Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JB PAMOJA NA KUPATA FEDHA, UMAARUFU WAMTESA

MAISHA ni safari ndefu iliyojaa kila aina ya hali. Imejaa milima na miinuko mikali, mabonde, miiba, dhoruba na tufani kali. Hakika ni watu waliodhamiria tu kutafuta mafanikio ndiyo huweza kuhimili vishindo na misukosuko ya safari ya kutafuta mafanikio maishani. Kila aliyefanikiwa kwa njia halali, nyuma amepitia mapito mengi magumu na makali mno. Upo msemo ambao binafsi kila nikiukumbuka, morari na nguvu ya kutafuta mafanikio...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Karafuu ya Zanzibar yazidi kupata umaarufu

MSHAURI wa Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar, Sadruddin Govinji, amesema karafuu ya Zanzibar imeendelea kupata umaarufu katika soko la Dunia kutokana na sifa zake za kipekee zenye ubora. Akiwasilisha...

 

10 years ago

GPL

FEDHA ZA BAYPORT ZAZIDI KUPATA WENYEWE

Meneja Masoko na Mawasiliano wa Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services inayojihusisha na mikopo, Ngula Cheyo, (katikati) akizungumza jambo wakati wa droo ya pili ya Kopa Bayport kwa njia ya mtandao wa www.kopabayport.co.tz, ambapo jumla ya washindi watatu kila mwezi wanapatikana na kila mmoja kujishindia jumla ya Sh Milioni moja. Kulia ni Afisa wa Huduma kwa Wateja wa taasisi hiyo, Gladys John, huku kushoto  akiwa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Islamic State yabanwa kupata fedha

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio lenye lengo la kukata mifumo ya fedha kwa kundi la Islamic State.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ugiriki yalegeza kamba kupata fedha

Taarifa zinasema Ugiriki imekubali mapendekezo ya wakopeshaji wake lakini kwa masharti fulani

 

11 years ago

Habarileo

Mwanasheria Z’bar alia na tume ya pamoja ya fedha

MWANASHERIA Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Othman Masoud Othman, amesema kushindwa kuanza kazi kwa Tume ya Pamoja ya Fedha ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ndiyo chanzo kikubwa cha misuguano na kero za Muungano.

 

9 years ago

Dewji Blog

Ugeugeu na upapara wa kupata fedha unakwamisha vijana

_MG_1920

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Kiuchumi na Kijamii (ESRF), Dk. Tausi Kida akiingia katika ukumbi wa mkutano hoteli ya Double Tree by Hilton kwa ajili ya warsha ya vijana na ajira iliyofadhiliwa na  Mpango wa Shirika la Utafiti ya Maendeleo ya Kimataifa kutoka Canada (IDRC) na kuratibiwa na ESRF.

Na Mwandishi wetu

VIJANA nchini Tanzania wanatakiwa kujitambua, kuacha kuwa kigeugeu na kufanya papara ya kupata fedha kama wanataka kuendelea na kufanikiwa kibinafsi na...

 

10 years ago

Mtanzania

Vanessa Mdee: Wasanii hawajui namna ya kupata fedha mtandaoni

Na Festo Polea
WAKATI wimbo wa ‘Hawajui’ wa msanii, Vanessa Hau Mdee ‘Vee Money’, ukiongoza katika chati za ubora za vituo mbalimbali vya redio na runinga za nchini Nigeria, msanii huyo amesema wasanii wengi hawajui namna ya kutumia mitandao ya kijamii kuuza kazi zao.
Vanessa alieleza hayo jana alipotembelea ofisi za Kampuni ya New Habari (2006) Ltd inayochapisha magazeti ya Mtanzania, Bingwa, Dimba, Rai na The African, akiwa katika harakati za kutangaza wimbo wake mpya wa ‘No body but Me’...

 

11 years ago

Michuzi

MTOTO WA RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI AJUMUIKA NA WADAU WA BENKI YA FNB KUPATA IFTARI YA PAMOJA JIJINI DAR

Pichani kulia ni Mgeni rasmi,Mtoto wa Rais Mstaafu awamu ya pili,Mh,Ali Hassan Mwinyi,Abdallah Ali Hassan Mwinyi kwenye hafla ya Iftari ilioandaliwa na benki ya FNB,na kufanyika kwenye bustani ya Serena Hotel jijini Dar hapo jana,anaefuatia kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa benki ya FNB,Ndugu Dave Aitken akiwa na baadhi ya wageni waalikwa wengine.Mgeni rasmi Abdallah Ali Hassan Mwinyi sambamba na Mkurugenzi Mkuu wa benki ya FNB,Ndugu Dave Aitken wakijumuika pamoja na baadhi ya wafanyakazi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri wa fedha Saada Salum Mkuya akutana na Joly wa (IMF) pamoja na Larose wa (WB)

DSC_5600

Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum akizungumza na  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia  wa kundi namba 1 Afrika Bw. Louis Rene Peter Larose ofisini kwake mjini Washington DC.

DSC_5597

Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum Mkuya  akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia  wa kundi namba 1 Afrika Bw. Louis Rene Peter Larose kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha  na Mlipaji Mkuu wa Serikali  Dr. Servacius Likwelile , Bw. Beda Shallanda Kamishina wa Sera na Bw. Paul...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani