Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIRI YA MAFURIKO YA LOWASSA, MAGUFULI...

Moja kati ya mikutano ya kampeni ya D.k Magufuli. Gabriel Ng’osha na Gladness Malya NDIYO maana! Mtabiri bingwa na mtaalam wa nyota Afrika Mashariki Maalim Hassan Yahya amepasua jipu kuwa wagombea wawili wa urais katika uchaguzi wa mwaka huu, John Magufuli na Edward Lowassa wanabebwa na nyota zao. Moja kati ya mikutano ya kampeni ya Ukawa. Akizungumza na waandishi wetu hivi karibuni, alisema kinajimu, herufi M inayosimama...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Raia Mwema

‘Mafuriko’ ya Lowassa

KAMBI ya Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, imejigamba kutimiza idadi ya wadhamini 879,000

Waandishi Wetu

 

10 years ago

Vijimambo

MAFURIKO YA LOWASSA YAHAMIA SIMIYU

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akiwa juu ya gari lake, akiwapungia mamia ya wana CCM waliofika kumdhamini huko Lamadi, wilaya ya Busega mkoani Simiyu, pamoja na wananchi wengine. Mh. Lowassa, aliwasili huko Jumanne Juni 10, 2015, ili apate wana CCM wa kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015. Lowassa, ambaye kwa sasa yuko Kanda ya ziwa, alipata maelfu ya...

 

9 years ago

Mtanzania

Mafuriko yamzidi nguvu Lowassa

LOWASSA 1*Avunja mkutano Tanga kwa hofu watu kupoteza maisha

 

Fredy Azzah na Amina Omari, Tanga

 

WAKATI baadhi ya watu wakimshawishi kuwania urais kupitia  Chama Cha Mapinduzi (CCM), Edward Lowassa, alisema hawezi kuzua mafuriko kwa mikono.

Lakini jana jijini Tanga mafuriko hayo (watu) yalitaka ‘kumsomba’ kutoka na maelfu ya watu kufurika katika uwanja Tangamano kwa ajili ya kumsikiliza.

Baada ya kuona watu wanazidi kuongezeka, huku wengi wakianguka na kupoteza fahamu, Lowassa alitangaza kuuvunja...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mafuriko ya Lowassa yatikisa mkoa ya Mara

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akipungia mkono maelfu ya wana CCM na wananchi wa Musoma, alipowasili uwanja wa ndege wa Musoma Juni 9, 2015, kuendelea na kampeni yakle ya kuomba wana CCM wamdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania nurais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015 Lowassa, (kulia), akiwatuliza wana CCM na wananchi wa Musoma, waliojaribu kuvunja geti ili walao wapate kugusana naye...

 

9 years ago

Michuzi

MAFURIKO YA LOWASSA YAHAMIA JIJINI ARUSHA

Umati wa Wakazi wa mji wa Tengeru, ukiwa umefurika kwa wingi barabarani kumlaki Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mh. Edward Lowassa alipopita eneo hilo, wakati akielekea Jijini Arusha kwenye Mkutano wa hadhara wa kutambulishwa kwa Mgombea huyo kwa wananchi wa Arusha,uliofanyika kwenye Uwanja wa Kamandolu, leo Agosti 15, 2015.Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo,...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mafuriko ya Lowassa yaendelea leo mjini Singida

Wananchi wa Mji wa Singida wakiishangilia Chopa ya Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, wakati ikiwasili kwenye Uwanja wa Peoples, Mjini Singida leo Septemba 12, 2015.PICHA NA OTHMAN MICHUZI, SINGIDA. Wadau wa Singida wakitafuta namna ya kupata taswira ya Mgombea wao, wakati akiwasili kwenye Uwanja wa Peoples, Mjini humo leo Septemba 12, 2015. Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa: Siwezi kuzuia mafuriko kwa mikono

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema kuwazuia wananchi kwenda nyumbani kwake kumshawishi agombee urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu ni sawa na kuzuia mafuriko kwa mkono.

 

9 years ago

Raia Mwema

Wazee watazuia mafuriko Lowassa na kuliokoa taifa?

KUNA msemo kuwa; “Penye wazee haliharibiki neno”.

Lula wa Ndali Mwananzela

 

9 years ago

Vijimambo

MAFURIKO YA LOWASSA MJINI MUSOMA, MKOANI MARA LEO

Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa na Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mara na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Musoma Mjini, Vicent Nyerere, wakiwasili kwenye Uwanja wa Mkendo, Jimbo la Musoma Mjini, Mkoani Mara leo Oktoba 11, 2015, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni.
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mara na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Musoma Mjini, Vicent Nyerere, akihutubia wananchi katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani