G7 yatangaza mikakati ya kuinusuru dunia
Mkutano wa nchi tajiri za viwanda G7,umetangaza mikakati ya kuondosha gesi chafu ya sumu na mabadiliko ya tabia ya nchi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi23 Nov
Iwepo mikakati ya kuinusuru Dar es Salaam
10 years ago
Habarileo30 Apr
Serikali yatangaza mikakati ya kuimarisha shilingi
WAZIRI wa Fedha, Saada Mkuya Salum amesema kupatikana kwa mikopo ya kibiashara yenye thamani ya dola za Marekani milioni 500 zitasaidia kupunguza kushuka kwa thamani ya Shilingi ya Tanzania.
10 years ago
Dewji Blog02 Oct
www.TanzaniaBox.com yatangaza kurusha sehemu ya tamasha la Serengeti Fiesta mtandaoni dunia nzima
www.TanzaniaBox.com kwa kushirikiana na Clouds TV imetangaza kurusha mtandaoni moja kwa moja sehemu ya matangazo ya tamasha la Serengeti Fiesta 2014 ambalo mwaka huu litashereheshwa na mwanamuziki kutoka Marekani, T.I ambaye pia ni mshindi wa tuzo ya Grammy.
Tamasha hilo litafanyika katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam tarehe 18 mwezi wa kumi mwaka 2014
Kwa mujibu wa www.TanzaniaBox.com baadhi ya vipande vya sehemu ya tamasha la Serengeti Fiesta na matukio maalumu ya nyuma...
10 years ago
BBCSwahili01 Jul
Mazungumzo zaidi ya kuinusuru Ugiriki
11 years ago
BBCSwahili15 Jul
Mkakati wa Amani wa kuinusuru Gaza
10 years ago
BBCSwahili19 Feb
Ulaya kuridhia kuinusuru Ugiriki?
10 years ago
BBCSwahili27 Feb
Ujerumani kuridhia kuinusuru Ugiriki?
11 years ago
Tanzania Daima20 Jul
Kikwete azingatie ushauri wa CCT kuinusuru nchiÂ
KAMA Rais Jakaya Kikwete anataka akumbukwe kwa mazuri aliyowafanyia Watanzania baada ya kumaliza awamu yake ya pili ya uongozi, ajirudi na kuwaambia wenziye wa CCM kukubaliana na maoni ya wananchi...
10 years ago
Dewji Blog30 Jan
PAC yaishauri Serikali namna ya kuinusuru kampuni ya TTCL
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Kabwe Zitto (kulia) na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Deo Filikunjombe wakiwa katika majukumu yao.
![Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kushoto) akiwa katika majukumu.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/01/Ofisa-Mtendaji-Mkuu-wa-Kampuni-ya-Simu-Tanzania-TTCL-Dk.-Kamugisha-Kazaura-kushoto-akiwa-katika-majukumu..jpg)
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kushoto) akiwa katika majukumu.
KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imetoa mapendekezo ya kuinusuru Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kutokana na hali mbaya ya kampuni hiyo kifedha kwa sasa ambapo inaendeshwa kwa hasara huku ikiwa na...