Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mrithi wa Nangole CCM Arusha kuanza kusakwa leo

Chama cha Mapinduzi(CCM) Mkoa wa Arusha leo kinaanza kutoa fomu kwa wanachama wake watakaowania nafasi ya kujaza nafasi ya mwenyekiti wa Mkoa wa Arusha na katibu wa itikadi na uenezi wa chama hicho kutokana na waliokuwa wakizishikilia kuhamia Chadema.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NANGOLE NA KADOGOO WA CCM ARUSHA, WATIMKIA CHADEMA

Katika hali isiyokuwa ya kawaida Chama cha Mapinduzi kimeendelea kupoteza wanachama  wake mara baada  Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Arusha, Onesmo Nangole pamoja na Katibu Mwenezi wa Mkoa huo Isaac Joseph kutangaza rasmi kukihama chama hicho cha CCM na kujiunga na CHADEMA.
Uamuzi huo ulifanyika jana jijini Arusha katika moja ya hotel maarufu ambapo viongozi hao walipata wasaa wa kupokelewa na uongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA).
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha...

 

10 years ago

Dewji Blog

Uongozi wa CCM Arusha, Nangole na Kadogoo watimukia CHADEMA

unnamed

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha, Onesmo Ole Nangole (kulia) akizungumza na waandishi wa habari leo mara baada ya kuhamia rasmi chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kushoto ni Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Arusha Isaac Joseph Maarufu kama Kadogoo. (Habari Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)

Katika hali isiyokuwa ya kawaida Chama cha Mapinduzi kimeendelea kupoteza  wanachama  wake mara baada  Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Arusha, Onesmo Nangole pamoja na Katibu Mwenezi wa Mkoa...

 

9 years ago

Mwananchi

Mrithi wa Filikunjombe CCM kupatikana leo

Wanachama wa CCM katika Jimbo la Ludewa mkoani Njombe, leo wanapiga kura za maoni ili kumpata mgombea ubunge kupitia chama hicho atakayeziba pengo lililoachwa na Deo Filikunjombe aliyefariki dunia Oktoba 15, mwaka huu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nyota Stars kuanza kusakwa Februari 22

MICHUANO maalumu ya soka ya kushindanisha vikosi vya mikoa 22 ya Tanzania Bara kupata nyota wa timu ya Tanzania, Taifa Stars, itachezwa kuanzia Februari 22 hadi Machi 5. Hayo yalisemwa...

 

5 years ago

Michuzi

WADAIWA KODI YA PANGO LA ARDHI KUANZA KUSAKWA NCHI NZIMA


Na Munir Shemweta, WANMM DODOMA

Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeanza operesheni maalum ya kuwasaka wadaiwa wote sugu ya kodi ya pango la ardhi na kuwafikisha katika vyombo vya sheria ili kufidia madeni wanayodaiwa.

Akizungumza na Wenyeviti na Watendaji wa Mitaa katika jiji la Dodoma leo tarehe 6 Machi 2020 Kamishna wa Ardhi nchini Nathaniel Methew Nhonge alisema opresheni hiyo inaanza leo kwa nchi nzima ambapo wamiliki wote waliopelekewa ilani za madai wanatakiwa kulipa madeni...

 

10 years ago

Habarileo

Vikao vizito vya CCM kuanza leo

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman KinanaCHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimejigamba kitatoka katika vikao vyake muhimu vya Kamati Kuu (CCM) na Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) vinavyoanza mjini hapa leo kikiwa imara kuliko hapo awali.

 

10 years ago

GPL

VIKAO VYOTE VYA CCM KUANZA LEO SAA 4 ASUBUHI - NAPE NNAUYE

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari nje ya Ukumbi wa White House, Mjini Dodoma leo Julai 10, 2015. KATIBU wa NEC, Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Nape Nnauye amesema, leo hii majina matano ya makada wa chama hicho walioomba kuteuliwa na CCM kuwania kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yatajulikana, na kufuatia majina matatu ya makada hao ambayo...

 

11 years ago

Habarileo

Suluhu Bunge la Katiba kusakwa leo

 Katibu wa Bunge Maalumu la Katiba, Yahaya Khamis HamadWAJUMBE wote wa Bunge Maalumu la Katiba, wanakutanishwa leo katika kikao kilichoitishwa na Mwenyekiti, Samuel Sitta.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani