Fifa yaahidi kuisaidia Cecafa
>Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) limeahidi kuzisaidia timu zinazotoka Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) ili zifanikiwe zaidi katika soka na kuweka ushindani duniani kote.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo28 Mar
China yaahidi kuendelea kuisaidia Zanzibar
SERIKALI ya Jamhuri ya Watu wa China, imeahidi kuendelea kuunga mkono Zanzibar katika kuimarisha miradi yake ya maendeleo na ushirikiano wa muda mrefu ulioasisiwa na viongozi wake wakuu.
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-V3yTXcl0SQ4/Xp8XooEZfdI/AAAAAAALnv4/TdO8Ouf8WCUV3LkofcAJcAgJScSXQuKAgCLcBGAsYHQ/s72-c/90456ca51a0b84befec7b94cdd39a9d3.jpg)
UFARANSA YAAHIDI KUISAIDIA TANZANIA, AFRIKA KATIKA MAPAMBANO YA CORONA
Na Said Mwishehe, Michuzi TV
UFARANSA imesema kuwa imeadhimia zimia kuisaidia Afrika na Tanzania katika mapambana na maambukizi ya Covid-19 huku ikisisitiza kuwa imeweka nguvu zaidi kwenye ambazo ziko hatarini zaidi.
Kwa mujibu wa Ufaransa ni kwamba Aprili 8 mwaka huu kupitia Rais wa nchi hiyo Emmanuel Macron ilitangaza kutoa msaada wa Sh.Euro bilioni 1.2 ili Kupambana na maambukizi ya Covid-19 katika Bara la Afrika.
Taarifa iliyotolewa leo kwa vyombo vya habari na Kitengo Cha Mawasiliano cha ...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-V3yTXcl0SQ4/Xp8XooEZfdI/AAAAAAALnv4/TdO8Ouf8WCUV3LkofcAJcAgJScSXQuKAgCLcBGAsYHQ/s72-c/90456ca51a0b84befec7b94cdd39a9d3.jpg)
UFARANSA YAAHIDI KUISAIDIA TANZANIA, AFRIKA KATIKA MAPAMBANO YA CORONA
Na Said Mwishehe, Michuzi TV
UFARANSA imesema kuwa imeadhimia zimia kuisaidia Afrika na Tanzania katika mapambana na maambukizi ya Covid-19 huku ikisisitiza kuwa imeweka nguvu zaidi kwenye ambazo ziko hatarini zaidi.
Kwa mujibu wa Ufaransa ni kwamba Aprili 8 mwaka huu kupitia Rais wa nchi hiyo Emmanuel Macron ilitangaza kutoa msaada wa Sh.Euro bilioni 1.2 ili Kupambana na maambukizi ya Covid-19 katika Bara la Afrika.
Taarifa iliyotolewa leo kwa vyombo vya habari na Kitengo Cha Mawasiliano cha ...
11 years ago
Tanzania Daima02 May
FIFA yawafunda wanachama Cecafa
KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Jerome Valcke, jana alishindwa kutua nchini kufungua semina ya mawasiliano kwa nchi wanachama wa Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki...
10 years ago
TheCitizen31 Mar
SOCCER:Cecafa backs Blatter’s Fifa bid
10 years ago
TheCitizen20 Aug
CECAFA: Azam FC eye Cecafa Cup semis
9 years ago
Dewji Blog12 Nov
Cecafa yatangaza ratiba ya Cecafa Senior Challenge Cup, Tanzania uso kwa uso na Somalia!
Na Rabi Hume
Shirikisho la soka Afrika Mashariki (CECAFA), limetoa ratiba ya mashindano ya Cecafa Senior Challenge Cup yanayotarajiwa kuanza kutimua Novemba 21 nchini Ethiopia.
Mashindano ya mwaka huu yamejumuisha nchi 11 wakiwa wenyeji na moja ikiwa kama mgeni mwalikwa ambayo ni nchi ya Malawi ambayo imeingia katika kundi C ikiwa na nchi zingine za Sudan na Sudan Kusini.
Mashindano hayo yanatarajiwa kuanza kuchezwa tarehe 21 mwezi huu ambapo mchezo wa ufunguzi utakuwa kati ya;
5 years ago
GIVEMESPORT24 Feb
Even the best FIFA player in the world knows that FIFA 20 is rubbish
11 years ago
Tanzania Daima25 Jun
Ujerumani kuisaidia Selous
SERIKALI ya Ujerumani imeahidi kutoa euro milioni moja kwa ajili ya uhifadhi wa Pori la Akiba Selous, huku ikihimiza mataifa mengine kusaidia uhifadhi wa pori hilo kutokana na ujangili wa...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10