Florah mbasha: Nipo Tayari Kurudiana na Mume Wangu.
![](http://3.bp.blogspot.com/-wvkDXzhTopc/VQVlaHUi3OI/AAAAAAAAqGw/AYWbKcyI0wc/s72-c/flora%2Bna%2Bmumewe_full%2B(1).jpg)
Muimbaji wa muziki wa injili, florah mbasha amesema yupo tayari kurudiana na mume wake emmanuel mbasha, ikiwa atakwenda kumuangukia mguuni na kumuomba msamaha.Florah alisema hayo alipozungumza na waandishi wa habari baada ya kumaliza kutoa ushahidi mahakamani juu ya kesi ya ubakaji inayomkabili mume wake ambayo inasikilizwa katika mahakama ya wilaya ya ilala.
"Mbasha nimeshamsamehe siku nyingi na nipo tayari kuishi naye iwapo atakuja kuniangukia miguuni na kuniomba msamaha..lakini hili la...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania11 Mar
Flora Mbasha: Nipo tayari kurudiana na mume wangu
Veronica Romwald na Jacqueline Swai (RCT), Dar es Salaam
MUIMBAJI wa muziki wa Injili, Flora Mbasha amesema yupo tayari kurudiana na mume wake Emmanuel Mbasha, ikiwa atakwenda kumuangukia miguuni na kumuomba msamaha.
Flora alisema hayo jana alipozungumza na waandishi wa habari baada ya kumaliza kutoa ushahidi wake juu ya kesi ya ubakaji inayomkabili Mbasha ambayo inasikilizwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala.
“Mbasha nimemsamehe siku nyingi na nipo tayari kuishi naye iwapo atakuja...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uqLqBDFuIfDJb1ItCXxbu3R57dIOvpeSFqxQtUgjx0l1-eLepoJnjYgW-NrZ7oHfWMiYckgDWNPPn8FBfcNtIHthhrqFg7Ai/Shamsa.jpg)
SHAMSA: BORA NIFE KULIKO KURUDIANA NA MUME WANGU
9 years ago
Bongo507 Oct
Flora Mbasha afuta kesi ya talaka dhidi ya mumewe, ‘bado nampenda sana mume wangu’
10 years ago
CloudsFM04 Feb
KUJIFUNGUA KWA FLORAH,MBASHA APATA KIGUGUMIZI
Picha mbalimbali zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikiuonyesha mwimbaji wa nyimbo za injili Florah Mbasha akiwa leba akijifungua zimezua utata baada ya aliyekuwa mumewe Emmanuel Mbasha kupata kugugumizi kwa kutotoa majibu ya uhakika aliulizwa kuhusiana na kujifungua kwa mkewe huyo.
Mbasha amehojiwa na Soudy Brown kupitia Uheard hakutoa majibu ya kuelewa baada ya kila anachoulizwa anajibu kwamba hamsikii kwamba ndiyo alikuwa anaaamka na simu ikakata.
11 years ago
Mwananchi24 Jun
Mbasha, Flora wasaka suluhu kurudiana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/fXUwj8AcBIlkFoOtGIWi2WTrC-EbDaDZYf*VnfC038oJEfTUjJ4xVMbqPr7bAhphV222lSS034ADfWSENkyYLtK79hQri4oY/wananitesa.jpg)
MAMA: WACHAWI WANANITESA, WATOTO WANGU 8, MUME WANGU WAMEKUFA KWA UGONJWA WA AJABU
11 years ago
Mtanzania12 Aug
Magufuli: Nipo tayari kushtakiwa
![Waziri John Magufuli](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/John-Magufuli.jpg)
Waziri John Magufuli
Oliver Oswald Na Ruth Mnkeni, Dar es Salaam
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, amesema yupo tayari kufungwa jela kuliko kuendelea kuwavumilia watu wanaokwamisha ujenzi wa miundombinu ya barabara kwa kukimbilia mahakamani.
Sambamba na hilo, pia amepiga marufuku uchimbaji wa mchanga pembezoni mwa mto uliokuwa eneo la daraja la Lugalo, ikiwa ni pamoja na kuwapa tahadhari ya kuwafungia wafanyabiashara walio karibu na eneo hilo endapo watashindwa kuwa walinzi wa uharibifu...
10 years ago
Mtanzania16 Dec
Ghasia: Nipo tayari kuwajibika
![Hawa Ghasia](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Hawa-Ghasia.jpg)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Hawa Ghasia
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM,
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia, amesema kwamba yuko tayari kuwajibika iwapo atabainika amevuruga Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika juzi nchini.
Waziri Ghasia aliyasema hayo wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, kuhusu taarifa ya awali ya upigaji kura katika Serikali za Mitaa.
“Nitakuwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rYXJV*jyRSmc9CECn-Cy6pq7IVi8QgygGOSLIHNwAM6heBeQMvOUYdGOaHDG4KvMCtwEuciFMFFFjzogAm7zUE3N9933Nrdl/Diamond.gif?width=650)
DIAMOND: NIPO TAYARI KWA KIFO!