Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Freeman Mbowe........Amtaka AJIUZULU Maana Amekiabisha Chama Kwa Hukumu Aliyopewa.


KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amemtaka Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe kujiuzulu uenyekiti kwa kile alichosema amekiaibisha chama kwa hukumu aliyopewa hivi karibuni.
Mbowe alihukumiwa hivi karibuni kwenda jela mwaka mmoja au kulipa faini ya Sh milioni moja baada ya kutiwa hatiani na mahakama mkoani Kilimanjaro kwa kosa la kumpiga Msimamizi wa Uchaguzi mwaka 2010.Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara katika Kata...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

FREEMAN MBOWE AFIKA MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI KWA MAHOJIANO

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe Freeman Mbowe akiwasili kwenye makao makuu ya Jeshi la Polisi nchini,Mapema leo asubuhi tayari kwa kwenda kuhojiwa juu masuala mbalimbali likiwamo la kauli aliyoitoa kwenye Mkutano Mkuu wa chama hicho hivi katibuni, kuwa watafanya maandamano nchini nzima bila kikomo. Picha zaidi BOFYA HAPA

 

11 years ago

Habarileo

Mbunge amtaka Waziri ajiuzulu

MBUNGE wa Konde, Khatibu Said Haji (CUF), amemtaka Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utawala Bora, George Mkuchika kujiuzulu kwa kushindwa kuisimamia Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), kukamata mafisadi wakubwa.

 

10 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CHADEMA,FREEMAN MBOWE AFIKA MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI KWA MAHOJIANO LEO

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Freeman Mbowe akiwasili kwenye makao makuu ya Jeshi la Polisi nchini,Mapema leo asubuhi tayari kwa kwenda kuhojiwa juu kauli aliyoitoa kwenye Mkutano Mkuu wa chama hicho hivi katibuni,kuwa watafanya maandamano nchini nzima bila kikomo. Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),John Mnyika akizungumza na waandishi wa habari waliokuwepo kwenye eneo la makao makuu ya Jeshi la Polisi,juu ya kile kilichokuwa...

 

11 years ago

Habarileo

Kinana amtaka Maalim Seif ajiuzulu

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimemtaka Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Seif Sharif Hamad, kama kweli hataki Muungano wa serikali mbili, amuandikie barua Rais wa Zanzibar, Dk Mohamed Shein na kujiuzulu wadhifa wake wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Halima Mdee amtaka Prof. Tibaijuka ajiuzulu

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, ametakiwa kujiuzulu kutokana na kuonyesha kupwaya katika nafasi yake na kushindwa kutatua mgogoro wa ardhi wa shamba la Kapunga,...

 

5 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZZZ....: HUKUMU YA KESI YA KINA MBOWE YAAHIRISHWA KWA MUDA

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe akilipowasili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusikiliza Hukumu ya kesi ya uchochezi inayowakabili vigogo nane wa Chadema iliyokuwa ianze kusomwa saa nne na nusu asubuhi hii leo Machi 10, 2020. Hukumu hiyo imeahirishwa hadi saa saba na nusu mchana leo.Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe akiteta jambo na Mshauri Mkuu wa Chama cha siasa nchini Tanzania cha ACT- Wazalendo,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Usichokijua kuhusu Freeman Mbowe

NAKUMBUKA ilikuwa Julai, mwaka 2002, ambapo nilikutana na Freeman Mbowe akiwa na kiu ya kweli ya kuleta mabadiliko na siasa mbadala nchini baada ya kushuhudia kuporomoka vibaya kwa NCCR-Mageuzi na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani