Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK awateua Mary Longway na Asina Omari kuwa Makamishna NEC

Jakaya-Kikwete1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete (pichani) amewateua Makamishna wawili wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

Uteuzi wa Makamishna hao Mhe. Mary Longway na Bi. Asina A. Omari umeanza leo, Jumatatu, Septemba 14, 2015.

Mhe. Mary Longway ni Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Bi. Asina A. Omari ni Wakili wa Kujitegemea.

Wataapishwa, Ikulu, Dar es Salaam kesho kutwa, Jumatano, Septemba 16, 2015.

Imetolewa na:

Kurugenzi ya Mawasiliano ya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Longway aahidi kutenda haki NEC

KAMISHNA mpya wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mary Longway amesema kwamba anatambua kuwa uchaguzi wa mwaka huu una vuguvugu kubwa, hivyo yeye kama mjumbe wa NEC atatenda haki kwa kila mgombea.

 

9 years ago

Michuzi

MTENDAJI MKUU PDB Omari Issa katika Mahafali ya 23 ya Shule ya Sekondari ya St. Mary’s Mazinde

 Mtendaji Mkuu katika Ofisi ya Rais-Ufuatiliaji wa Utekelezaji wa Miradi (PDB) inayosimamia Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), Bw. Omari Issa aliyekuwa mgeni rasmi katika Mahafali ya 23 ya Shule ya Sekondari ya St. Mary’s Mazinde Juu akitoa zawadi kwa mmoja wa wanafunzi.  

 Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya St. Mary’s Mazinde Juu wakionesha vipaji vya  kuimba na kucheza wakati wa mahafali ya 23 shuleni hapo Sehemu ya wahitimu wa kidato cha nne katika mahafali katika Shule ya Sekondari ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais Kikwete awateua mawaziri 8 Tanzania

Rais amewateua mawaziri wanane wapya pamoja na manaibu watano.

 

10 years ago

BBCSwahili

Papa Francis awateua makadinali 20 wapya

Papa Francis amewachagua makadinali 20 wapya wakiwemo kutoka mataifa ya Tonga,Ethiopia na Myanmar.

 

10 years ago

Habarileo

NEC yabanwa vyama kuwa na wakalimani

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetakiwa kuvibana vyama vya siasa vitakavyosimamisha wagombea wa nafasi ya urais kuwa na wakalimani wa lugha za alama katika mikutano yao ya kampeni ili kutoa fursa kwa walemavu kuweza kuelewa wanachokizungumza.

 

5 years ago

Michuzi

DKT. MPANGO AWATEUA WAJUMBE BODI YA KAMPUNI YA MADINI YA TWIGA

 Waziri wa Fedha na Mipango,Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), amewateua wajumbe wawili watakaoiwakilisha Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Madini ya Twiga (Twiga Minerals Corporation Limited).
Wajumbe walioteuliwa ni
1.      Bw. Casmir Sumba Kyuki                                    2.      Bw. Michael Jonathan Kambi
Uteuzi wa wajumbe hao watakaotumikia nafasi zao kwa kipindi cha miaka mitatu, unafuatia makubaliano mapya ya namna ya...

 

9 years ago

Michuzi

NEC YAWATHIBITISHA LOWASSA NA DUNI KUWA WAGOMBEA WA CHADEMA KUPITIA UKAWA

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva akimkabidhi, Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, nyaraka mbalimbali zitakazotumika wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu, kwenye Ofisi za Tume hiyo, Jijini Dar es salaam leo Agosti 21, 2015. Kushoto ni Mgombea Mweza wake, Dkt. Juma Haji Duni.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva akizungumza mara baada ya kupokea Fomu...

 

9 years ago

Michuzi

VYOMBO HABARI VIMECHANGIA KUFANYA UCHAGUZI KUWA WAZI NA HAKI NA HURU —NEC

Mkuu wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga kura wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Giveness Aswile, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuvishukuru vyombo vya habari kwa kuripoti vizuri katika kipindi chote cha uchaguzi wa Rais, wabunge na madiwani. Mkuu wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga kura wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Giveness Aswile, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuvishukuru vyombo vya habari kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani