Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Fedha za kukabiliana na ebola zatoweka

Ripoti moja imebaini kwamba karibia dola millioni 14 za kugharamia vita dhidi ya ebola nchini Sierra Leone hazijulikani zilipo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Dk. Magufuli: Fedha za kukabiliana na mafuriko Dar zinatafutwa

Serikali imesema inatafuta fedha kwa ajili ya kutekeleza utafiti uliofanywa na Wizara ya Ujenzi ili kukabiliana na mafuriko yanayotokea jijini Dar es Salaam.

Kauli hiyo ilitolewa jana bungeni na Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, alipokuwa akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Chadema).

Mdee alisema watafiti wa Wizara ya Ujenzi, walishauri kujengwa kwa mifereji ya chini mikubwa kutoka Ubungo hadi Kawe ili kukabiliana na mafuriko.

Alisema zoezi zima la ujenzi wa mifereji...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Shirika la fedha duniani kukabiliana na janga kiuchumi

Benki kuu na mashirika mengine ya fedha wameanza kuchukua hatua za kunusuru uchumi wa dunia kutokana na athari zilizosababishwa na mlipuko wa corona.

 

10 years ago

Mwananchi

Madaktari Watanzania waliokwenda kukabiliana na ebola Afrika Magharibi

Unaposikia ugonjwa wa ebola, ni sawa na kusikia sauti ya mauti. Ugonjwa huu ambao unaliandama eneo la Afrika Magharibi umesababisha vifo vya maelfu ya watu na hata kuuingiza ulimwengu kwenye wasiwasi mkubwa.

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete akagua utayari wa Tanzania kukabiliana na Ebola

kikwete

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumanne, Septemba 9, 2014, amekagua huduma na vifaa, pamoja na maandalizi ya kukabiliana na ugonjwa hatari wa Ebola, ili kujiridhisha na utayari wa Tanzania dhidi ya tishio kubwa la ugonjwa huo.

Mara tu baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar Es Salaam, akitokea Dodoma, Rais Kikwete amekwenda moja kwa moja...

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA SERA YA FEDHA BOT YASHUSHA AHUENI KWA WATANZANIA KATIKA KUKABILIANA NA CORONA

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT),Prof. Florens Luoga


 

10 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA SEKTA YA AFYA ZANZIBAR WAPEWA MAFUNZO JINSI YA KUKABILIANA NA UGONJWA WA EBOLA

Mshauri wa mambo ya Afya kutoka Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO) Dk. Andemichael Ghirmay akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa kuwajengea uwezo wafanyakazi wa sekta ya Afya Zanzibar kukabiliana na ugonjwa wa Ebola, mafunzo hayo ya siku tatu yanafanyika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort na yamezaminiwa na WHO.Mgeni rasmin Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Dkt. Mohammed Jidawi akifungua mafunzo ya siku tatu ya kuwajengea uwezo wafanyakazi wa sekta ya Afya Zanzibar kukabiliana na ugonjwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Obama aomba fedha kukabili Ebola

Rais wa Marekani Barack Obama ametoa wito kwa chama cha Congress kupitisha kiasi cha dola bilion 6 ili kuikabili Ebola.

 

11 years ago

BBCSwahili

Nigeria yatenga fedha kukabili Ebola

Nigeria imetangaza mlipuko wa ugonjwa wa Ebola kama janga la kitaifa na kutenga dola millioni 11 kukabiliana na ugonjwa huo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani