FLAVIANA MATATA AONGOZA MAMIA YA WANAMITINDO WA BONGO KUJIUNGA NA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF
![](http://1.bp.blogspot.com/-oTermGYzfNI/VViib95482I/AAAAAAAATrQ/QcSPKS6whBw/s72-c/f1.jpg)
Balozi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Flaviana Matata, ambaye ni Mwanamitindo na Mbunifu Mavazi maarufu nchini Tanzania, kwa sasa akifanyia kazi zake nchini Marekani, akizungumza wakati wa semina ya siku moja, iliyowaleta pamoja, wanamitindo "kinda" wa Tanzania, kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam Jumapili Mei 17, 2015. Semina hiyo ililenga kuwafunza na kubadilishana uzoefu juu ya tasnia hiyo inayokuwa kwa kasi. Semina hiyo ya siku moja, ilitayarishwa kwa pamoja na Mfuko wa Pensheni...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-LHPZ7-a_r_8/VV2ZGspLtFI/AAAAAAAAbAM/WYTzcvCs1QQ/s640/PIC3%2Bc.jpg)
BALOZI WA PSPF FLAVIANA MATATA ATOA ELIMU YA FURSA MBALIMBALI ZINAZOPATIKANA KATIKA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF KWA WANAFUNZI WA VYUO MBALIMBALI JIJINI MWANZA
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-LHPZ7-a_r_8/VV2ZGspLtFI/AAAAAAAAbAM/WYTzcvCs1QQ/s72-c/PIC3%2Bc.jpg)
FLAVIANA MATATA ATOA ELIMU YA FURSA MBALIMBALI ZINAZOPATIKANA KATIKA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF KWA WANAFUNZI WA VYUO MBALIMBALI JIJINI MWANZA
![](http://2.bp.blogspot.com/-LHPZ7-a_r_8/VV2ZGspLtFI/AAAAAAAAbAM/WYTzcvCs1QQ/s640/PIC3%2Bc.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-D8xi4V6BqwI/VV2ZCzkua0I/AAAAAAAAbAE/ahNmZXQRKI4/s640/PIC1%2Ba.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-4pmGQ8A0Frc/VV2ZLaOmAEI/AAAAAAAAbAU/6BW2u-i8bUU/s640/PIC4%2Bd.jpg)
10 years ago
GPLMH.HAMAD RASHID AWAASA WANAFUNZI KUJIUNGA NA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF ILI KUPATA MIKOPO YA ELIMU NA YA KUANZIA MAISHA
10 years ago
VijimamboMFUKO WA PENSHENI WA PSPF WATOA ELIMU KWA MADEREVA TAXI WA WILAYA YA ILALA NA MADEREVA KUJIUNGA NA MPANGO WA HIARI
10 years ago
MichuziMH.HAMAD RASHID AWAASA WANAFUNZI KUJIUNGA NA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF ILI KUPATA MIKOPO YA ELIMU NA MIKOPO YA KUANZIA MAISHA
9 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-neur_SVAT5I/VdMaRqOW-vI/AAAAAAAAX2s/dEa2vCOX2Oc/s640/umbrella.jpg)
MFUKO WA PENSHENI WA PSPF, TPB KWA KUSHIRIKIANA NA PROPERTY INTERNATIONAL WAZINDUA MFUKO MPYA
11 years ago
Dewji Blog12 Aug
Flaviana Matata Foundation na PSPF wakabidhi vifaa vya Shule Lindi
Mwanamitondo afanyae kazi zake za mitindo nchini Marekani Flaviana Matata, yuko nchini kwa ajili ya kufanya kazi za kijamii kupitia taasisi yake ya Flaviana Matata Foundation. katika mradi wa Back to school project /FMFstationarykit ambao unafadhiliwa na mfuko wa penseni PSPF,
Baada ya mwezi January Flaviana kugawa vifaa shule za msingi za jijini awamu hii ameenda Mtwara na kufanikiwa kugawa shule za Msingi Mtua na Chemchem ziliyopo Nachingwea pamoja nashule za msingi Litingi na Mnengulo...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-sZ7qCt4JI8w/U-jcI_vWvHI/AAAAAAAF-fU/THuLkcUhMNI/s72-c/unnamed+(32).jpg)
PSPF kwa kushirikiana na mwanamitindo Flaviana Matata wagawa vifaa shuleni
10 years ago
Vijimambo22 May
FLAVIANA MATATA AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUMBUKUMBU YA WALIOFARIKI MV BUKOBA
Na Johnson James, Mwanza
ALFAJIRI ya Mei 21 mwaka 1996 – siku kama ya leo -- ni tarehe ambayo Tanzania ilipatwa na msiba mzito ambapo zaidi ya watu 600 walifariki baada ya meli ya MV Bukoba iliyokuwa ikifanya safari zake kutoka mjini Bukoba kwenda jijini Mwanza kuzama katika Ziwa Victoria ambalo liko...