Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FLAVIANA MATATA MTAZANIA ANAETAMBA KATIKA ANGA ZA MITINDO AKIWA KWENYE JARIDA LA NEW AFRICAN WOMEN


Flaviana Matata mwenye makazi yake New York City. 

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RUSSELL SIMMONS AMSHIKA MKONO TENA FLAVIANA KUITAMBULISHA FLAVIANA MATATA FOUNDATION MAREKANI

Flaviana Matata Mwanamitindo wa kitanzania afanyae shughuli zake za Mitindo Nchini Marekani, Jana alijiunga na rafiki, mshauri, mwekezaji na hip- hop legend , Russell Simmons na kuitambulisha rasmi Flaviana Matata Foundation 'FMF' nchini Marekani katika hafla fupi ilofanyika jijini New York City kwenye mgahawa wa Beautique.  Nia ikiwa ni kusaidia suala la FMF katika - kuhamasisha , kuwawezesha na kuwasaidia watoto wa Tanzania katika masomo yao - wageni walioudhulia waliburudishwa na...

 

10 years ago

Michuzi

FLAVIANA MATATA FOUNDATION YAADHIMISHA TENA IBADA YA KUWAKUMBUKA WALIOPOTEZA MAISHA KWENYE AJALI YA MV BUKOBA

UKIWA NI MWAKA WA 19 TANGU AJALI YA MV BUKOBA ITOKEE FLAVIANA MATATA KUPITIA MFUKO WA FLAVIANA MATATA FOUNDATION AMBAYO IMEKUWA IKIADHIMISHA KWA KUSOMA IBADA NA KUKUMBUKA WAHANGA HAO AKIWEMO MAMA YAKE MZAZI. 
MWAKA WA NNE SASA FMF IKIWA INAFANIKISHA IBADA IYO AMBAPO ILISOMWA KATIKA KANISA LA NYAKAHOJA JIJINI MWANZA NA KISHA KUMALIZIA IBADA IYO KATIKA MAKABURI HAYO YALIYOPO IGOMA JIJINI MWANZA.
FLAVIANA MATATA FOUNDATION INAPENDA KUWASHURU TEAM YA ZALENDO TANZANIA , MARINE SERVICE KWA...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Flaviana Matata na Rosemary Kokuhilwa wajichanganya na Paris na Nicky Hilton kwenye New York Fashion Week

Mrembo wa kimataifa kutoka Tanzania, Flaviana Matata pamoja na stylist wa Tanzania aishiye nchini Marekani, Kokuhilwa Rosemary Jumanne hii walijichanganya na mastaa wengine kwenye New York Fashion Week. Kutoka Kushoto, mwanamitindo Tori Praver, Paris, Nicky na Flaviana Matata Flaviana ambaye hivi karibuni alifunga ndoa naye pia anaishi jijini humo. Wawili hao walijikuta wamekaa kwenye mstari […]

 

10 years ago

Bongo5

Flaviana Matata kushiriki kwenye Tangazo la vivutio vya Tanzania litakalorushwa na CNN America na BBC World

Mwanamitindo wa Tanzania aishiye na kufanya shughuli zake nchini Marekani, Flaviana Matata ataonekana kwenye tangazo la TV la vivutio vya Tanzania, ambalo linatarajiwa kuoneshwa kupitia vituo vya Televisheni vikubwa duniani , CNN na BBC. Taarifa hiyo imetolewa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kupitia Twitter. “Flaviana Matata kushiriki Tangazo la vivutio vya Tanzania […]

 

10 years ago

Michuzi

supermodel flaviana matata atembelea ubalozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa jijini New York

Ankal akila konozzzz na supermodel wa Tanzania anaefanya kazi zake jijini New York, Marekani, walipokutana jijini humo hivi karibuni. Ankal anamsifia Flaviana kwa kuwa mmoja wa watu maarufu wachache wanaoendesha maisha yao bila maskendo wala kashfa. Hongera sana Flaviana. Kaza buti na endeleza kupeperusha bendera yetu vyema ughaibuni.
Picha ya chini Flaviana akiwa na maafisa wa ubalozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa jijini New York.

 

11 years ago

GPL

FLAVIANA MATATA, PSPF WATOA MABEGI KWA WANAFUNZI 650 WA SHULE KATIKA HALMASHAURI ZA LINDI NA NACHINGWEA MKOANI LINDI

Meneja Mawasiliano, Masoko na Uenezi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Costantina Martin pamoja na Mwanamitindo Flaviana Matata wakitoa mabegi kwa mmoja wa wanafunzi wa shule ya Msingi Mnengulo mkoani Lindi. Jumla ya wanafunzi 650 wa shule zilizopo katika  Halmashauri za Lindi na Nachingwea  mkoa wa Lindi wamenufaika na msaada huo wa mabegi hayo yenye vifaa mbalimbali vya shule, msaada huo umetolewa kwa pamoja kati ya PSPF na...

 

10 years ago

Michuzi

FLAVIANA MATATA ATOA ELIMU YA FURSA MBALIMBALI ZINAZOPATIKANA KATIKA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF KWA WANAFUNZI WA VYUO MBALIMBALI JIJINI MWANZA

 Balozi wa PSPF, Bi. Flaviana Matata akitoa elimu kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu (hawapo pichani), katika semina ya siku moja juu ya Fursa zinazopatikana kwa wanachama wa Mfuko wa PSPF, iliyofanyika jana jijini Mwanza Afisa Mfawidhi Ofisi ya PSPF Mwanza, Bw. Salim Salim, akisalimiana na Balozi wa PSPF, Bi. Flaviana Matata, kabla ya kuanza semina ya siku moja kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu jijini Mwanza.
Baadhi ya wanafunzi wakisoma vipeperushi vyenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani