Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEC yabanwa vyama kuwa na wakalimani

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetakiwa kuvibana vyama vya siasa vitakavyosimamisha wagombea wa nafasi ya urais kuwa na wakalimani wa lugha za alama katika mikutano yao ya kampeni ili kutoa fursa kwa walemavu kuweza kuelewa wanachokizungumza.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Vyama vyaipinga NEC

HATUA ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuandika upya daftari la kudumu la wapiga kura, imeendelea kupingwa kwamba haijavishirikisha vyama vya siasa nchini kama wadau muhimu. Katika mahojiano na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

NEC yaonya vyama Chalinze

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imevionya vyama vya siasa kuacha kutumia lugha za vitisho na matusi katika kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge zinazoendelea katika Jimbo la Chalinze. Akizungumza...

 

9 years ago

Mwananchi

NEC, vyama wagongana hatima ya Wapigakura Oktoba 25

Upo mgongano wa maslahi kati ya Tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC)  na vyama vya siasa juu ya mustakabali wa wapiga kura hapo Oktoba 25.

 

10 years ago

Mtanzania

NEC yaagizwa ikutane na vyama vya siasa

mussa zunguNa Maregesi Paul, Dodoma

BUNGE limeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ikutane na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), kuangalia namna ya kufanikisha uandikishaji wa wananchi katika Daftari la Kudumu la wapiga Kura.

Kauli hiyo ilitolewa bungeni juzi na Mwenyekiti wa Bunge, Mussa Zungu alipokuwa akijibu mwongozo wa Mbunge wa Kuteuliwa, James Mbatia.

“Waheshimiwa wabunge kama mtakumbuka leo asubuhi (juzi asubuhi), mheshimiwa Mbatia aliomba mwongozo kuhusu uandikishaji wa Daftari la Kudumu la...

 

10 years ago

Habarileo

NEC, vyama vya siasa waweka maadili

Jaji Damian LubuvaTUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imefikia mwafaka na vyama vya siasa kuweka maadili ambayo yataviongoza vyama hivyo wakati wa kampeni hadi siku ya kupiga kura.

 

9 years ago

Habarileo

NEC yavitoa hofu vyama wizi wa kura

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imevitoa wasiwasi vyama vya siasa kuwa hakutakuwepo na wizi na udanganyifu wa kura katika matokeo ya uchagauzi wa rais, wabunge na madiwani, utakaofanyika nchini kote Oktoba 25, mwaka huu.

 

9 years ago

Habarileo

NEC yavijia juu vyama vya siasa

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imevitaka vyama vya siasa na wagombea wao, kuwa tayari kukubali matokeo ya uchaguzi, watakayoyatangaza kwa mujibu wa taratibu na sheria, kama walivyosaini katika Mwongozo wa Maadili.

 

9 years ago

StarTV

NEC yawataka viongozi wa vyama kufuata kanuni za uchaguzi

 

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NCHINI (NEC), Jaji Damian Lubuva amekemea na kupiga marufuku viongozi wa vyama vya siasa wanaozidisha muda wa kufanya kampeni ndani ya nyumba za Ibada kwa madai kuwa kwa kufanya hivyo wanakiuka kanuni za uchaguzi wa nchi.

 

Jaji Lubuva ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es salaam, na kuonya kuwa hatua kali zitachukuliwa dhidi ya viongozi wa kisiasa watakaokaidi sheria hizo za uchaguzi.

Katika Mkutano wa...

 

9 years ago

Mwananchi

NEC yashusha rungu kwa vyama vya siasa

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetoa muda wa saa 48 kwa vyama vya siasa vilivyobandika picha za wagombea maeneo yasiyostahili Jimbo la Moshi mjini kuyaondoa mara moja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani