Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Longway aahidi kutenda haki NEC

KAMISHNA mpya wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mary Longway amesema kwamba anatambua kuwa uchaguzi wa mwaka huu una vuguvugu kubwa, hivyo yeye kama mjumbe wa NEC atatenda haki kwa kila mgombea.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

JK awateua Mary Longway na Asina Omari kuwa Makamishna NEC

Jakaya-Kikwete1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete (pichani) amewateua Makamishna wawili wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

Uteuzi wa Makamishna hao Mhe. Mary Longway na Bi. Asina A. Omari umeanza leo, Jumatatu, Septemba 14, 2015.

Mhe. Mary Longway ni Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Bi. Asina A. Omari ni Wakili wa Kujitegemea.

Wataapishwa, Ikulu, Dar es Salaam kesho kutwa, Jumatano, Septemba 16, 2015.

Imetolewa na:

Kurugenzi ya Mawasiliano ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA wataka Polisi kutenda haki

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimelitaka Jeshi la Polisi mkoani hapa kutenda haki kwa vyama vyote vya siasa katika kudhibiti misafara mirefu ya magari, pikipiki na aina yoyote ya...

 

10 years ago

Habarileo

Dk Shein ahakikishiwa mahakimu kutenda haki

Jaji Mkuu wa Zanzibar, Omar Othman MakunguJAJI Mkuu wa Zanzibar, Omar Othman Makungu amemhakikishia Rais Dk Ali Mohamed Shein kwamba Mahakama itajipanga vizuri kukabiliana na hali itakayojitokeza kuhusu masuala ya uchaguzi kwa kuhakikisha mahakimu wanatenda haki kwa mujibu wa viapo vyao.

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AWATAKA VIONGOZI KUWA MSTARI WA MBELE KATIKA KUTENDA HAKI MUFINDI


 
 Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akiwapungia mkono wananchi wa Mafinga wakati akiwasili kwenye uwanja wa Mashujaa .
 Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana na Bi.Mwigavillo Ngole ambaye amesafiri mwendo mrefu kuja kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM
 Wazee wa Kimila wakiwa uwanjani kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambapo walimpa Uchifu na kumtambua kwa jina la  Galiendela Matuga .
 Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Mufindi Johanes Kaguo akifungua...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AWATAKA VIONGOZI WA CCM KUTENDA HAKI NA KUACHA KUWABEBA WAGOMBEA WASIO NA SIFA


 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kaskazini Ali Makame akitoa salaam za ufunguzi wa mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye vya Skuli ambapo mgeni rasmi alikuwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
 Wananchi wakifurahia mkutano wa Kinana.
 Mbunge wa Viti Maluum Kidawa Hamisi akitoa hotuba na elimu kwa waliohudhuria mkutano kwenye viwanja vya Skuli, Nungwi.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Nungwi wilaya ya Kaskazini A kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE WETE-KASKAZINI PEMBA,AWATAKA VIONGOZI WA CUF KUTENDA HAKI KWA WANANCHI.

Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana ukikatiza mapema jioni ya leo katikati ya msitu ukielekea katika kijiji cha Mnarani -Makangale kuzungumza na wanachama wa chama hicho,micheweni mkoa wa Kaskazini Pemba Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akisalimiana na baadhi ya Vijana wapatao 105 waliokuwa chama cha CUF na kuhamia CCM,katika kijiji cha Mnarani Makangale,ambapo alikwenda kushiriki ujenzi wa tawi lao liitwalo Maskani tuheshimiane.  Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akizungumza na...

 

9 years ago

Habarileo

Shein aahidi uchaguzi huru na wa haki

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein amesisitiza kuwa uchaguzi unaofanyika leo utakuwa huru, haki na wenye utulivu na kuwahakikishia washirika wa maendeleo, likiwemo Shirika la Misaada la Uingereza (DFID) kuwa Zanzibar itaendelea kuwa na amani kwani ndio msingi wa maendeleo.

 

11 years ago

Michuzi

DIAMOND AAHIDI KUWATENDEA HAKI KILA MWAKA WAKAZI WA KUSINI

Mwanamuziki Mahiri wa muziki wa kizazi kipya nchini Diamond Platinum,akiwapagawisha mashabiki wake wa mkoa wa mtwara waliofurika katika Tamasha la Ties & Heels lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika kwenye ukumbi wa Makonde beach Mkoani Mtwara jana. Mwanamuziki Mahiri wa muziki wa kizazi kipya nchini Diamond Platinum,akicheza na madansa wake wakati wa Tamasha la Ties & Heels lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika kwenye ukumbi wa Makonde beach Mkoani Mtwara jana....

 

5 years ago

Michuzi

DC KATAMBI AAHIDI KULINDA HAKI ZA WANAWAKE- " SITOKUBALI KUONA WAKIONEWA"


Charles James, Michuzi TV

WANAUME nchini wametakiwa kutowanyanyasa wanawake kwa kuwadhulumu haki zao, kuheshimu nafasi zao na zaidi kuepuka kuomba rushwa ya namna yoyote pindi wanapohitaji msaada.

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe Patrobas Katambi kuelekea kilele cha siku ya Wanawake duniani Machi 8 mwaka huu ambapo kitaifa maadhimisho hayo yatafanyika Mkoani Simiyu.

DC Katambi amesema Wanawake wengi wapewapo fursa hufanya vizuri zaidi na kwa uaminifu kuliko wanaume wengi hivyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani