Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Filikunjombe: CCM imenipa heshima

ludewa_legislator_deo_filikunjombe_ccmNa Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

MBUNGE wa Ludewa anayemaliza muda wake, Deo Filikunjombe (CCM), amesema hatua ya kuchaguliwa na wana Ludewa na kisha kuteuliwa na chama chake kwa mara ya pili ni kitendo cha heshima kwake na wapiga kura wake.

Hayo ameyasema jana alipokuwa akizungumza na MTANZANIA, ambapo alisema pamoja na kupata changamoto wakati wa kura za maoni lakini bado atazifanyia kazi hoja za waliokuwa washindani wake ili kuweza kumaliza kero za wana Ludewa.

“Ninawashukuru sana...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE ATOA HESHIMA ZAKE ZA MWISHO KWA MAREHEMU DEO FILIKUNJOMBE NA WENZAKE WAWILI WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA HELIKOPTA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mgombea Urais wa tiketi ya CCM Dkt.John Pimbe Magufuli wakitoa heshima za mwisho mbele ya majeneza ya aliyekuwa Mbunge wa Ludewa(CCM) Marehemu Deo Filikunjombe na wenzake wawili waliofariki katika ajali ya helikopta juzi katika pori la akiba la mbuga ya Selous. Marehemu aliagwa katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam Oktoba 17, 2015.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Mke wa Marehemu Bi Sarah Filikunjombe wakati wa kuaga mwili wa marehemu...

 

9 years ago

Dewji Blog

Dkt. Magufuli ashiriki kutoa heshima za mwisho kwa marehemu Deo Filikunjombe na wenzake wawili waliofariki katika ajali ya Helikopta

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli  akitoa heshima za mwisho mbele ya majeneza ya aliyekuwa Mbunge wa Ludewa(CCM) Marehemu Deo Filikunjombe na wenzake wawili waliofariki katika ajali ya helikopta juzi katika pori la akiba la mbuga ya Selous. Marehemu aliagwa katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam Oktoba 17, 2015.PICHA NA MICHUZI JR. Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha...

 

9 years ago

Michuzi

DKT MAGUFULI ASHIRIKI KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU DEO FILIKUNJOMBE NA WENZAKE WAWILI WALIOFARIKA KATIKA AJALI YA HELIKOPTA..

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli  akitoa heshima za mwisho mbele ya majeneza ya aliyekuwa Mbunge wa Ludewa(CCM) Marehemu Deo Filikunjombe na wenzake wawili waliofariki katika ajali ya helikopta juzi katika pori la akiba la mbuga ya Selous. Marehemu aliagwa katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam Oktoba 17, 2015.PICHA NA MICHUZI JR.Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha...

 

9 years ago

Mwananchi

Mrithi wa Filikunjombe CCM kupatikana leo

Wanachama wa CCM katika Jimbo la Ludewa mkoani Njombe, leo wanapiga kura za maoni ili kumpata mgombea ubunge kupitia chama hicho atakayeziba pengo lililoachwa na Deo Filikunjombe aliyefariki dunia Oktoba 15, mwaka huu.

 

9 years ago

TheCitizen

CCM picks Filikunjombe successor tomorrow

CCM’s National Executive Committee (NEC) in Ludewa constituency is meeting tomorrow to select one candidate out of seven who are eying at the seat after the death of Deo Filikunjombe last month.

 

11 years ago

Mtanzania

Filikunjombe: CCM imekosea kuendelea na Bunge la Katiba

Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe

Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe

NA WAANDISHI WETU

MBUNGE wa Ludewa, Deo Filikunjombe (CCM), amesema kitendo cha wabunge wa CCM kuendelea na mkutano wa Bunge Maalum la Katiba ni matumizi mabaya ya wingi wao ndani ya Bunge hilo.

Pamoja na hayo, amesema haungi mkono hatua iliyofikiwa ya kitendo cha wajumbe wenzake wa CCM kuendelea na mchakato wa Katiba mpya kwa sababu swala la Katiba halina mshindi.

Alisema kitendo kilichofanywa na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kususia vikao vya Bunge...

 

9 years ago

Mwananchi

Makada tisa CCM wajitosa kumrithi Filikunjombe

Wanachama tisa wa CCM wamejitosa kuwania kuteuliwa kugombea ubunge wa Jimbo la Ludewa mkoani Njombe ambalo uchaguzi wake uliahirishwa baada ya aliyekuwa mgombea kupitia chama hicho, Deo Filikunjombe kufariki dunia kwa ajali ya helikopta.

 

9 years ago

Habarileo

'Mapambano ya ufisadi yanaipa heshima CCM'

MBUNGE wa Korogwe Vijijini, Stephen Ngonyani (CCM), amesema juhudi za Rais Dk John Magufuli za kudhibiti wakwepa kodi zinakipa heshima kubwa chama chao katika mapambano dhidi ya ufisadi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani