Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FFU-Ughaibuni wafanya kweli Liga Summer Festival 2015

 Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band maarufu kamaFFU ughaibuni ukipenda waite viumbe wa ajabu Anunnaki Alien juzi wikiendi walifanikiwa kuwadatisha washabiki wa muziki nchini Latvia katika maonyesho ya Summer Festival,yaliyofanyika Liga. Bendi hiyo yenye makao yake nchini Ujerumani inayoongozwa na mwanamuziki mahiri Ebrahim Makunja aka  Kamanda Ras Makunja,imejizolea umaarufu wa kimataifa kwa kutumia mdundo wake wa "Bongo Dansi" uliochanganywa na rumba la kukata...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

NGOMA AFRICA BAND AKA FFU WAKIENDELEA KUDATISHA UGHAIBUNI WAFANYA KWELI JIJINI BREMEN

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-ughaibuni inayoongozwa na Kamanda Ras Makunja juzi jumamosi ya 7 November 2015 walifanikiwa tena kwa mara nyingine kukonga nyoyo za washabiki mjini Bremen Ujerumani katika onyesho la kusherekea miaka 10 ya Pan African Organisation  lililofanyika katika ukumbi wa Bugerhaus Weserterasse.Kikosi kazi kazi hiko cha FFU-ughaibuni kikiwa na madansa wao wawili Jessicha Ouyah na Sara Fina waliweza kulimudu jukwaa na kuwadatisha...

 

9 years ago

Michuzi

NGOMA AFRICA BAND (AKA FFU-UGHAIBUNI)WAFUNGA KAZI VECHELDE FESTIVAL,UJERUMANI

Kikosi Kazi Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni chenye maskani nchini ujerumani juzi siku ya Jumamosi ya 5 September 2015 kilifanikiwa kufunika katika onyesho Vechelde Festival nchini Ujerumani. Bendi hiyo maarufu barani ulaya kwa kuwadatisha washabiki wa muziki wa kiafrika kule ughaibuni imejijenga umaarufu katika kila kona na kuwekwa kileleni katika nafasi ya juu na washabiki wake wakimataifa.  Inaongozwa na kamanda Ras Makunja na kuwa na utajiri wa wanamuziki vijana wenye wingi wa...

 

9 years ago

Vijimambo

NGOMA AFRICA BAND AKA FFU-UGHAIBUNI WAFUNGA KAZI VECHELDE FESTIVAL,UJERUMANI

Kikosi Kazi Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni chenye maskani nchini ujerumani juzi siku ya Jumamosi ya 5 September 2015 kilifanikiwa kufunika katikaonyesho Vechelde Festival nchini Ujerumani.bendi hiyo maarufu barani ulaya kwa kuwadatisha washabiki wa muziki wa kiafrika kule ughaibuni imejijenga umaarufu katika kila kona na kuwekwa kileleni katika nafasi ya juu na washabiki wake wakimataifa.inaongozwa na kamanda Ras Makunja na kuwa na utajiri wa wanamuziki vijana wenye wingi wa vipaji...

 

10 years ago

Vijimambo

NGOMA AFRICA BAND WAFANYA KWELI MJINI LIGA,NCHINI LATVIA


Liga,LatviaBendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band maarufu kamaFFU ughaibuni ukipenda waite viumbe wa ajabu Anunnaki Alien juzi wikiendi walifanikiwa kuwadatisha washabiki wa muziki nchini Latvia katika maonyesho ya Summer Festival,yaliyofanyika Liga. bendi maarufu yenye makao yake nchini Ujerumani inayoongozwa na mwanamuziki mahili Ebrahim Makunja aka Kamanda Ras Makunja,imejizolea umaarufu wa kimataifa kwa kutumia mdundo wake wa "Bongo Dansi" uliochanganywa na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ya Moto band, Orijino Komedi wafanya kweli tamasha la ZIFF 2015

DSC_0225Wanamuziki wa bendi ya Ya Moto wakishambulia jukwaa usiku huo…

Na Andrew Chale, modewjiblog

(ZANZIBAR) Kundi la muziki wa kizazi kipya nchini, YAMOTO BAND lenye maskani yake Temeke Jijini Dar es Salaam na kundi la vichekesho la Orijino Komedi ‘OK’   usiku wa Julai 21 wameweza kukonga nyoyo za wadau wa burudani waliojitokeza kwa wingi kwenye tamasha la 18, la kimataifa la filamu za nchi za Majahazi (Zanzibar International Films Festival-ZIFF) linaloendelea visiwani hapa.

Katika shoo hiyo...

 

11 years ago

Michuzi

FFU UGHAIBUNI WATOA MKONO WA IDD EL FITR

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka "FFU Ughaibuni"  yenye makao yake nchini Ujerumani, inawapa mkono wa IDD el Fitr wadau wote wa ndani na nje ya Tanzania.Sherehekeeni sikuu ya EID MUBARAKA kwa amani na furaha
EID MUBARAKA ! EID MUBARAKA ! EID MUBARAKAmsikose kusikiliza at www.ngoma-africa.com http://www.ngoma-africa.com

 

9 years ago

Michuzi

HAPPY BIRTHDAY KAMANDA RAS MAKUNJA WA FFU UGHAIBUNI

Leo 19 September ndio siku ya kuzaliwa mkuu wa bendi ya Ngoma Africa aka FFU-Ughaibuni  ya kule ujerumani, mwanamuziki Ebrahim Makunja aka kamanda Ras Makunja aka mkuu wa viumbe wa ajabu "Anunnaki Alien" alizaliwa mjini Dar-es-Salaam.
Akiwa mtoto wa kwanza wa kiume wa Bw.Jumanne Saleh Makunja Ngayonga (RIP) na Bi.Moza Hassan Seifu Mpili (Mama Makunja), Mwanamuziki Kamanda Ras Makunja ni mtunzi na mwimbaji  mahili wa muziki wa dansi leo ndio Happy Birthday  yake.
Unaweza kuburudika na...

 

9 years ago

Vijimambo

FFU-UGHAIBUNI WANAZO SABABU ZOTE ZA KUMKUBALI JOHN MAGUFULI

Kiongozi wa bendi maarufu ya muziki wa dansi barani UlayaNgoma Africa band, Kamanda Ras Makunja amefunguka kwa kusema kuwayeye na kikosi kazi chake wanazo sababu zote za kumkubali mgombea urais wa chama tawala Mheshimiwa John Pombe Magufuli ashinde kwa kishindo kikubwa katika uchaguzi mkuu utakao fanyika 25 oktoba 2015.Mkuu huyo wa Ngoma Africa band akikaririwa bila kigugumizi ameweka wazi kuwa John Magufuli anatufaa kuwa Rais wa nchi yetu na tunazo sababu zote za kumkubali,mwanamuziki...

 

10 years ago

Michuzi

salamu toka kwa FFU UGHAIBUNI THE NGOMA AFRIKA BAND

Bendi ya Muziki wa dansi Ngoma Africa Band aka FFU-ughaibu,yenye makao nchini Ujerumani ,inawatakia wadau wote popotepale MERRY X-MASS,msherehekee kwa Amani na Upendo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani