FEDHA ZA BAYPORT ZAZIDI KUPATA WENYEWE
Meneja Masoko na Mawasiliano wa Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services inayojihusisha na mikopo, Ngula Cheyo, (katikati) akizungumza jambo wakati wa droo ya pili ya Kopa Bayport kwa njia ya mtandao wa www.kopabayport.co.tz, ambapo jumla ya washindi watatu kila mwezi wanapatikana na kila mmoja kujishindia jumla ya Sh Milioni moja. Kulia ni Afisa wa Huduma kwa Wateja wa taasisi hiyo, Gladys John, huku kushoto akiwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMamilioni ya Kopa Bayport yazidi kupata wenyewe
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-aEz0r1Anq0w/VanQ3bKZDuI/AAAAAAAAJCs/-sFjm90S4zQ/s72-c/Said%2BMkinda%252C%2BMshindi%2BLindi.jpg)
Washindi wa Kopa Bayport wakabidhiwa fedha zao
![](http://2.bp.blogspot.com/-aEz0r1Anq0w/VanQ3bKZDuI/AAAAAAAAJCs/-sFjm90S4zQ/s320/Said%2BMkinda%252C%2BMshindi%2BLindi.jpg)
Washindi wanne wa Kopa Bayport wakabidhiwa fedha zaoNa Mwandishi Wetu, Dar es SalaamWATEJA wanne wa Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services, walioshinda Sh Milioni Moja kila mmoja katika bahati...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-u2hy6w9lB8k/U9aDAFFcSeI/AAAAAAAAGE0/CBMujcPWw-E/s72-c/10576046_814022105288113_158358201_n.jpg)
KAMA UREMBO NIKUOLEWA BASI HAWA WASHINDWE WENYEWE KUPATA WAUME KWANI NI WAREMBO HASWA.
![](http://1.bp.blogspot.com/-u2hy6w9lB8k/U9aDAFFcSeI/AAAAAAAAGE0/CBMujcPWw-E/s640/10576046_814022105288113_158358201_n.jpg)
Pitia picha za warembo hawa watatu na utakubari kuwa wanaurembo na kama wanatulia na kuolewa basi mume hawezi kuchelewa kurudi nyumbani.
![](http://2.bp.blogspot.com/-niAwFka0RTs/VDSy0Q72WlI/AAAAAAAAp18/B8K-5azcItE/s1600/IMG_0699.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-6RC8TUDBUpI/VDKo-uCfXlI/AAAAAAAAWIA/NDZIe3pgJYs/s640/LUUUU.jpg)
9 years ago
BBCSwahili18 Dec
Islamic State yabanwa kupata fedha
10 years ago
BBCSwahili01 Jul
Ugiriki yalegeza kamba kupata fedha
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/JB.jpg)
JB PAMOJA NA KUPATA FEDHA, UMAARUFU WAMTESA
9 years ago
Dewji Blog17 Sep
Ugeugeu na upapara wa kupata fedha unakwamisha vijana
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Kiuchumi na Kijamii (ESRF), Dk. Tausi Kida akiingia katika ukumbi wa mkutano hoteli ya Double Tree by Hilton kwa ajili ya warsha ya vijana na ajira iliyofadhiliwa na Mpango wa Shirika la Utafiti ya Maendeleo ya Kimataifa kutoka Canada (IDRC) na kuratibiwa na ESRF.
Na Mwandishi wetu
VIJANA nchini Tanzania wanatakiwa kujitambua, kuacha kuwa kigeugeu na kufanya papara ya kupata fedha kama wanataka kuendelea na kufanikiwa kibinafsi na...
10 years ago
Mtanzania25 Mar
Vanessa Mdee: Wasanii hawajui namna ya kupata fedha mtandaoni
Na Festo Polea
WAKATI wimbo wa ‘Hawajui’ wa msanii, Vanessa Hau Mdee ‘Vee Money’, ukiongoza katika chati za ubora za vituo mbalimbali vya redio na runinga za nchini Nigeria, msanii huyo amesema wasanii wengi hawajui namna ya kutumia mitandao ya kijamii kuuza kazi zao.
Vanessa alieleza hayo jana alipotembelea ofisi za Kampuni ya New Habari (2006) Ltd inayochapisha magazeti ya Mtanzania, Bingwa, Dimba, Rai na The African, akiwa katika harakati za kutangaza wimbo wake mpya wa ‘No body but Me’...