MWANAMITINDO FLAVIANA MATATA AKIWA KAZINI KATIKA KUTANGAZA BRAND NA DESIGNS ZA KAMPENI YA KATE SPADE SATURDAY
f
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi31 May
MWANAMITINDO WA KIMATAIFA FLAVIANA MATATA AZIDI KUWIKA
MWANAMITINDO AFANYAYE KAZI ZAKE ZA UANAMITINDO ALOJIKITA MAREKANI FLAVIANA MATATA AMEKUWA AKIFANYA KAZI MBALI MBALI ZA KUONESHA MAVAZI JUKWAANI SAMBAMBA NA HIZI ZA MATANGAZO YA KIBIASHARA YA MATANGAZO YA MAVAZI NA SAFARI HII AMEFANYA NA KAMPUNI YA NEWYORK AND COMPANY KWA AJILI YA MAVAZI YA MAJIRA YA JOTO






10 years ago
Vijimambo
FLAVIANA MATATA MTAZANIA ANAETAMBA KATIKA ANGA ZA MITINDO AKIWA KWENYE JARIDA LA NEW AFRICAN WOMEN


Flaviana Matata mwenye makazi yake New York City.
11 years ago
Michuzi15 Mar
Haikupunguzii chochote kumpa mwanamke nafasi - Mwanamitindo Flaviana Matata

Wakati mikutano mbalimbali kuhusu hali ya ya wanwake ikiendelea mjini New York Marekani, mwanamitindo nguli wa kimataifa kutoka Tanzania Flaviana Matata ambaye pia anamiliki taasisi iitwayo Flaviana Matata inayotoa misaada ya kielimu, amesema ikiwa wanawake watainuana na kupeana nafasi watapiga hatua kwani kufanya hivyo kunatoa fursa zaidi kwa kundihilo.
Katika mahiojiano maalum na Joseph Msami wa idhaa hii muda mfupi baada ya kuhudhuria...
11 years ago
Michuzi.jpg)
PSPF kwa kushirikiana na mwanamitindo Flaviana Matata wagawa vifaa shuleni
Mfuko wa Pensheni wa PSPF kwa kushirikiana na Taasisi ya Flaviana Matata imetoa msaada wa vifaa vya shule kwa wanafunzi walio katika mazingira magumu mkoani Lindi. Flaviana Matata ambaye ni mwanamitindo anayefanya nchini Marekani amekabidhi mabegi 650, kila begi lina vifaa mbalimbali vya shule. Vifaa vilikabidhiwa na Flaviana Matata mwenyewe kwa baadhi ya wanafunzi wa wilaya za Nachingwea na Lindi Mjini Lengo la msaada huo ambao umetolewa kwa pamoja kati ya Taasisi ya Flaviana Matata na...
10 years ago
Michuzi
BALOZI WA PSPF MWANAMITINDO WA KIMATAIFA FLAVIANA MATATA AKABIDHI MABEGI NA MADAFTARI KWA SHULE ZA MSINGI DODOMA NA SINGIDA

NA K-VIS MEDIA, DODOMA NA SINGIDABALOZI wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Flaviana Matata, ametoa wito kwa wanafunzi wa shule za msingi Chididimo iliyoko Manispaa ya mji wa Dodoma na ile ya...
10 years ago
Dewji Blog08 Oct
Balozi wa PSPF Mwanamitindo wa Kimataifa Flaviana Matata akabidhi mabegi na madaftari kwa shule za Msingi Dodoma na Singida

Balozi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Flaviana Matata, akikabidhi begi kwa mwanafunzi wa Shule ya Msingi, Nyerere iliyoko Manispaa ya Singida, Oktoba 7, 2015. PSPF kupitia Sera yake ya kusaidia jamii imetoa msaada wa mabegi na madaftari kwa shule hiyo na ile ya Chididimo iliyoko nje kidogo ya Manispaa ya Dodoma
NA K-VIS MEDIA, DODOMA NA SINGIDA BALOZI wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Flaviana Matata, ametoa wito kwa wanafunzi wa shule za msingi Chididimo iliyoko Manispaa ya mji wa Dodoma...
10 years ago
Michuzi11 Dec
RUSSELL SIMMONS AMSHIKA MKONO TENA FLAVIANA KUITAMBULISHA FLAVIANA MATATA FOUNDATION MAREKANI
Flaviana Matata Mwanamitindo wa kitanzania afanyae shughuli zake za Mitindo Nchini Marekani, Jana alijiunga na rafiki, mshauri, mwekezaji na hip- hop legend , Russell Simmons na kuitambulisha rasmi Flaviana Matata Foundation 'FMF' nchini Marekani katika hafla fupi ilofanyika jijini New York City kwenye mgahawa wa Beautique. Nia ikiwa ni kusaidia suala la FMF katika - kuhamasisha , kuwawezesha na kuwasaidia watoto wa Tanzania katika masomo yao - wageni walioudhulia waliburudishwa na...
11 years ago
Michuzisupermodel flaviana matata atembelea ubalozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa jijini New York
Picha ya chini Flaviana akiwa na maafisa wa ubalozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa jijini New York.
10 years ago
Vijimambo
Mwanamitindo Millen Magese Alazwa Tena Hospitalini, Atoa Ujumbe Mzito Akiwa Katika Maumivu Makali

Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania