Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgogoro wafukuta Moravian



Wachungaji, waumini wafunga ofisi ya AskofuKazi zasimama kwa saa nne, Polisi waingilia kati
NA SOLOMON MWANSELE, MBEYA
MGOGORO unaoendelea kufukuta ndani ya Kanisa la Moraviani Tanzania, Jimbo la Kusini Magharibi, umechukua sura mpya baada ya wachungaji na waumini kufunga ofisi ya Askofu Mkuu wa Kanisa hilo, Alinikisa Cheyo, kwa makufuli na minyororo.
Hatua hiyo imefikiwa ikiwa ni shinikizo la kumtaka Askofu Cheyo, ajiuzulu wadhifa huo kutokana na madai ya kumfukuza kazi Mwenyekiti wa jimbo...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mgogoro wa uongozi wafukuta Arusha

MGOGORO wa uongozi mkoani Arusha umefikia hatua mbaya ambapo sasa ni wazi Mkurugenzi wa Jiji, Sipora Liana, hawezi kuiva chungu kimoja na Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Meya na Baraza la Madiwani. Mkuu wa Mkoa, Magesa Mulongo amegonga mwamba baada ya Liana kupuuza agizo lake alilotaka litekelezwe ndani ya siku sita.

 

11 years ago

Mwananchi

Mgogoro Kiwanda cha kahawa Moshi wafukuta

Kiwanda cha Kukoboa Kahawa cha Tanganyika (TCCCO) kimeshikilia msimamo wake wa kuuza baadhi ya majengo yake ili kununua mitambo mipya na ya kisasa ya kukoboa kahawa.

 

10 years ago

Habarileo

CCT yaombwa kutatua mgogoro Moravian

UONGOZI wa Kanisa la Moravian Jimbo la Kusini Magharibi umeamua kukutana na Kamati Teule ya Usuluhishi wa Migogoro ya Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) kuomba iingilie kati kufanya usuluhishi wa mgogoro unaoendelea kukabili kanisa hilo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mgogoro Kanisa Moravian watua kwa msajili

KANISA la Moravian kupitia Kamati yake ya Mpito ya Jimbo la Misheni Mashariki imemwandikia barua Msajili wa Vyama na Taasisi za Dini aliyepo Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi...

 

11 years ago

Michuzi

MAASKOFU MORAVIAN WATINGA OFISINI KWA CHIKAWE,WAMUOMBA AINGILIE KATI MGOGORO NDANI YA KANISA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akizungumza na Maaskofu wa Kanisa la Moravian nchini baada ya kuwasikiliza malalamiko yao kuhusiana na migogoro ya wenyewe kwa wenyewe inayoendelea kwa muda mrefu katika Kanisa hilo. Maaskofu hao ambao walikuwa wanaongozwa na Askofu Mkuu wa Kanisa hilo, Alinikisa Cheyo walimuomba Waziri Chikawe aingilie kati kwa kudhibiti vurugu hizo ambazo zinazisambaratisha kanisa lao. Hata hivyo, Waziri Chikawe aliahidi kulifanyia kazi...

 

11 years ago

Mwananchi

Mvutano wa kikatiba wafukuta AFP

Mgongano zaidi umejitokeza kwenye Chama cha Alliance of Tanzania Farmers (AFP) baada ya Katibu Mkuu wa chama hicho, Rashid Rai kusema kwamba hakuna kifungu cha katiba yao kinachoruhusu kumfukuza mwanachama bila ya baraka za Mkutano Mkuu wa Taifa

 

11 years ago

Tanzania Daima

18 wavuliwa uchungaji Moravian

ASKOFU wa Kanisa la Moravian Tanzania, Jimbo la Kusini, Dk. Lusekelo Mwakafwila, amewavua uchungaji waamini 18 wa kanisa hilo baada ya kuridhika kwamba walikaidi uamuzi halali wa Sinodi na kufanya...

 

11 years ago

Mwananchi

Kanisa Moravian lasaidia

Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi Ushirika wa Chunya Mjini, limetumia zaidi ya Sh6 milioni kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya shule kwa watoto 100 yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi.

 

11 years ago

GPL

WAUMINI MORAVIAN KIZIMBANI TENA

Watuhumiwa wakienda kusomewa mashitaka. Akina mama ambao ni waumini wa Kanisa la Moravian wakificha sura zao wakati wakitoka mahakamani. (Picha na…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani