Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Flora Mvungi: Bongo Movie Hatuna Ushirikiano Hata Kidogo!!

Mwigizaji wa filamu  ambae ameingia kwenye bongo fleva, Flora Mvungi ‘H.Mama’ amefunguka na kusema kuwa wasanii wengi wa bongo movie hawapendani ndiomaana wanashindwa kufika mbali kisanaa.

Akinukuliwa na Gazeti moja la burudani, Flora alisema “Tukitaka kufanikiwa lazima sote letu liwe moja ili tufanye kitu kizuri,siku zote umoja ni nguvu cha msingi tukiamua kufanya kazi tusiangalie huyu bado msanii chipukizi siwezi kufanya naye kazi wote tushirikiane ili tufanye vitu bora na kupige...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

PAPASO: Florah Mvungi adai Bongo Movie hawapendani na AT asema Bongo Fleva imejaa majungu tupu

Muigizaji wa filamu za Bongo ambaye naye ameingia kwenye Bongo Fleva, Florah Mvungi a.k.a H.Mama na msanii wa muziki wa mduara AT ambao hivi karibuni wametoa wimbo wa pamoja ‘Mkazurule’ , walikuwa wageni kwenye kipindi cha Papaso kupitia TBC Fm. Miongoni mwa vitu ambavyo Florah ambaye pia ni mke wa H.Baba alivisema ni kuwa waigizaji […]

 

10 years ago

GPL

FLORA MVUNGI: MVUNGI NDOA MWAKA MMOJA, MTOTO MMOJA

ELIMU
Dada nakukubali sana, vipi kuhusu kiwango chako cha elimu? Fura, Hedaru, 0714403227
FLORA: Nina elimu ya kidato cha sita na Diploma ya Uandishi wa habari. Msanii wa Bongo Muvi na muziki Bongo, Flora Mvungi akiwa na mwanaye Tanzanite. NDOA NA UIGIZAJI
Hivi dada Flora unawezaje kuitumikia ndoa yako kikamilifu huku ukijishughulisha na uigizaji? Amiri Salumu, Dar, 0653252416
FLORA: Ni kujipanga tu, yote yanawezekana....

 

10 years ago

Mwananchi

Aibu, hatuna hata shaba ya ‘kuzugia’

Mwaka 2014 ninaweza kusema ndiyo umemalizika. Ninauita mwaka wa ajabu, mwaka wa aibu na ninaamini hata miaka mingine itaendelea kuwa hivyo, kwa kuwa hatufanyi kitu kuonekana kweli tunataka kufikia mahala fulani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Flora Mvungi: Sijabahatisha

NYOTA wa filamu za Kibongo ‘Bongo Movie’ aliyegeukia muziki wa Bongo Fleva, Flora Mvungi, amesema hajaingia katika tasnia ya muziki huo kwa kubahatisha, kwani alianza kuimba kabla watu hawajamfahamu kupitia...

 

10 years ago

GPL

FLORA MVUNGI ADAIWA KUCHEPUKA!

Mrembo kwenye tasnia ya filamu Bongo, Flora Mvungi ‘H-Mama’  MREMBO kunako filamu Bongo, Flora Mvungi ‘H-Mama’ amewashangaa wanaomsema pembeni kuwa kawahi kuchepuka na kukanusha vikali kuwa hakuwahi kufanya hivyo tangu afunge ndoa na mumewe, Khamisi Ramadhani ’H-Baba.’ Akifunguka ya moyoni kwa paparazi wetu,Flora alisema tangu wakutane na H-Baba kipindi cha uchumba wao hajawahi...

 

10 years ago

CloudsFM

H BABA NA FLORA MVUNGI: WAPEANA TUZO

Msanii Hamis Baba ‘’H.Baba’’ na mkewe flora mvungi jumamosi iliyopita walipeana tuzo zilizojulikana kama Tuzo Za Familia tukio lililofanyika kwenye hoteli ya Giraffe Ocean View Hotel. Tukio hilo lilihudhuriwa na wadau mbalimbali kama rais wa shirikisho la wasanii Tanzania, Simon Mwakifamba na watu wengine.

 

10 years ago

Mtanzania

Flora Mvungi: Umaarufu umenifikisha klabu

NA RHOBI CHACHA
MWIGIZAJI wa filamu za Bongo nchini, Flora Mvungi, ameweka wazi kwamba hasingefika kwenye kumbi za starehe kama asingekuwa maarufu.
Flora alisema kutokana na umaarufu wake alioupata kupitia sanaa ya uigizaji, alijikuta akilazimika kuzijua klabu za usiku tofauti na alivyokuwa akidhani kwamba angeweza kuwa maarufu bila kufika katika klabu hizo.
‘Nashukuru ustaa umenisaidia, kwani bila ya hivyo ningekuwa mama wa nyumbani ama kazi nyingine, lakini fani niliyoichagua imeniwezesha...

 

10 years ago

GPL

FLORA MVUNGI AFUNGUKA UHUSIANO WAKE NA DUDE

Tunamalizia makala haya tuliyoyaanza wiki iliyopita. Flora amefunguka mengi yahusuyo safari yake ya kisanaa!
ENDELEA… UHUSIANO NA DUDE
Mwandishi: Kuna tetesi kwamba ulikuwa na uhusiano na Dude na alitaka akuoe?
Flora: Dude namheshimu sana na mara nyingi alikuwa ananipenda kwa sababu nilikuwa mtiifu sana kwake naona ndiyo sababu ya watu kuzungumza maneno hayo. Sikuwahi kufikiria kuolewa na Dude au kuwa na uhusiano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani