Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FLAVIANA MATATA AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUMBUKUMBU YA WALIOFARIKI MV BUKOBA

Flaviana Matata akiongea neno.Sheikh akiomba dua maalum kwa ajili ya kuwakumbuka marehemu wa ajali ya meli ya MV. Bukoba....wakipiga picha ya pamoja kwenye kaburi....wakipiga picha ya ukumbusho.
Na Johnson James, Mwanza
ALFAJIRI ya Mei 21 mwaka 1996 – siku kama ya leo -- ni tarehe ambayo Tanzania ilipatwa na msiba mzito ambapo zaidi ya watu 600 walifariki baada ya meli ya MV Bukoba iliyokuwa ikifanya safari zake kutoka mjini Bukoba kwenda jijini Mwanza kuzama katika Ziwa Victoria ambalo liko...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

FLAVIANA MATATA AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUMBUKUMBU YA WALIOFARIKI MV BUKOBA

Waliofika kanisa katoliki la Mt. Francis, lililopo Nyakahoja-Mwanza, na kushiriki misa maalum ya kumbukumbu ya kuzama kwa meli ya Mv. Victoria. Misa ya kumbukumbu ikiendelea.
Wakifuatilia misa ya kumbukumbu. Wakiweka mauwa kwenye kaburi.…

 

10 years ago

Michuzi

FLAVIANA MATATA FOUNDATION YAADHIMISHA TENA IBADA YA KUWAKUMBUKA WALIOPOTEZA MAISHA KWENYE AJALI YA MV BUKOBA

UKIWA NI MWAKA WA 19 TANGU AJALI YA MV BUKOBA ITOKEE FLAVIANA MATATA KUPITIA MFUKO WA FLAVIANA MATATA FOUNDATION AMBAYO IMEKUWA IKIADHIMISHA KWA KUSOMA IBADA NA KUKUMBUKA WAHANGA HAO AKIWEMO MAMA YAKE MZAZI. 
MWAKA WA NNE SASA FMF IKIWA INAFANIKISHA IBADA IYO AMBAPO ILISOMWA KATIKA KANISA LA NYAKAHOJA JIJINI MWANZA NA KISHA KUMALIZIA IBADA IYO KATIKA MAKABURI HAYO YALIYOPO IGOMA JIJINI MWANZA.
FLAVIANA MATATA FOUNDATION INAPENDA KUWASHURU TEAM YA ZALENDO TANZANIA , MARINE SERVICE KWA...

 

10 years ago

Michuzi

FLAVIANA MATATA AONGOZA MAMIA YA WANAMITINDO WA BONGO KUJIUNGA NA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF

Balozi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Flaviana Matata, ambaye ni Mwanamitindo na Mbunifu Mavazi maarufu nchini Tanzania,  kwa sasa akifanyia kazi zake nchini Marekani, akizungumza wakati wa semina ya siku moja, iliyowaleta pamoja, wanamitindo "kinda" wa Tanzania, kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam Jumapili Mei 17, 2015. Semina hiyo ililenga kuwafunza na kubadilishana uzoefu juu ya tasnia hiyo inayokuwa kwa kasi. Semina hiyo ya siku moja, ilitayarishwa kwa pamoja na Mfuko wa Pensheni...

 

10 years ago

Michuzi

RUSSELL SIMMONS AMSHIKA MKONO TENA FLAVIANA KUITAMBULISHA FLAVIANA MATATA FOUNDATION MAREKANI

Flaviana Matata Mwanamitindo wa kitanzania afanyae shughuli zake za Mitindo Nchini Marekani, Jana alijiunga na rafiki, mshauri, mwekezaji na hip- hop legend , Russell Simmons na kuitambulisha rasmi Flaviana Matata Foundation 'FMF' nchini Marekani katika hafla fupi ilofanyika jijini New York City kwenye mgahawa wa Beautique.  Nia ikiwa ni kusaidia suala la FMF katika - kuhamasisha , kuwawezesha na kuwasaidia watoto wa Tanzania katika masomo yao - wageni walioudhulia waliburudishwa na...

 

10 years ago

Michuzi

FLAVIANA MATATA FOR THE GLAMOURAI MAGAZINE

image (2)NI MWANAMITINDO FLAVIANA MATATA AFANYAYE KAZI ZAKE NCHINI MAREKANI SAFARI HII KATOKELEZEA KWENYE JARIDA THE GLAMOURAI MAGAZINE AKINADI MAPAMBO image (4)image (5)image (6)image

 

10 years ago

GPL

FLAVIANA MATATA AZUA UTATA WA UCHUMBA

Stori:  ERICK EVARIST
MISS Universe Tanzania 2007, Flaviana Matata amezua utata wa aina yake baada ya picha zinazomuonesha katika tukio la kuchumbiwa kunaswa na mwenyewe kudai si yeye aliyechumbiwa. Miss Universe Tanzania 2007, Flaviana Matata. Kwa mujibu wa chanzo, tukio hilo limedaiwa kufanyika kwa siri hivi karibuni nyumbani kwa miss huyo, Shinyanga na kuhudhuriwa na baadhi ya ndugu wa karibu. “Inaonesha...

 

10 years ago

GPL

FLAVIANA MATATA KUOLEWA MWAKA HUU

Stori: Na Imelda Mtema/Ijumaa Wikienda
GOOD news kutoka kwa Mwanamitindo wa Kimataifa, Flaviana Matata ni kwamba anatarajia kufunga pingu za maisha Agosti 15, mwaka huu na kijana wa Kichaga anayejulikana kwa jina la Deo Masawe aishie Atlanta, Marekani. Mwanamitindo wa Kimataifa, Flaviana Matata. Chanzo makini kutoka Atlanta, kimesema taratibu zote zimeshafanyika na kilichobaki ni siku ifike watu washerekehe.… ...

 

9 years ago

Vijimambo

Flaviana Matata ndani ya The Mboni Show

Mwanamitindo wakimataifa Flaviana Matata ambaye anafanyia shughuli zake nchini Marekani , leo alikuwa kwenye kipindi cha Runinga cha The Mboni Show kama mgeni mwalikwa akiiwakilisha PSPF akiwa mmoja wa Balozi wa PSPF akiwakilisha DIASPORA.Akiwa kwenye kipindi hicho sambamba na mwanadada Mboni Masimba alizungumzia masuala mbalimbali ikiwepo maisha ,familia sambamba na kazi zake kama balozi wa PSPF ndani na nje ya nchi.PSPF ni wadhamini wa kuu wa The Mboni Show .aflaviana matata akihojiwa na thembonishow-10flaviana matata akihojiwa na thembonishow flaviana matata akihojiwa na thembonishow-2 flaviana matata akihojiwa na thembonishow-3 flaviana matata akihojiwa na thembonishow-9 flaviana matata akihojiwa na thembonishow-6 flaviana matata akihojiwa na thembonishow-7
flaviana matata akihojiwa na thembonishow-18mara baada ya show...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani