msanii huyo wa reggae alipenda kuuita “the herb”. Kampuni hiyo, Privateer Holdings imepata kibali kutoka kwa warithi wa Marley kuzalisha bidhaa za bangi zitakazokuwa chini ya jina ‘Marley Natural’. Miongoni […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili19 Nov
Familia ya Bob Marley kuuza bidhaa za Bangi
11 years ago
Tanzania Daima11 May
Marasta kumkumbuka Bob Marley leo
JUMUIYA ya Marastafarian Tanzania, (Taramo), imeandaa Tamasha la kumbukumbu ya muasisi wa muziki wa Reggae ulimwenguni, Nesta Robert, maarufu kama Bob Marley litakalofanyika ufukwe wa hoteli ya Mbalamwezi jijini Dar...
11 years ago
BBCSwahili05 Jun
Mmiliki wa nyimbo za Bob Marley aamuliwa
10 years ago
Vijimambo16 Feb
LAND ROVER YA MWAKA 1976 ALIYOKUA AKIITUMIA BOB MARLEY YAFUFULIWA
![](http://ichef.bbci.co.uk/wwfeatures/624_351/images/live/p0/2j/z1/p02jz1k7.jpg)
![](http://ichef.bbci.co.uk/wwfeatures/624_351/images/live/p0/2j/z1/p02jz1k8.jpg)
![](http://ichef.bbci.co.uk/wwfeatures/624_351/images/live/p0/2j/z1/p02jz1jv.jpg)
![](http://ichef.bbci.co.uk/wwfeatures/624_351/images/live/p0/2j/z1/p02jz1j2.jpg)
![](http://ichef.bbci.co.uk/wwfeatures/624_351/images/live/p0/2j/z1/p02jz1j9.jpg)
10 years ago
Bongo507 Oct
New Music: Nikki Mbishi f/ Songa & Bob Marley – Feel Alright
9 years ago
Dewji Blog15 Oct
Brand Africa to Announce the Africa’s Top 100 Most Admired and Most Valuable Brands at the 4th Annual Brand Africa 100
-The scope and sample countries have been vastly expanded from a base of 8 countries in the past years to 22 countries covering every leading African economy
Brand Africa (www.brandafrica.org) is to release its highly anticipated 4th Brand Africa 100: Africa’s Best Brands rankings of the Top 100 Most Admired and Most Valuable brands in Africa at a Gala event at Sandton Convention Center on 22 October 2015.
The rankings, first launched in 2011 at the second Brand Africa FORUM, have been...
11 years ago
Bongo501 Aug
New Music: Marley — Hapana Mbaya
9 years ago
Bongo509 Nov
New Music: Jan B f/ Marley — My Life
![1941219_1517369731918312_532821997_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/1941219_1517369731918312_532821997_n-300x194.jpg)
Rapper Jan B amerejea tena na wimbo wake mpya ‘My Life’ aliomshirikisha Marley. Usikilize hapo chini.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!