Filamu kumhusu Dokta Mukwege yazuiwa DRC
Filamu inayoeleza harakati za Daktari Mkwege kusaidia Wanawake Congo imepigwa marufuku na Serikali
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili06 Dec
Hisia za wananchi kumhusu Mandela
10 years ago
MichuziBodi ya Filamu Nchini yatoa wito kwa wamiliki wa Filamu kuweza kuwasilisha Filamu.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu , Joyce Fisoo ametoa wito kwa kampuni za Filamu nchini kuwasilisha filamu zao ili ziweze kuhakikiwa na kulipiwa kwa kupata kibali cha kuingia sokoni kama sheria ya filamu ya mwaka 1976 kifungu namba 4 inavyoeleza.
Akizungumza katika ofisi za Bodi leo jijini Dar es Salaam, Fisoo ameipongeza kampuni ya Al-Riyamy Production ambayo imeweza kutimiza wajibu wake na kulipia filamu 134 ambazo zimepata kibali cha kupatiwa stamp za TRA...
10 years ago
Vijimambo14 Nov
BODI YA FILAMU TANZANIA YAZITAKA KAMPUNI ZA FILAMU KUZINGATIA SHERIA NA KANUNI ZA FILAMU.
11 years ago
Bongo Movies13 Aug
Je, hiki kitu ni kweli kumhusu mwigizaji JB?
Kutoka kwenye mtandao maarufu wa habari nchini - BongoClanTz tumekutana na ujumbe huu unaomlenga msanii nguli nchini Jacob Steve ama JB kama wengi wanavyopenda kumuita.
Ujumbe huu ni kuhusu kazi zake mbalimbali za filamu anazozifanya mwigizaji huyu. Na unasomeka kama ifuatavyo’-
“Mimi sio mpenzi sana wa kuangalia filamu, ila mara chache tu huwa naangalia hasa kwenye mabasi ninaposafiri.
Kitu kinachonikera kwenye hizi Bongo movie hasa za JB ni kutumia wahusika wale wale na theme ile ile...
11 years ago
BBCSwahili20 Oct
Van Gaal apuuza tathmini kumhusu
11 years ago
BBCSwahili21 Feb
Mugabe 90-Mambo tisa usiyoyajua kumhusu
10 years ago
VijimamboCHAMA CHA WASAMBAZAJI WA FILAMU TANZANIA WASITISHA KUKUNUNUA STIKA ZA TRA NA KUPELEKA FILAMU ZAO BODI YA FILAMU KWAAJILI YA KUFANYIWA UKAGUZI
10 years ago
Habarileo13 Apr
Kanisa laandaa kitabu maalumu kumhusu msichana
KANISA la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Usharika wa Gide, jijini Dar es Salaam limeandaa kitabu maalumu kuhusu msichana ambacho pamoja na masuala mengine, kinalenga kumwepusha na vishawishi na kumpotezea dira ya maisha.
10 years ago
Michuzi
TAARIFA YA UWONGO NA UPOTOSHAJI KUMHUSU JAJI MKUU

