Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Flaviana Matata kushiriki kwenye Tangazo la vivutio vya Tanzania litakalorushwa na CNN America na BBC World

Mwanamitindo wa Tanzania aishiye na kufanya shughuli zake nchini Marekani, Flaviana Matata ataonekana kwenye tangazo la TV la vivutio vya Tanzania, ambalo linatarajiwa kuoneshwa kupitia vituo vya Televisheni vikubwa duniani , CNN na BBC. Taarifa hiyo imetolewa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kupitia Twitter. “Flaviana Matata kushiriki Tangazo la vivutio vya Tanzania […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

FLAVIANA MATATA ATANGAZA VIPODOZI VYA KIKO

flavy Kwa mara nyengine tena Mwanamitindo afanyae kazi zake za uanamitindo nchini Marekani Flaviana Matata amepata deal ya kutangaza vipodozi vya Kiko Milano vya nchini ItalyFlaviana na wanamitindo wenzie wanatangaza kampeni iyo iliyopewa jina la Modern Tribe.

 

10 years ago

Michuzi

RUSSELL SIMMONS AMSHIKA MKONO TENA FLAVIANA KUITAMBULISHA FLAVIANA MATATA FOUNDATION MAREKANI

Flaviana Matata Mwanamitindo wa kitanzania afanyae shughuli zake za Mitindo Nchini Marekani, Jana alijiunga na rafiki, mshauri, mwekezaji na hip- hop legend , Russell Simmons na kuitambulisha rasmi Flaviana Matata Foundation 'FMF' nchini Marekani katika hafla fupi ilofanyika jijini New York City kwenye mgahawa wa Beautique.  Nia ikiwa ni kusaidia suala la FMF katika - kuhamasisha , kuwawezesha na kuwasaidia watoto wa Tanzania katika masomo yao - wageni walioudhulia waliburudishwa na...

 

11 years ago

Dewji Blog

Flaviana Matata Foundation na PSPF wakabidhi vifaa vya Shule Lindi

Mwanamitondo afanyae kazi zake za mitindo nchini Marekani Flaviana Matata, yuko nchini kwa ajili ya kufanya kazi za kijamii kupitia taasisi yake ya Flaviana Matata Foundation. katika mradi wa Back to school project /FMFstationarykit ambao unafadhiliwa na mfuko wa penseni PSPF,

Baada ya mwezi January Flaviana kugawa vifaa shule za msingi za jijini awamu hii ameenda Mtwara na kufanikiwa kugawa shule za Msingi Mtua na Chemchem ziliyopo Nachingwea pamoja nashule za msingi Litingi na Mnengulo...

 

10 years ago

Michuzi

FLAVIANA MATATA FOUNDATION YAADHIMISHA TENA IBADA YA KUWAKUMBUKA WALIOPOTEZA MAISHA KWENYE AJALI YA MV BUKOBA

UKIWA NI MWAKA WA 19 TANGU AJALI YA MV BUKOBA ITOKEE FLAVIANA MATATA KUPITIA MFUKO WA FLAVIANA MATATA FOUNDATION AMBAYO IMEKUWA IKIADHIMISHA KWA KUSOMA IBADA NA KUKUMBUKA WAHANGA HAO AKIWEMO MAMA YAKE MZAZI. 
MWAKA WA NNE SASA FMF IKIWA INAFANIKISHA IBADA IYO AMBAPO ILISOMWA KATIKA KANISA LA NYAKAHOJA JIJINI MWANZA NA KISHA KUMALIZIA IBADA IYO KATIKA MAKABURI HAYO YALIYOPO IGOMA JIJINI MWANZA.
FLAVIANA MATATA FOUNDATION INAPENDA KUWASHURU TEAM YA ZALENDO TANZANIA , MARINE SERVICE KWA...

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Bongo5

Picha: Flaviana Matata na Rosemary Kokuhilwa wajichanganya na Paris na Nicky Hilton kwenye New York Fashion Week

Mrembo wa kimataifa kutoka Tanzania, Flaviana Matata pamoja na stylist wa Tanzania aishiye nchini Marekani, Kokuhilwa Rosemary Jumanne hii walijichanganya na mastaa wengine kwenye New York Fashion Week. Kutoka Kushoto, mwanamitindo Tori Praver, Paris, Nicky na Flaviana Matata Flaviana ambaye hivi karibuni alifunga ndoa naye pia anaishi jijini humo. Wawili hao walijikuta wamekaa kwenye mstari […]

 

9 years ago

Vijimambo

Flaviana Matata ateuliwa kuwa Balozi wa hiyari wa Utalii Tanzania.



Dr Adelhelm James Meru akimkabidhi Flaviana Matata barua ya kuchaguliwa kwake huku kaimu Mkurugenzi Devota Mdachi akishuhudia, katika ofisi za wizara hiyo
Mwanamitindo wa Kimataifa anaefanyia kazi zake za nchini Marekani Flaviana Matata amechagulia na Wizara ya Maliasili kuwa Balozi wa Hiyari 'Good Will Ambassador' kwa kipindi cha miaka mitatu kwa dhumuni la kutangaza vivutio vya utalii vya Tanzania ndani na nje ya nchi.
Flaviana ambaye juzi alikuwa mmoja kati ya shuhuda wa kushuhudia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani