Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


China yaahidi kuendelea kuisaidia Zanzibar

SERIKALI ya Jamhuri ya Watu wa China, imeahidi kuendelea kuunga mkono Zanzibar katika kuimarisha miradi yake ya maendeleo na ushirikiano wa muda mrefu ulioasisiwa na viongozi wake wakuu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Fifa yaahidi kuisaidia Cecafa

>Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) limeahidi kuzisaidia timu zinazotoka Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) ili zifanikiwe zaidi katika soka na kuweka ushindani duniani kote.

 

5 years ago

CCM Blog

UFARANSA YAAHIDI KUISAIDIA TANZANIA, AFRIKA KATIKA MAPAMBANO YA CORONA


Na Said Mwishehe, Michuzi TV

UFARANSA imesema kuwa  imeadhimia zimia kuisaidia Afrika na Tanzania katika mapambana na maambukizi ya Covid-19 huku ikisisitiza kuwa imeweka nguvu zaidi kwenye ambazo ziko hatarini zaidi.
Kwa mujibu wa Ufaransa ni kwamba Aprili 8 mwaka huu kupitia Rais wa nchi hiyo Emmanuel Macron ilitangaza kutoa msaada wa Sh.Euro bilioni 1.2 ili Kupambana na maambukizi ya Covid-19 katika Bara la Afrika.
Taarifa iliyotolewa leo kwa vyombo vya habari na Kitengo Cha Mawasiliano cha ...

 

5 years ago

Michuzi

UFARANSA YAAHIDI KUISAIDIA TANZANIA, AFRIKA KATIKA MAPAMBANO YA CORONA


Na Said Mwishehe, Michuzi TV

UFARANSA imesema kuwa  imeadhimia zimia kuisaidia Afrika na Tanzania katika mapambana na maambukizi ya Covid-19 huku ikisisitiza kuwa imeweka nguvu zaidi kwenye ambazo ziko hatarini zaidi.
Kwa mujibu wa Ufaransa ni kwamba Aprili 8 mwaka huu kupitia Rais wa nchi hiyo Emmanuel Macron ilitangaza kutoa msaada wa Sh.Euro bilioni 1.2 ili Kupambana na maambukizi ya Covid-19 katika Bara la Afrika.
Taarifa iliyotolewa leo kwa vyombo vya habari na Kitengo Cha Mawasiliano cha ...

 

10 years ago

Dewji Blog

UN kuendelea kuisaidia Tanzania kutanzua changamoto za maendeleo

DSC_0065

 Mgeni rasmi Katibu Mkuu Wizara ya Fedha,  Dk. Servacius Likwelile (katikati) akiwasili katika ukumbi wa mikutano kwenye hoteli ya Hyatt Regency akiwa ameambatana na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi Huru ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF), Dk. Hoseana Lunogelo (kulia) pamoja na Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Alvaro Rodriguez kwa ajili ya kuzindua rasmi ripoti ya Maendeleo ya Binadamu 2014 Tanzania,...

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA KUENDELEA KUHIFADHI MISITU KUISAIDIA DUNIA

GU9A7961Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Mazingira , Mh. Binilith Mahenge akisamiana na Mwenyekiti mwenza wa Mkutano wa UN-REDD Kutoka mashirika ya Umoja wa Mataifa Eduardo Rojas ambaye ni Mkurugenzi Mkuu Msaidizi anayeshughulikia masuala ya misitu kutoka Shirika la Chakula na Kilimo Duniani (FAO) mara baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa mikutano kufungua kikao cha 13 cha wadau wanaotekeleza program ya kutunza misitu ya Umoja wa Mataifa REDD+ kinachofanyika Ngurdoto Jijini...

 

10 years ago

GPL

TANZANIA KUENDELEA KUHIFADHI MISITU KUISAIDIA DUNIA‏

Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (katikati) akibadilishana mawazo na kushoto ni Mwenyekiti mwenza wa Mkutano wa UN-REDD Kutoka mashirika ya Umoja wa Mataifa Eduardo Rojas ambaye ni Mkurugenzi Mkuu Msaidizi anayeshughulikia masuala ya misitu kutoka Shirika la Chakula na Kilimo Duniani (FAO) na kulia ni Charles McNeill, UN-REDD...

 

10 years ago

Habarileo

Ufaransa yaahidi kuendelea kushirikiana na Tanzania

Balozi wa Ufaransa nchini, Melika Berak BALOZI wa Ufaransa nchini, Melika Berak amesema kwamba taifa lake litaendeleza ushirikiano mzuri ilionao na Tanzania kwa manufaa ya pande zote mbili.

 

10 years ago

Habarileo

TSN yaahidi kuendelea kuandika habari za wananchi

Muuza magazeti, Halima Mussa akizungumza wakati wa mkutano baina ya mawakala, wauza magazeti na Kampuni ya Tanzania Standard Newspapers (TSN) Ltd kilichofanyika Dar es Salaam jana. (Picha na Mroki Mroki).KAMPUNI ya Tanzania Standard Newspapers (TSN) Ltd imesisitiza kuendelea kujikita zaidi katika kuandika habari za wananchi zisizojadili watu.

 

11 years ago

Dewji Blog

Japan yaahidi kuendelea kuchangia Bajeti ya Tanzania

001

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Katibu Mkuu Kiongozi wa Japan, Yoshihiro Suga, wakati alipofika ofisini kwake Jijini Tokyo Japan leo Mei 21, 2014, akiwa katika ziara ya kikazi. (Picha na OMR).

Mwandishi Maalum, Tokyo

Serikali ya Japan imeelezea nia yake ya kuendelea kuchangia bajeti ya Tanzania na kufafanua kuwa, inafanya hivyo kwa kutambua kuwa Tanzania ni mshirika mkubwa wa maendeleo na kwamba ni nchi yenye kutia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani