Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Funga kazi Bunge la Katiba leo

>Wiki ya kufa au kupona kwa Bunge la Katiba, inaanza leo mjini Dodoma wakati wajumbe watakapoanza kuzipigia kura ibara na sura za Rasimu ya Katiba inayopendekezwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Lissu funga kazi , Bunge laweka rekodi mpya

>Hoja 22 za kupinga vifungu Muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao wa mwaka 2015 zilizotolewa juzi na Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu jana zilisababisha kikao cha 14 cha Bunge kuvunja rekodi ya kutumia muda mrefu baada ya kumalizika saa 6.15 usiku.

 

11 years ago

Mwananchi

Bunge la Katiba kuanza kazi rasmi leo

Wakati Bunge la Katiba leo linaanza kujadili sura mbili za Rasimu ya Katiba ambazo zitalenga Muundo wa Muungano, Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umewataka wajumbe wake kutokuondoka Dodoma hadi kumaliza kujadili sura hizo.

 

9 years ago

Vijimambo

ILIKUA NI FUNGA KAZI MKUTANO WA CCM JANGWANI LEO

 Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia  wakazi wa jiji la Dar es Salaam kwenye mkutano wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi.  Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikweteakimnadi mgombea wa urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli kwenye mkutano mkubwa wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye viwanja vya Jangwani Dar es Salaam. Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia...

 

10 years ago

Michuzi

Bunge Maalum la Katiba laanza mijadala ya Rasimu ya Katiba rasmi leo

Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma
BUNGE Maalum la Katiba leo tarehe 9 Septemba, 2014 limeanza kazi yake ya kusoma na kujadili taarifa za Kamati mbalimbali zikiwemo Kamati namba Kumi na Mbili, Kamati namba Mbili, Kamati namba Moja, Kamati namba Nne, Kamati namba Nane, Kamati namba Tano, Kamati namba Tisa, Kamati namba Tatu, Kamati namba Sita pamoja na Kamati namba Kumi na Moja.
Baadhi ya mambo yaliyojadiliwa katika Bunge hilo ni pamoja suala la baadhi ya viongozi kumiliki akaunti zao za fedha...

 

10 years ago

Michuzi

RASIMU KATIBA ILIYOPENDEKEZWA YAWASILISHWA RASMI LEO KATIKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi, Mhe. Andrew Chenge (kushoto) akiwasili bungeni kwa ajili ya kuwasilisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, leo 24 Septemba, 2014. Kulia ni mjumbe wa Bunge hilo, Dkt. Tulia Ackson. Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongoza bunge hilo leo 24 Septemba, 2014 mjini Dodoma.Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi wa Bunge Maalu la Katiba, Mhe. Andrew Chenge akiwasilisha Rasimu iliyopendekezwa ndani ya bunge hilo leo 24 Septemba, 2014 mjini...

 

11 years ago

Habarileo

Bunge zima la Katiba laongezewa kazi

Mjumbe wa Kamati ya Kanuni, Ismail JussaWAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba wamekubaliana sura na ibara za rasimu ya Katiba, zitakazokwama kupita kwenye kamati, zitarudishwa kwenye Bunge zima la Katiba kwa ajili ya kujadiliwa upya.

 

11 years ago

GPL

KAZI KWENU WAJUMBE BUNGE LA KATIBA

KAMA ilivyo kawaida ya kila siku, ni budi kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutubariki tena leo, tukikutana tukiwa na uwezo wa kutambua kwamba, bila yeye aliye juu, tusingeweza kuwa pamoja. Wema wa Mungu umetufanya tuendelee kushikamana kama taifa na tunaishi kama moja ya mifano bora kabisa ya amani katika ukanda huu wa Afrika Mashariki. Hii ni tunu ambayo yatupasa kuitunza na moja ya njia za kutufanya tuifanikishe, ni kuishi katika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kashilila: Kazi Bunge la Katiba si kubwa

KATIBU wa Bunge Thomas Kashililah ameelezea sababu za kuwepo kwa tofauti ya fedha za bajeti kati ya Bunge la Katiba na Tume ya Mabadiliko ya Katiba iliyokuwa ikiongozwa na Jaji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani