Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mrithi wa Filikunjombe CCM kupatikana leo

Wanachama wa CCM katika Jimbo la Ludewa mkoani Njombe, leo wanapiga kura za maoni ili kumpata mgombea ubunge kupitia chama hicho atakayeziba pengo lililoachwa na Deo Filikunjombe aliyefariki dunia Oktoba 15, mwaka huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mrithi wa Nangole CCM Arusha kuanza kusakwa leo

Chama cha Mapinduzi(CCM) Mkoa wa Arusha leo kinaanza kutoa fomu kwa wanachama wake watakaowania nafasi ya kujaza nafasi ya mwenyekiti wa Mkoa wa Arusha na katibu wa itikadi na uenezi wa chama hicho kutokana na waliokuwa wakizishikilia kuhamia Chadema.

 

10 years ago

Vijimambo

URAIS CCM: TANO NA TATU BORA KUPATIKANA LEO


Baadhi ya waandishi wa habari waliopo mjini Dodoma, wakiirusha taarifa hiyo baada ya kuipata, leo.
Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye ametoa ratiba ya Vikao kwa siku ya leo tarehe 10/7/2015.

Akizungumza na waandishi wa habari leo, Nape amesema, kuanzia Saa 4 hadi saa 7 mchana, kitafanyika kikao cha Usalama na Maadili chini ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete.

Amesema kuanzia Saa 8 hadi saa12 Jioni ni Kikao cha Kamati Kuu kitakachopitisha majina matano ya wagombea walioomba ridhaa ya...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM MJINI DODOMA LEO, TANO BORA YA WAGOMBEA KUPATIKANA BAADA YA KIKAO HIKI

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM (CC) kinachoendelea hivi sasa kwenye Ukumbi wa White House, Makao Makuu ya CCM, Mjini Dodoma. Kikao hiki kinapitia majina yote 38 ya Watangaza nia ya kugombea Urais kwa tiketi ya CCM, ambapo majina matano yatapatikana baada ya kikao hiki.Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM - Zanzibar, Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, Makamu Mwenyekiti wa CCM - Bara,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rage kupata mrithi leo

KLABU ya Simba leo inakwenda kupata safu mpya ya uongozi utakaodumu madarakani kwa kipindi cha miaka minne ijayo, ukipokea zamu kutoka kwa uongozi uliokuwa chini ya Alhaji Ismail Aden Rage,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Nani atakaye mrithi Kikwete katika CCM?

Chama tawala cha Mapinduzi Tanzania - CCM kimeanza rasmi mkutano mkuu wa taifa wa chama hicho mjini Dodoma

 

9 years ago

Habarileo

Mufti Tanzania kupatikana leo

SASA ni rasmi kwamba, Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa kumpata Mufti wa Tanzania unatarajiwa kufanyika leo mjini hapa ukishirikisha wagombea wanne, akiwemo Kaimu Mufti, Shehe Abubakar Zuberi.

 

10 years ago

Mwananchi

Miss Ilala kupatikana leo

Mashindano ya kumsaka mnyange wa Ilala yamepangwa kufanyika leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Kilimanjaro Kenpisk jijini hapa.

 

11 years ago

GPL

MSHINDI WA MILIONI 10 KUPATIKANA LEO

Na Lucy Mgina
IMETIMIA! Ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na wasomaji wa Gazeti la Championi kujinyakulia shilingi milioni 10 taslimu, sasa imetimia kwani leo kwenye Viwanja vya Mbagala Zakhem jijini Dar ndiyo itafanyika droo hiyo ya mwisho. Hii ni droo ya mwisho ambapo awali katika droo zilizopita walipatikana washindi mbalimbali wa sofa seti, friji, flat screen na dekoda yake, dinner seti na nyinginezo kibao. Meneja wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani