FILM SUBMISSION REMINDER/KUKUMBUSHWA KUWASILISHA FILAMU
Habari Wadau
Naomba tusaidiane kuwa kumbusha wadau wote wa Tasnia ya Filamu nchini kuwa mwisho wa kupokea Filamu kwaajili ya Tamasha la Filamu la Nchi za Jahazi (ZIFF) ni Tarehe 31/01/2015 kwa waandaaji filamu wote wa ndani na nje ya nchi.
Kama wewe ni Mtanzania na unataka kuwasilisha filamu yako basi wasiliana na Ibra Mitawi +255 713 300997 au +255 783 300997 au mnaweza kutuma ofisini Zanzibar moja kwa moja, hatutapokea filamu yeyote baada ya tarehe hiyo. Tunaomba pia mjaribu kuweka filamu...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboSWAHILI FILM SCRIPT SUBMISSION
ZIFF imeanza kupokea miswada ya skript za filamu ndefu na fupi kwa wanaotaka kujiunga na Warsha za uandishi wakati wa ZIFF 2015..
Contact/Wasiliana na:Phone: +255 773411499 +255 777350700e-Mail filmdept@ziff.or.tzNawatakia Siku njema.
Regards:omary mdogwa
9 years ago
Dewji Blog22 Nov
Film submission for ZIFF 2016 are now open!!
ZIFF is excited to announce that the submission for films for the 2016 edition of ZIFF is now open. Festival Director Prof Martin Mhando has confirmed that despite the fears that the two major festivals of Zanzibar will be cancelled next year, ZIFF 2016 will be holding its 19th edition from July 9th – 17th 2016.
Following the announcement of the cancellation of the Sauti ya Busara music festival for 2016, many had feared ZIFF would follow suit at an attempt to encourage more government...
10 years ago
MichuziBodi ya Filamu Nchini yatoa wito kwa wamiliki wa Filamu kuweza kuwasilisha Filamu.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu , Joyce Fisoo ametoa wito kwa kampuni za Filamu nchini kuwasilisha filamu zao ili ziweze kuhakikiwa na kulipiwa kwa kupata kibali cha kuingia sokoni kama sheria ya filamu ya mwaka 1976 kifungu namba 4 inavyoeleza.
Akizungumza katika ofisi za Bodi leo jijini Dar es Salaam, Fisoo ameipongeza kampuni ya Al-Riyamy Production ambayo imeweza kutimiza wajibu wake na kulipia filamu 134 ambazo zimepata kibali cha kupatiwa stamp za TRA...
10 years ago
MichuziZIFF YAWAKUMBUSHA WADAU WA FILAMU NCHINI KUWASILISHA FILAMU ZAO
"Kama wewe ni Mtanzania na unataka kuwasilisha filamu yako basi wasiliana na Ibra Mitawi +255 713 300997 au +255 783 300997 au mnaweza kutuma ofisini Zanzibar moja kwa moja, hatutapokea filamu yeyote baada ya tarehe hiyo".
Tunaomba pia mjaribu kuweka filamu ikiwa ndani ya DVD moja na si...
10 years ago
Bongo Movies24 May
Hawa Ndio Washindi wa Tuzo za Taifa za Filamu, Tanzania Film Awards (TAFA)
1. Best Actress In Leading Role: Irene Paul
2. Best Comedian: King Majuto
3 .Best Supporting Actress: Grace Mapunda
4. Best Supporting Actor (Male): Tino Hisani Muya
5. Best Screenplay: Irene Sanga
6. Tribute Award (Film Industry Support) : President Jakaya Kikwete
7. Tribute Personality Award: Steven Kanumba
8. Tribute Media : Zamaradi Mketema For Takeone(Clouds TV/Fm)
9. Life Time Achievement Award: Mzee Jangala
10. Best Feature Film : Network
11. Best Director : John Kalaghe
12. Best...
11 years ago
MichuziMAFUNZO YA BURE YA UIGIZAJI FILAMU NA UIMBAJI: RAFIKI ELIMU MUSIC & FILM ACADEMY
10 years ago
MichuziFILAMU KUTOKA PROIN PROMOTIONS LIMITED ZAFANIKIWA KUPITA MCHUJO WA KUONYESHWA KATIKA TAMASHA LA ARUSHA FILM FESTIVAL 2014
Tamasha la Arusha Film Festival ni tamasha la kimataifa ambalo linatarajiwa kufanyika kwa Mara ya Tatu mfululizo, ambapo litaanza tarehe 20 mpaka 27 Mwezi wa tisa (september) Jijini Arusha.
Arusha Film Festival 2014...
10 years ago
Michuzi10 years ago
TheCitizen22 Jul
Music & Film Combine at Zanzibar International Film Festival 2015