Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete azingatie ushauri wa CCT kuinusuru nchi 

KAMA Rais Jakaya Kikwete anataka akumbukwe kwa mazuri aliyowafanyia Watanzania baada ya kumaliza awamu yake ya pili ya uongozi, ajirudi na kuwaambia wenziye wa CCM kukubaliana na maoni ya wananchi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

CCT watoa tamko zito kwa Rais Kikwete

Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) imetoa tamko zito ikieleza kushangazwa na kauli ya Rais Jakaya Kikwete ya kupinga mapendekezo yaliyomo katika Rasimu ya Katiba iliyotokana na maoni ya Watanzania na kusema kitendo hicho kimeishusha hadhi Tume ya Mabadiliko ya Katiba aliyoiteua.

 

11 years ago

Mwananchi

Ushauri wa #Kikwete kwa wajumbe wa #Bunge la #Katiba [VIDEO]

Rais Jakaya Kikwete amewataka wajumbe kufanya kazi ilowapeleka Dodoma, kwa kuhakiki na kuichambua kwa kina Rasimu ya Pili iliyowasilishwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba mnamo Jumanne.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwenyekiti wa CCM, Jakaya Kikwete ahaha kupata ushauri

Mwenyekiti wa CCM, Jakaya Kikwete alilazimika kutafuta ushauri kutoka kwa watu mbalimbali kwa ajili ya kuwezesha kazi ya mchujo wa wagombea urais kuisha salama, chama hicho kilisema jana.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Rais ajaye azingatie mabadiliko katika elimu

WAKATI kukiwa na hamu ya kujua nani atakuwa rais wa awamu ya tano atakayepokea kijiti cha Rais Jakaya Kikwete, bado sekta ya elimu ina changamoto zinazohitaji utatuzi wa haraka.

Moja ya matatizo hayo ni kubadilishwa mitaala ya elimu mara kwa mara kila anapoingia waziri mpya wa elimu, hawazingatii mazingira ya wanafunzi namna watakavyoipokea wanachojali ni kutumikia siasa na matakwa binafsi.

Si wakufunzi tu bali hata wanafunzi hupoteza mwelekeo na mpangilio wa masomo, hivyo kufanya...

 

5 years ago

Michuzi

ALICHOKISEMA MKURUGENZI TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE PROFESA MOHAMED JANAB KUHUSU HATARI YA UGONJWA WA CORONA NA USHAURI WAKE KWA WATANZANIA


Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya jamii


WAKATI Dunia ikiendelea kupambana na virusi vya Corona( COVID-19) Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete Profesa Mohame Janab amewaambia Watanzania kuwa kwasasa kuchukua tahadhari ya kujikinga na ugonjwa huo ni muhimu zaidi kuliko kitu kingine kwa kuepuka mikusanyiko, mikutano,send of na harusi huku akifafanua ugonjwa huo ni hatari na hauwezi kulinganishwa na aina nyingine ya mafua  au ugonjwa wowote.

Kupitia taarifa yake ambayo...

 

10 years ago

Habarileo

CCT yaombwa kutatua mgogoro Moravian

UONGOZI wa Kanisa la Moravian Jimbo la Kusini Magharibi umeamua kukutana na Kamati Teule ya Usuluhishi wa Migogoro ya Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) kuomba iingilie kati kufanya usuluhishi wa mgogoro unaoendelea kukabili kanisa hilo.

 

9 years ago

Mwananchi

Abood awaondoa hofu wakazi wa CCT

Mbunge wa Morogoro Mjini (CCM), Abdulazizi Abood amewatoa hofu ya kubomolewa nyumba zao wakazi wa Mtaa wa CCT, Manispaa ya Morogoro baada ya nyumba 15 za mtaa huo kubomelewa kwa makosa.

 

10 years ago

IPPmedia

CCT challenges Parliament over Kadhi Courts


CCT challenges Parliament over Kadhi Courts
IPPmedia
The National Assembly resumes in Dodoma today, with the Christian Council of Tanzania (CCT) having openly challenged it over the idea of tabling the Amendment of Miscellaneous Laws. The proposed legislation would include the establishment of Kadhi ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ujerumani kuridhia kuinusuru Ugiriki?

Wabunge nchini Ujerumani wanatarajiwa kupiga kura kuridhia au kukataa kuiongezea muda zaidi Ugiriki kuipa msaada wa fedha

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani