Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FUNDI VIYOYOZI ATIMKA NA MILIONI 20 ZA VODACOM

MenejaUhusianowaUmmawa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu akisisitizajambowakatiwaDrookubwayaMweziambapo Bwana.WillisonUrio (33) MkaziwaMbezi Beach Jijini Dar aliibukaMshindiwaShilingiMilioni 20. PamojanaekatikaPichaniOfisahudumazaziadawakampunihiyo Mathew KampambenaOfisaMwandamiziwaBodiyaMichezoyaKubahatishaChikuSaleh. Ili kushirikikatikaPromoshenihiyoMtejaanatakiwakutumaneno PROMO kwendanamba 15544.…
...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MJASIRIAMALI WA SABUNI ZA MAJI ATIMKA NA MILIONI 30 ZA VODACOM‏

Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu(katikati)akishuhudiwa na Msimamizi wa bodi ya  Michezo ya kubahatisha nchini,Bw.Humudi Abdulhussein(kushoto)wakati akimpigia mshindi wa droo kubwa ya mwezi ya promosheni ya  Timka na Bodaboda Bi.Jovita Mosha(44)mkazi wa Ubungo external jijini Dar es Salaam aliyeibuka na kitita cha shilingi Milioni 30.kulia ni Mkuu wa kitengo cha Mtandao  na huduma za ziada wa...

 

11 years ago

GPL

FUNDI VIYOYOZI AKABIDHIWA KITITA CHAKE‏

Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu(kushoto)akimkabidhi Mshindi wa promosheni ya Timka na Bodaboda,Bw.Wiston Urio hundi yenye thamani ya shilingi Milioni ishirini(20,000,000) baada ya kuibuka mshindi wa mwezi Disemba. Ili kushiriki mteja  promosheni hiyo mteja wa Vodacom hutuma neno Promo kwenda 15544. Mshindi wa Disemba wa shilingi Milioni ishirini(20,000,000)katika Promosheni ya Timka na...

 

10 years ago

Michuzi

ALIYEJISHINDIA MILIONI 100 ZA VODACOM AKABIDHIWA KITITA CHAKE

Mshindi wa Milioni 100/- kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,Uwezo Magedenge ambaye ni mkazi wa Kilolo mkoani Iringa(katikati)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa hafla maalum ya kukabidhiwa kitita chake,Wengine katika picha Mkuu wa Idara ya huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Brigitta Stephen(kushoto) na Meneja wa Benki ya NMB kanda ya Dar es Salaam,Selie Mlay.Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam leo. Ili mteja kujua kama...

 

5 years ago

Michuzi

Mkazi wa Iringa ajishindia milioni 10 za Tusua Mapene na Vodacom

Mshindi wa mwezi Machi wa shindano la TUSUA MAPENE NA VODACOM, Sharabi Myovela( mwenye fulana nyekundu) mkazi wa Iringa akiwa na familia yake mara baada ya kukabidhiwa mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10 toka kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania PLC

 

10 years ago

Michuzi

BINTI WA MIAKA 22 ASHINDA MILIONI 100 ZA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM

Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(katikati)akifafanua jambo kuhusiana na mshindi wa shilingi Milioni 100/-kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na kampuni hiyo ambapo Mkazi wa kilolo mkoani Iringa Bi.Uwezo Magedenge aliibuka na ushindi wa kitita hicho katika droo ya 14 iliyochezeshwa jijini Dar es Salaam leo,Wengine ni Msimamizi wa Michezo ya Kubahatisha Tanzania Mrisho Millao(Kushoto) na Afisa wa kampuni hiyo Pristin Lyatonga.Ili mteja kujua kama ameshinda...

 

10 years ago

GPL

MKULIMA WA KATAVI ALIYEJISHINDIA MILIONI 10 ZA VODACOM AKABIDHIWA KITITA CHAKE

Hayawi hayawi yamekuwa  Haynes Peter Kanumba (20) ambaye ni mshindi wa Milioni 10/- kupitia promosheni ya JayMillions  inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, akiwa mwenye furaha baada ya kukabidhiwa kitita chake na Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu (hayupo pichani) wakati wa hafla fupi iliyofanyika mkoani Katavi.Ili mteja kujua kama umeshinda  unatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544. Mshindi wa kitita cha...

 

10 years ago

Michuzi

MSUSI ALIYEJISHINDIA SHILINGI MILIONI 10/- ZA VODACOM AKABIDHIWA KITITA CHAKE

Milionea kupitia Promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,Ibrahim Ibrahim (kushoto) akimkabidhi hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 10/- Zuwena Rajabu(kulia)aliyeibuka mshindi wa kitita hicho kupitia Promosheni hiyo wiki hii.Anayeshuhudia katikati ni Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu.Hafla hiyo ilifanyika Tabata Segerea jijini Dar es Salaam,Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno JAY au AUTO kwenda namba 15544.Milionea kupitia Promosheni ya...

 

11 years ago

Michuzi

AZAM FC KULAMBA MILIONI 75 KWA KUTWAA UBINGWA WA LIGI KUU YA VODACOM

Meneja uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania, Salum Mwalim, akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo pichani) wakati wa kutangaza zawadi za washindi wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara, ambapo Azam FC ambaye ndie bingwa atanyakua Milioni 75. Pamoja nae katika picha, wa kwanza kutoka kulia kwake  niAfisa Habari wa TFF, Boniface Wambura  na Afisa Matukio na Udhamini wa Vodacom Tanzania, Ibrahim Kaude. Mdhamini Mkuu wa Ligi kuu Vodacom Tanzania Bara kampuni ya Mawasiliano  ya Vodacom...

 

10 years ago

GPL

BINTI WA MIAKA 22 ASHINDA MILIONI 100 ZA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM‏

Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(katikati)akifafanua jambo kuhusiana na mshindi wa shilingi Milioni 100/-kupitia promosheni ya JayMillions  inayoendeshwa na kampuni hiyo ambapo Mkazi wa kilolo mkoani Iringa Bi.Uwezo Magedenge aliibuka na ushindi wa kitita hicho katika droo ya 14 iliyochezeshwa jijini Dar es Salaam leo,Wengine ni Msimamizi wa Michezo ya Kubahatisha Tanzania Mrisho Millao(Kushoto) na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani