Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk. Magufuli: Fedha za kukabiliana na mafuriko Dar zinatafutwa

Serikali imesema inatafuta fedha kwa ajili ya kutekeleza utafiti uliofanywa na Wizara ya Ujenzi ili kukabiliana na mafuriko yanayotokea jijini Dar es Salaam.

Kauli hiyo ilitolewa jana bungeni na Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, alipokuwa akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Chadema).

Mdee alisema watafiti wa Wizara ya Ujenzi, walishauri kujengwa kwa mifereji ya chini mikubwa kutoka Ubungo hadi Kawe ili kukabiliana na mafuriko.

Alisema zoezi zima la ujenzi wa mifereji...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA FEDHA DK.MPANGO AMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA JINSI ANAVYOLIONGOZA VEMA TAIFA, AGUSIA CORONA , MAFURIKO


Na Said Mwishehe, Michuzi TV
WAZIRI wa Fedha na Mipango Dk.Philip Mpango ametoa pongezi za dhati kwa Rais Dk.John Magufuli kwa jinsi alivyoendelea kuliongoza vema Taifa letu huku akifafanua kwa kipindi cha miaka minne na nusu ya utawala wake tumeshuhudia kuimarika kwa uchumi , mfumuko wa bei umethibitiwa na miradi mikubwa ya maendeleo imetekelezwa.
Pia amesema wajibu katika utumishi wa umma umeimarika na kero za wananchi wanyonge zimetatuliwa, hivyo kwa kipekee kumuamini kuongoza Wizara ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Fedha za kukabiliana na ebola zatoweka

Ripoti moja imebaini kwamba karibia dola millioni 14 za kugharamia vita dhidi ya ebola nchini Sierra Leone hazijulikani zilipo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Shirika la fedha duniani kukabiliana na janga kiuchumi

Benki kuu na mashirika mengine ya fedha wameanza kuchukua hatua za kunusuru uchumi wa dunia kutokana na athari zilizosababishwa na mlipuko wa corona.

 

10 years ago

Michuzi

VODACOM WATOA WITO KUCHANGIA FEDHA KWA WAHANGA WA MAFURIKO KAHAMA

Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania imeeleza kuguswa na tukio la mvua kubwa iliyonyesha wilayani Kahama mkoani Shinyanga ambayo imesababisha vifo vya watu 42 na wengine mamia kujeruhiwa na kuacha familia nyingi zikiwa hazina makazi na kuanzia leo imeanza kampeni ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia wahanga wa tukio hilo.
Akiongea na waandishi wa habari leo,Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia amesema anawaomba watanzania wote wanaotaka...

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA SERA YA FEDHA BOT YASHUSHA AHUENI KWA WATANZANIA KATIKA KUKABILIANA NA CORONA

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT),Prof. Florens Luoga


 

10 years ago

GPL

VODACOM WATOA WITO KUCHANGIA FEDHA KWA WAHANGA WA MAFURIKO KAHAMA‏

Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia akionesha namba ya Red Alert ambayo watanzania wote wenye nia ya kuwasaidia wahanga watume michango yao kwenye hiyo namba.Jinsi ya kutuma ponyeza *150*00# alafu unachagua namba 4 yaani Lipa kwa M PESA baada ya hapo utachagua namba 4 tena yaani weka namba ya kampuni unaweka namba 155990 alafu unaweka namba ya kumbukumbu ambayo ni namba yako ya simu...

 

9 years ago

Michuzi

Rais Magufuli aamuru Fedha zilizopaswa kutumika kugharamia Shamrashamra za siku ya Uhuru Desemba 9 sasa zitumike kujengea barabara ya Mwenge - Morocco, Jijini Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameamuru fedha zilizopaswa kutumika kugharamia shamra shamra za siku ya Uhuru ambazo zingefanyika tarehe 09 Desemba 2015, kutumika kufanya upanuzi wa barabara ya Mwenge hadi Morocco jijini Dar es Salaam yenye urefu wa kilometa 4.3 kwa kuongeza njia mbili za barabara za lami.
Tayari fedha hizo kiasi cha shilingi bilioni nne zimepelekwa kwa wakala wa barabara hapa nchini TANROADS kwa ajili ya utekelezaji wa agizo hilo, linalopaswa...

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI NI ZAIDI YA MAFURIKO

Waandishi Wetu HAIJAWAHI kutokea! Chama Cha Mapinduzi (CCM) jana kimezindua kampeni za uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu katika Viwanja vya Jangwani jijini Dar huku umati wa watu waliojitokeza ukivunja rekodi kwa kukusanya wanachama na wananchi wengi kuliko katika kipindi cha rais Jakaya na Mkapa.  .......Soma zaidi====>http://bit.ly/1U8Xil0 ...

 

9 years ago

GPL

SIRI YA MAFURIKO YA LOWASSA, MAGUFULI...

Moja kati ya mikutano ya kampeni ya D.k Magufuli. Gabriel Ng’osha na Gladness Malya NDIYO maana! Mtabiri bingwa na mtaalam wa nyota Afrika Mashariki Maalim Hassan Yahya amepasua jipu kuwa wagombea wawili wa urais katika uchaguzi wa mwaka huu, John Magufuli na Edward Lowassa wanabebwa na nyota zao. Moja kati ya mikutano ya kampeni ya Ukawa. Akizungumza na waandishi wetu hivi karibuni, alisema kinajimu, herufi M inayosimama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani