Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEC yashusha rungu kwa vyama vya siasa

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetoa muda wa saa 48 kwa vyama vya siasa vilivyobandika picha za wagombea maeneo yasiyostahili Jimbo la Moshi mjini kuyaondoa mara moja.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

NEC YAKUTANA NA VYAMA VYA SIASA KUJADILI NA KUPITISHA KANUNI NA MAADILI KWA UCHAGUZI MKUU 2020



Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu
Semistocles Kaijage, akizungumza katika Mkutano wa NEC na Vyama vya Siasa kujadili na kupitisha Kanuni na Maadili ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mwaka 2020, Mkutano ambao umefanyika loe 27, Mei 2020, JNICC Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage, akifafanua hoja zilizotolewa na Washiriki wa Mkutano wa NEC na Vyama vya Siasa kujadili na kupitisha Kanuni na...

 

5 years ago

CCM Blog

NEC YAKUTANA NA VYAMA VYA SIASA KUJALILI NA KUPITISHA KANUNI NA MAADILI KWA UCHAGUZI MKUU 2020

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imejizatiti na imejipanga kuhakikisha kuwa inatekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Katiba, Sheria, Kanuni pamoja na kuzingatia masharti ya Kanuni za Maadili ya Uchaguzi.
Hayo yamesemwa jana  Jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (NEC), Mhe.Jaji Semistocles Kaijage katika kikao na vyama vya Siasa na Wadau wengine wa Uchaguzi kujadili na kupitisha Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020.
Akizungumza katika kikao hicho Jaji...

 

9 years ago

Habarileo

NEC yavijia juu vyama vya siasa

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imevitaka vyama vya siasa na wagombea wao, kuwa tayari kukubali matokeo ya uchaguzi, watakayoyatangaza kwa mujibu wa taratibu na sheria, kama walivyosaini katika Mwongozo wa Maadili.

 

10 years ago

Mtanzania

NEC yaagizwa ikutane na vyama vya siasa

mussa zunguNa Maregesi Paul, Dodoma

BUNGE limeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ikutane na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), kuangalia namna ya kufanikisha uandikishaji wa wananchi katika Daftari la Kudumu la wapiga Kura.

Kauli hiyo ilitolewa bungeni juzi na Mwenyekiti wa Bunge, Mussa Zungu alipokuwa akijibu mwongozo wa Mbunge wa Kuteuliwa, James Mbatia.

“Waheshimiwa wabunge kama mtakumbuka leo asubuhi (juzi asubuhi), mheshimiwa Mbatia aliomba mwongozo kuhusu uandikishaji wa Daftari la Kudumu la...

 

10 years ago

Habarileo

NEC, vyama vya siasa waweka maadili

Jaji Damian LubuvaTUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imefikia mwafaka na vyama vya siasa kuweka maadili ambayo yataviongoza vyama hivyo wakati wa kampeni hadi siku ya kupiga kura.

 

9 years ago

Vijimambo

MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATAJA VYAMA VYA SIASA VYENYE USAJILI WA KUDUMU AMBAVYO VINASTAHILI KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, Monica Laurent (kushoto), akizungumza na wanahabari wakati akimkaribisha msemaji wa mkutano huo kuzungumza na waandishi.Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini, Sisty Nyahoza (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu ambavyo ninastahili kushiriki uchaguzi mkuu. Kulia ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu,...

 

9 years ago

StarTV

NEC yaonya vyama vya siasa vitakavyokiuka ratiba za kampeni

Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,

Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Kailima Ramadhani

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imevitaka vyama vyote vya siasa vinavyoshiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2015, kuhakikisha vinafuata na kuheshimu ratiba ya uchaguzi waliyojiwekea.

Katika taarifa kwa njia ya video iliyotumwa kwa vyombo vya habari, Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Kailima Ramadhani amesema kuwa vyama vyote vilishiriki katika kuandaa ratiba hiyo na kuwa viliiridhia hivyo hawana budi kuhakikisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani