Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marasta kumkumbuka Bob Marley leo

JUMUIYA ya Marastafarian Tanzania, (Taramo), imeandaa Tamasha la kumbukumbu ya muasisi wa muziki wa Reggae ulimwenguni, Nesta Robert, maarufu kama Bob Marley litakalofanyika ufukwe wa hoteli  ya Mbalamwezi jijini Dar...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Mmiliki wa nyimbo za Bob Marley aamuliwa

Jaji wa mahakama kuu mjini London ameamua ni nani anastahiki kumiliki nyimbo za Bob Malrey ukiwemo 'No Woman, No Cry'

 

10 years ago

BBCSwahili

Familia ya Bob Marley kuuza bidhaa za Bangi

Familia ya aliyekuwa mwanamuziki wa Jamaica, Bob Marley imezindua kampuni wanayoitaja ya kwanza duniani kuuza bidhaa za Bangi

 

10 years ago

Bongo5

Familia ya Bob Marley yaanzisha brand ya kwanza ya bangi

Familia ya hayati Bob Marley ikishirikiana na kampuni moja ya Seattle, imeanzisha brand ya kwanza ya dunia ya bangi chini ya jina lake, mmea ambao msanii huyo wa reggae alipenda kuuita “the herb”. Kampuni hiyo, Privateer Holdings imepata kibali kutoka kwa warithi wa Marley kuzalisha bidhaa za bangi zitakazokuwa chini ya jina ‘Marley Natural’. Miongoni […]

 

10 years ago

Vijimambo

LAND ROVER YA MWAKA 1976 ALIYOKUA AKIITUMIA BOB MARLEY YAFUFULIWA

Hivi ndio mwonekano wa Land Rover aliyokua akiitumia Bob Marley ilivyokua ikionekana kwenye makumbusho ya masanii huyo nchini Jamaica.Mwonekano wa ndani\Land Rover hiyo inavyoonekana kwa sasa baada ya kufamyiwa matengenezo upya na kampuni ya Land Rover ya Jamaica kwa ushirikiano na familia ya Bob Marley ambaye kama angekua hai angekua amefikisha miaka 70 Februari 7 mwaka huu.Pamoja na mwonekano mpya pia gari hiyo linaendesha kama jipya.Mwonekano wa ndani

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Nikki Mbishi f/ Songa & Bob Marley – Feel Alright

Ngoma ya Nikki Mbishi aliyowashirikisha Songa na Bob Marley. Wimbo umetayarishwa na The Invincible KTB.

 

11 years ago

GPL

LEO NI SIKU YA MAOMBI AFRIKA KUSINI KUMKUMBUKA MANDELA

Binti akiwa na mshumaa wakati wa ibada ya maombi ya kumkumbuka Nelson Mandela katika kanisa la Regina Mundi lililopo Soweto, Afrika Kusini leo. Waumini wakiwa katika ibada ya maombi ya kumkumbuka Nelson Mandela katika kanisa la Methodist mjini Johannesburg leo. (Picha na Reuters) Wananchi wa Afrika Kusini leo wanashirki maombi ya kitaifa ya… ...

 

10 years ago

GPL

BOB JONIOR ATINGA GLOBAL TV ONLINE JIONI YA LEO

Msanii wa muziki na producer, Bob Junior akifanya mahojiano na Global TV Online jioni hii. Bob Junior akifafanua jambo kwa wanahabari wa Global (hawapo pichani).…

 

11 years ago

Bongo5

New Music: Marley — Hapana Mbaya

Huu ni Wimbo Mpya kutoka kwa Msanii Marley ameimba katika stail ya Kimasai wimbo unaitwa “Hapana Mbaya” Producer Muchmore

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani