Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCT yaombwa kutatua mgogoro Moravian

UONGOZI wa Kanisa la Moravian Jimbo la Kusini Magharibi umeamua kukutana na Kamati Teule ya Usuluhishi wa Migogoro ya Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) kuomba iingilie kati kufanya usuluhishi wa mgogoro unaoendelea kukabili kanisa hilo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CCT ASKOFU CHEYO AZINDUA UJENZI WA KANISA LA MORAVIAN TANZANIA USHIRIKA WA MABIBO JIJINI DAR ES SALAAM

Dkt. Rt. Alinikisa Cheyo Askofu wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi na Mwenyekiti wa Jumuia ya Kikristo Tanzania (CCT) Akikata keki  ishara  ya uzinduzi rasmi wa ujenzi wa Kanisa jipya la Moravian Tanzania, Ushirika wa Mabibo ambapo Ibada ya uzinduzi ilifanyika katika kanisa hilo Jijini Dar es Salaam. Dkt. Rt.  Alinikisa Cheyo Askofu wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi na Mwenyekiti wa Jumuia ya Kikristo Tanzania (CCT), Akitoa neno wakati wa uzinduzi...

 

5 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CCT ASKOFU CHEYO AZINDUA UJENZI WA KANISA JIPYA LA MORAVIAN TANZANIA USHIRIKA WA MABIBO JIJINI DAR ES SALAAM


Askofu wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi na Mwenyekiti wa Jumuia ya Kikristo Tanzania (CCT) Dkt. Rt. Alinikisa Cheyo  akikata keki  ishara  ya uzinduzi rasmi wa ujenzi wa Kanisa jipya la Moravian Tanzania, Ushirika wa Mabibo ambapo Ibada ya uzinduzi ilifanyika katika kanisa hilo Jijini Dar es Salaam. Askofu wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi na Mwenyekiti wa Jumuia ya Kikristo Tanzania (CCT), Dkt. Rt.  Alinikisa Cheyo Akitoa neno wakati wa...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Mgogoro wafukuta Moravian



Wachungaji, waumini wafunga ofisi ya AskofuKazi zasimama kwa saa nne, Polisi waingilia kati
NA SOLOMON MWANSELE, MBEYA
MGOGORO unaoendelea kufukuta ndani ya Kanisa la Moraviani Tanzania, Jimbo la Kusini Magharibi, umechukua sura mpya baada ya wachungaji na waumini kufunga ofisi ya Askofu Mkuu wa Kanisa hilo, Alinikisa Cheyo, kwa makufuli na minyororo.
Hatua hiyo imefikiwa ikiwa ni shinikizo la kumtaka Askofu Cheyo, ajiuzulu wadhifa huo kutokana na madai ya kumfukuza kazi Mwenyekiti wa jimbo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mgogoro Kanisa Moravian watua kwa msajili

KANISA la Moravian kupitia Kamati yake ya Mpito ya Jimbo la Misheni Mashariki imemwandikia barua Msajili wa Vyama na Taasisi za Dini aliyepo Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi...

 

11 years ago

Mwananchi

Wamtaka Tibaijuka kutatua mgogoro

>Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Byantanzi, wilayani Muleba, wamemuomba Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anna Tibaijuka,  kushughulikia  mgogoro wa ardhi inayodaiwa kuuzwa kwa mwekezaji.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kenya na TZ kutatua mgogoro wa kitalii

serikali za Tanzania na Kenya zitakutana mjini Arusha kutafuta suluhu ya mzozo kuhusu marufuku ya magari ya kitalii kutoka TZ.

 

11 years ago

Michuzi

MAASKOFU MORAVIAN WATINGA OFISINI KWA CHIKAWE,WAMUOMBA AINGILIE KATI MGOGORO NDANI YA KANISA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akizungumza na Maaskofu wa Kanisa la Moravian nchini baada ya kuwasikiliza malalamiko yao kuhusiana na migogoro ya wenyewe kwa wenyewe inayoendelea kwa muda mrefu katika Kanisa hilo. Maaskofu hao ambao walikuwa wanaongozwa na Askofu Mkuu wa Kanisa hilo, Alinikisa Cheyo walimuomba Waziri Chikawe aingilie kati kwa kudhibiti vurugu hizo ambazo zinazisambaratisha kanisa lao. Hata hivyo, Waziri Chikawe aliahidi kulifanyia kazi...

 

10 years ago

Mwananchi

Minja: Serikali haiwezi kutatua mgogoro uliopo

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara, Johnson Minja amesema hakuna dalili zinazoonyesha kuwa mgogoro uliopo kati ya wafanyabiashara na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) utaweza kumalizwa na Serikali iliyopo madarakani.

 

10 years ago

Mwananchi

Sudan Kusini wasaini makubaliano 43 ya kutatua mgogoro wao

Viongozi wa Chama tawala cha nchini Sudan Kusini, Sudan People Liberation Movement (SPLM) wametakiwa kuheshimu makubaliano 43 waliyosaini juzi usiku ili kusitishwa vita na kurejesha amani na kuifanyia marekebisho katiba ya nchi hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani