Forums ya maarifa ya IT Tanzania: Jifunze kutenda
Katika maendeleo ya jamii yoyote, moja ya kitu muhimu ni kukuwa kwa maarifa ya wanajamii. Maarifa yatakayowapa uwezo wa kutumia ujuzi kwenye kutenda. Haijalishi upo kwenye fani gani, bali siku ya mwisho ni lazima uweze kutenda na siyo kuishia vitabuni.
Kwa miaka mingi, nimekuwa nikifuatilia tatizo la ajira, umasikini nk hapa nchini, ingawa kuna mambo mengi sana ndani yake, lakini mzizi wa yote ni maarifa. Kizazi chetu SIYO kizazi cha watu wenye maarifa. Hii inawezekana ni kutokana na uvivu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziCHONDE CHONDE WATUMIAJI WA INTERNETI TUMIENI TEKNOLOJIA HII KUPATA MAARIFA-VODACOM TANZANIA
10 years ago
MichuziFarmer Forums held in Bunda District
10 years ago
IPPmedia14 Oct
Two major media forums lined up for this week Dar
IPPmedia
Two major media forums lined up for this week Dar
IPPmedia
Two major media forums will this week (Thursday and Friday) be held in the commercial port city of Dar es Salaam ahead of the glamorous CNN Multichoice African Journalist of the Year Competition award night on Saturday. A senior journalist with The ...
10 years ago
Mwananchi23 Aug
Sawa mnajua kuongea, kutenda je?
10 years ago
GPLHABARI NJEMA KWA WANABLOG, FORUMS WATANZANIANIA JUU UANDIKISHAJI WANACHAMA TBN
9 years ago
MichuziMwili wa marehemu Dotto Mzava wa Jamii Forums wasafirishwa kuelekea Same Kilimanjaro kwaajili ya mazishi
Heshima za mwisho zikiendelea kutolewa kwa mwili wa marehemu Dotto Mzava kabla haujasafirishwa kuelekea Same Kilimanjaro kwaajili ya mazishi Mchungaji wa kanisa la Adventist wasabato akiendelea na ibada wakati wa ibada ya kumuombea marehemu kabla ya...
10 years ago
BBCSwahili13 Oct
Waasi wa M23 wakana kutenda uovu
10 years ago
Habarileo11 Feb
Dk Shein ahakikishiwa mahakimu kutenda haki
JAJI Mkuu wa Zanzibar, Omar Othman Makungu amemhakikishia Rais Dk Ali Mohamed Shein kwamba Mahakama itajipanga vizuri kukabiliana na hali itakayojitokeza kuhusu masuala ya uchaguzi kwa kuhakikisha mahakimu wanatenda haki kwa mujibu wa viapo vyao.
9 years ago
Habarileo17 Sep
Longway aahidi kutenda haki NEC
KAMISHNA mpya wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mary Longway amesema kwamba anatambua kuwa uchaguzi wa mwaka huu una vuguvugu kubwa, hivyo yeye kama mjumbe wa NEC atatenda haki kwa kila mgombea.