Mamilioni ya Kopa Bayport yazidi kupata wenyewe
Meneja Masoko na Mawasiliano wa Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services inayojihusisha na mikopo, Ngula Cheyo, katikati akizungumza jambo wakati wa droo ya pili ya Kopa Bayport kwa njia ya mtandao wa www.kopabayport.co.tz, ambapo jumla ya washindi watatu kila mwezi wanapatikana na kila mmoja kujishindia jumla ya Sh Milioni moja. Kulia ni Afisa wa Huduma kwa Wateja wa taasisi hiyo, Gladys John, huku kushoto akiwa ni bwana Humud Abdulhussein, Msimamizi kutoka Bodi ya Michezo ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLFEDHA ZA BAYPORT ZAZIDI KUPATA WENYEWE
10 years ago
Dewji Blog11 Mar
FURSA: Kopa na BAYPORT ‘online’ ujishindie Milioni 1
WATEJA wa taasisi ya Kifedha ya Bayport inayojihusisha na mambo ya mikopo wanaweza kujishindia jumla ya Sh Milioni moja, endapo wataamua kukopa kwa njia ya mtandao wa www.kopabayport.co.tz nuliozinduliwa rasmi jana, jijini Dar es Salaam.
Meneja Masoko na Mawasiliano wa Bayport Financial Services, Ngula Cheyo, pichani, akisisitiza jambo katika moja ya matukio ya kikazi ya taasisi hiyo nchini Tanzania.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Meneja Masoko na Mawasiliano wa Bayport, Ngula...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-aEz0r1Anq0w/VanQ3bKZDuI/AAAAAAAAJCs/-sFjm90S4zQ/s72-c/Said%2BMkinda%252C%2BMshindi%2BLindi.jpg)
Washindi wa Kopa Bayport wakabidhiwa fedha zao
![](http://2.bp.blogspot.com/-aEz0r1Anq0w/VanQ3bKZDuI/AAAAAAAAJCs/-sFjm90S4zQ/s320/Said%2BMkinda%252C%2BMshindi%2BLindi.jpg)
Washindi wanne wa Kopa Bayport wakabidhiwa fedha zaoNa Mwandishi Wetu, Dar es SalaamWATEJA wanne wa Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services, walioshinda Sh Milioni Moja kila mmoja katika bahati...
10 years ago
MichuziWanne wajishindia mamilioni ya Bayport
10 years ago
MichuziWatatu wajishindia mamilioni kutoka Bayport
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-AudrZzpgBnM/VS5pnHbYvVI/AAAAAAAAI0M/6PV3l_l7uYo/s72-c/BAYPORT%2BILEJE.jpg)
Bayport Financial Services yazidi kuchanja mbuga, yazindua tawi la 80 wilayani Ileje, mkoani Mbeya
![](http://4.bp.blogspot.com/-AudrZzpgBnM/VS5pnHbYvVI/AAAAAAAAI0M/6PV3l_l7uYo/s1600/BAYPORT%2BILEJE.jpg)
10 years ago
BBCSwahili29 Jun
mamilioni wako hatarini kupata malale
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-u2hy6w9lB8k/U9aDAFFcSeI/AAAAAAAAGE0/CBMujcPWw-E/s72-c/10576046_814022105288113_158358201_n.jpg)
KAMA UREMBO NIKUOLEWA BASI HAWA WASHINDWE WENYEWE KUPATA WAUME KWANI NI WAREMBO HASWA.
![](http://1.bp.blogspot.com/-u2hy6w9lB8k/U9aDAFFcSeI/AAAAAAAAGE0/CBMujcPWw-E/s640/10576046_814022105288113_158358201_n.jpg)
Pitia picha za warembo hawa watatu na utakubari kuwa wanaurembo na kama wanatulia na kuolewa basi mume hawezi kuchelewa kurudi nyumbani.
![](http://2.bp.blogspot.com/-niAwFka0RTs/VDSy0Q72WlI/AAAAAAAAp18/B8K-5azcItE/s1600/IMG_0699.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-6RC8TUDBUpI/VDKo-uCfXlI/AAAAAAAAWIA/NDZIe3pgJYs/s640/LUUUU.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima21 Oct
Karafuu ya Zanzibar yazidi kupata umaarufu
MSHAURI wa Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar, Sadruddin Govinji, amesema karafuu ya Zanzibar imeendelea kupata umaarufu katika soko la Dunia kutokana na sifa zake za kipekee zenye ubora. Akiwasilisha...