Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watatu wajishindia mamilioni kutoka Bayport

Meneja Utawala wa Bayport Financial Services aliyezibwa macho, Evalyine Hall, akichagua koponi ya mmoja wa washindi wa Kopa Bayport kwa njia ya mtandao wa www.kopabayport.co.tz, inayoendeshwa na taasisi hiyo ambapo washindi watatu ambao ni Hyasint Mbunda (Songea), Phaustine Mbilinyi (Dar es Salaam) na Allen Bishubo (Bukoba), walipatikana na kila mmoja kushinda Sh Milioni moja. Kushoto ni Meneja Masoko na Mawasiliano wa Bayport, Ngula Cheyo na kushoto ni Msimamizi wa Michezo ya Kubahatisha,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Wanne wajishindia mamilioni ya Bayport

Wateja walioshinda katika bahati nasibu yetu na maeneo watokayo kwenye mabano ni pamoja na Simion Ngassa (Iringa), Sisco Haule, (Kigoma), Said M Mkinda (Dar es Salaam) na Phelis Nziku ambapo wote kila mmoja watakabidhiwa kiasi hicho cha pesa kutoka Bayport Financial Services. Naye Msimamizi wa Michezo ya Kubahatisha kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Jehud Ngolo aliipongeza Bayport Financial Services kwa kuendelea kubuni mambo yanayoweza kuwapatia mwanga wateja na Watanzania kwa...

 

10 years ago

Michuzi

Mamilioni ya Kopa Bayport yazidi kupata wenyewe

Meneja Masoko na Mawasiliano wa Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services inayojihusisha na mikopo, Ngula Cheyo, katikati akizungumza jambo wakati wa droo ya pili ya Kopa Bayport kwa njia ya mtandao wa www.kopabayport.co.tz, ambapo jumla ya washindi watatu kila mwezi wanapatikana na kila mmoja kujishindia jumla ya Sh Milioni moja. Kulia ni Afisa wa Huduma kwa Wateja wa taasisi hiyo, Gladys John, huku kushoto akiwa ni bwana Humud Abdulhussein, Msimamizi kutoka Bodi ya Michezo ya...

 

9 years ago

Michuzi

WATOTO WATATU WAFUTWA MACHOZI NA BIMA YA ELIMU YA BAYPORT BIHARAMULO

Na Mwandishi Wetu, Kagera TAASISI ya kifedha ya Bayport Financial Services inayojihusisha na mambo ya mikopo, jana imewakabidhi hundi ya Sh Milioni tatu watoto watatu wilayani Biharamulo, mkoani Kagera, kwa ajili ya kunufaika na huduma ya Bima ya Elimu iliyoachwa na mzee wao Karume Ochieng aliyefariki Dunia, huku akiwa amejiunga na huduma ya bima kwa ajili ya watoto wake hao.Mratibu Mauzo wa Bima ya Elimu wa Taasisi ya Kifedha inayotoa Mikopo(Bayport Financial Services, Ruth Bura...

 

5 years ago

BBCSwahili

Saudi Arabia yawakamata wanawafalme watatu wakuu kutoka familia hiyo

Hatua hiyo inaonesha kuthibitisha kukamatwa kwa makumi ya wanawafalme kama ilivyoagizwa na mwanamfalme Mohammed bin Salman mwaka 2017.

 

9 years ago

Bongo5

Mrisho Mpoto aja na ‘Kutoka Shambani’, anatafuta wasanii watatu wenye vipaji

Msanii wa muziki wa asili na mtunzi wa mashairi, Mrisho Mpoto ameanzisha kijiji kiitwacho ‘Kutoka Shambani’ ambacho kitawakutanisha vijana wenye fani mbalimbali hapa nchini. Mpoto ameiambia Bongo5 kuwa vijana wenye vipaji mbalimbali na watakaokubali kushiriki watalazimika kukaa miaka 2 kwenye kijiji hicho bila kutumia simu. “Nilichokifanya nimetafuta heka 20 ambazo zipo, nachofanya nataka nichukue wasani […]

 

10 years ago

Michuzi

Watano wajishindia fedha promosheni ya Jaymillions ya vodacom

Msimamizi wa bodi ya michezo ya kubahatisha, Mrisho Millao aliyesimama(kushoto)akionyeshwa namba ya mmoja wa washindi na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(katikati)wakati wa kuchezesha droo ya nne ya promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na kampuni hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki,wengine katika picha(kulia) ni mtaalamu wa mifumo ya kompyuta Michael Kanakakis,waliokaa (kutoka kulia) ni Dimitrios Lintis na Zakaria Kanyi.Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete akutana na Wataalamu watatu wa utafiti wa chanjo ya Malaria kutoka Ifakara Health Institute mjini Malabo, Equatorial Guinea

d3

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Dr. Ally Olot, mtafiti wa chanjo ya malaria na kiongozi wa watafiti wa Ifakara Health Institute (IHI) Malabo, Equatorial Guinea) walipomtembelea kwenye makazi yake mjini Malabo ambako Rais alikuwa anahudhuria mkutano wa kawaida wa Umoja wa Afrika. Wengine ni Dr. Mwajuma Chemba ambaye ni Mtalaamu mratibu wa tafiti za chanjo ya malaria, na Elizabeth Nyakarungu, Mtaalamu wa maabara, utambuzi wadudu wa Malaria).

d4

d6

Rais Kikwete aliwapongeza sana...

 

10 years ago

GPL

WATANO WAJISHINDIA FEDHA TASLLIMU KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM

Msimamizi wa bodi ya michezo ya kubahatisha, Mrisho Millao aliyesimama (kushoto)akionyeshwa namba ya mmoja wa washindi na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (katikati) wakati wa kuchezesha droo ya nne ya promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na kampuni hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki, wengine katika picha (kulia) ni mtaalamu wa mifumo ya kompyuta Michael Kanakakis, waliokaa (kutoka kulia) ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani