NEC yaonya vyama Chalinze
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imevionya vyama vya siasa kuacha kutumia lugha za vitisho na matusi katika kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge zinazoendelea katika Jimbo la Chalinze. Akizungumza...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV26 Aug
NEC yaonya vyama vya siasa vitakavyokiuka ratiba za kampeni
![Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2845730/medRes/1101903/-/maxw/600/-/128lqutz/-/kailima.jpg)
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Kailima Ramadhani
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imevitaka vyama vyote vya siasa vinavyoshiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2015, kuhakikisha vinafuata na kuheshimu ratiba ya uchaguzi waliyojiwekea.Katika taarifa kwa njia ya video iliyotumwa kwa vyombo vya habari, Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Kailima Ramadhani amesema kuwa vyama vyote vilishiriki katika kuandaa ratiba hiyo na kuwa viliiridhia hivyo hawana budi kuhakikisha...
9 years ago
Mwananchi25 Aug
NEC yaonya vyama vya siasa vitakavyokiuka ratiba za kampeni walizojiwekea
11 years ago
Tanzania Daima08 Feb
NEC yaonya polisi Arusha
MWENYEKITI wa Tume ya Uchaguzi (NEC), Jaji Fabian Lubuva, amelitaka Jeshi la Polisi mkoani hapa kutumia busara watakapokuwa wakiimarisha ulinzi wakati wa zoezi la upigaji kura kwenye Kata ya Sombetini...
9 years ago
Habarileo03 Oct
NEC yaonya wanaotaka kulinda kura vituoni
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (TUME) imeonya vyama vya siasa, vinavyoshawishi wananchi wabaki katika vituo vya kupigia kura baada ya kupiga kura na kueleza kuwa lengo lao si kwa ajili ya kulinda kura, bali vina agenda ya siri.
11 years ago
Tanzania Daima22 Jun
Vyama vyaipinga NEC
HATUA ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuandika upya daftari la kudumu la wapiga kura, imeendelea kupingwa kwamba haijavishirikisha vyama vya siasa nchini kama wadau muhimu. Katika mahojiano na...
10 years ago
Habarileo20 Jun
NEC yabanwa vyama kuwa na wakalimani
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetakiwa kuvibana vyama vya siasa vitakavyosimamisha wagombea wa nafasi ya urais kuwa na wakalimani wa lugha za alama katika mikutano yao ya kampeni ili kutoa fursa kwa walemavu kuweza kuelewa wanachokizungumza.
9 years ago
Mwananchi13 Oct
NEC, vyama wagongana hatima ya Wapigakura Oktoba 25
10 years ago
Mtanzania06 Feb
NEC yaagizwa ikutane na vyama vya siasa
Na Maregesi Paul, Dodoma
BUNGE limeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ikutane na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), kuangalia namna ya kufanikisha uandikishaji wa wananchi katika Daftari la Kudumu la wapiga Kura.
Kauli hiyo ilitolewa bungeni juzi na Mwenyekiti wa Bunge, Mussa Zungu alipokuwa akijibu mwongozo wa Mbunge wa Kuteuliwa, James Mbatia.
“Waheshimiwa wabunge kama mtakumbuka leo asubuhi (juzi asubuhi), mheshimiwa Mbatia aliomba mwongozo kuhusu uandikishaji wa Daftari la Kudumu la...
9 years ago
Habarileo02 Oct
NEC yavijia juu vyama vya siasa
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imevitaka vyama vya siasa na wagombea wao, kuwa tayari kukubali matokeo ya uchaguzi, watakayoyatangaza kwa mujibu wa taratibu na sheria, kama walivyosaini katika Mwongozo wa Maadili.