Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kenya na TZ kutatua mgogoro wa kitalii

serikali za Tanzania na Kenya zitakutana mjini Arusha kutafuta suluhu ya mzozo kuhusu marufuku ya magari ya kitalii kutoka TZ.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wamtaka Tibaijuka kutatua mgogoro

>Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Byantanzi, wilayani Muleba, wamemuomba Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anna Tibaijuka,  kushughulikia  mgogoro wa ardhi inayodaiwa kuuzwa kwa mwekezaji.

 

10 years ago

Habarileo

CCT yaombwa kutatua mgogoro Moravian

UONGOZI wa Kanisa la Moravian Jimbo la Kusini Magharibi umeamua kukutana na Kamati Teule ya Usuluhishi wa Migogoro ya Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) kuomba iingilie kati kufanya usuluhishi wa mgogoro unaoendelea kukabili kanisa hilo.

 

10 years ago

Mwananchi

Minja: Serikali haiwezi kutatua mgogoro uliopo

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara, Johnson Minja amesema hakuna dalili zinazoonyesha kuwa mgogoro uliopo kati ya wafanyabiashara na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) utaweza kumalizwa na Serikali iliyopo madarakani.

 

10 years ago

Mwananchi

Sudan Kusini wasaini makubaliano 43 ya kutatua mgogoro wao

Viongozi wa Chama tawala cha nchini Sudan Kusini, Sudan People Liberation Movement (SPLM) wametakiwa kuheshimu makubaliano 43 waliyosaini juzi usiku ili kusitishwa vita na kurejesha amani na kuifanyia marekebisho katiba ya nchi hiyo.

 

10 years ago

Michuzi

MAKONDA AKUTANA NA WANANCHI WA KAWE MZIMUNI KUTATUA MGOGORO WA ARDHI

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (katikati), akizungumza na wananchi wa Kawe Mzimuni alipofika kutatua mgogoro wa ardhi kati yao na taasisi moja ya kiislamu inayomiliki Shule ya Sekondari ya Seminari ya Qiblatain D $B iliyopo eneo hilo Dar es Salaam leo asubuhi. Katibu wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa eneo hilo Mgili Wambura alimwambia DC Makonda kuwa eneo hilo tangu zamani ilikuwa ni barabara hivyo wanashangaa kuvamiwa hivyo alimuomba Makonda kusaidia kuondoa mvutano...

 

10 years ago

Vijimambo

DC KINONDONI AKUTANA NA WANANCHI KAWE MZIMUNI KUTATUA MGOGORO WA ARDHI


 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (katikati), akizungumza na wananchi wa Kawe Mzimuni alipofika kutatua mgogoro wa ardhi kati yao na taasisi moja ya kiislamu inayomiliki Shule ya Sekondari ya Seminari ya Qiblatain D $B iliyopo eneo hilo Dar es Salaam leo asubuhi. Katibu wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa eneo hilo Mgili Wambura alimwambia DC Makonda kuwa eneo hilo tangu zamani ilikuwa ni barabara hivyo wanashangaa kuvamiwa hivyo alimuomba Makonda kusaidia kuondoa mvutano huo.

 

10 years ago

Michuzi

NASSAR AANDALIWA SHEREHE JIMBONI KWAKE, NI BAADA YA KUTATUA MGOGORO WA MAJI

Mbunge Joshua Nassar akiwa na mkewe Anande Nnko wakati wa sherehe ya kimila iliyoandaliwa na wananchi katika jimbo la Arumeru Mashariki baada ya kufanikiwa kumaliza mgogoro wa maji uliokuwepo katika baadhi ya vijiji.
Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki ,Joshua Nassar akiwahutubia wananchi wa kata ya Leguruki na King'ori baada ya kufanikiwa kuvunjwa kwa bodi ya maji uliokuwa ikihudumia vijiji 15 katika jimbo hilo.Mamia ya wananchi wakimsikiliza mbunge Joshua Nassar wakati akizungumza katika...

 

9 years ago

StarTV

TFF/ZFA Wakutana kujadili kutatua mgogoro wa kufuta kesi mahakamani.

Shirikisho la soka Tanzania (TFF) limekutana na Chama cha Soka Zanzibar (ZFA) kujadili mgogoro wa chama hicho baada ya baadhi ya wanachama kuwashtaki viongozi wa ZFA Mahakamani kwa madai ya ukiukaji wa katiba.

Kikao hicho kimefanyika Jijini Dar Es Salaam ikiwa na jitihada za TFF kutaka kutatua mgogoro huo ambapo hadi mwisho wa kikao, pande hizo zimekubaliana kufuta kesi hiyo mahakamani.

Soka la Zanzibar kwa sasa ni pasua kichwa.

Pasua kichwa hiyo inatokana Wazanzibar kupeleka soka lao katika...

 

5 years ago

Michuzi

Waziri Bashungwa ahaidi kutatua mgogoro wa kiwanda cha Happy Sausages Arusha

Na Woinde Shizza, ArushaWAZIRI wa viwanda,biashara na masoko, Innocent Bashungwa ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(Takukuru) mkoani Arusha  kufanya maamuzi ya haki na usawa katika uchunguzi wa mgogoro wa kiwanda cha kuchakata,kusindika na kufungasha nyama cha Happy Sausages kilichopo jijini Arusha.
Bashungwa, ametoa kauli hiyo leo alipofanya ziara ya kutembelea kiwanda hicho huku akiongoza na mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo.
Akizungumza kiwandani hapo Bashungwa amesema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani