Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAUMINI MORAVIAN KIZIMBANI TENA

Watuhumiwa wakienda kusomewa mashitaka. Akina mama ambao ni waumini wa Kanisa la Moravian wakificha sura zao wakati wakitoka mahakamani. (Picha na…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Waumini Moravian kizimbani kwa kujeruhi

WAUMINI watatu wa Kanisa la Moravian Dar es Salaam wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kujibu mashitaka ya kumjeruhi askari wa Jeshi la Polisi.

 

11 years ago

GPL

WAUMINI KANISA LA MORAVIAN WAZUA TIMBWILI

Waumini wa Kanisa la Moravian wakizozana wakati wa vurugu hizo. Gari la polisi likiwasili eneo la kanisa.…

 

11 years ago

GPL

WAUMINI 30 WA KANISA LA MORAVIAN KORTINI KWA VURUGU

Hii ni safari ya kwenda kusomewa mashitaka yao.
Akina mama wakificha sura zao baada ya kutoka mahakamani.
Watuhumiwa wakiingizwa mahakamani.  …

 

11 years ago

Michuzi

BARAZA LA WAZEE KANISA LA MORAVIAN TABATA LAWATOA HOFU WAUMINI, LAKANUSHA TAARIFA YA KUZUILIWA KWA IBADA

Wakili wa kujitegemea wa Baraza la wazee wa kanisa la Moravian Usharika wa Tabata Bw. Benjamin Mwakambe akiongea na waandishi wa habari kuhusu amri ya iliyotolewa na mahakama kuzuia Bodi ya wadhamini wa kanisa la Moravian Kanda ya Kusini kusimamisha huduma za kiroho na kijamii katika eneo hilo. Wengine ni Mzee Kiongozi wa Usharika huo Bw.Ernest Isakwisa(kulia) na Hamphrey Mgema (kushoto) Baadhi ya Wazee wa Kanisa la Moravian usharika wa Tabata wakifuatilia masuala mbalimbali wakati wa...

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: SHEKHE WA MKOA WA TABORA NA WAUMINI WATANO WAPANDISHWA KIZIMBANI

Na Allan Ntana, Tabora   SHEKHE wa mkoa wa Tabora Salum Shaban Salum na waumini wenzake watano  wamefikishwa kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi mkoani hapa akikabiliwa na shitaka la kufanya fujo katika msikiti wa Ijumaa mkoani hapa.   Wakili wa serikali Juliana Changalawe akisoma mashitaka hayo mbele ya hakimu mfawidhi wa mkoa wa Tabora Issa Magoli alidai kuwa watuhumiwa hao kwa pamoja walitenda kosa hilo mnamo tarehe 14 Juni 2014 katika msikiti mkuu wa Ijumaa uliopo eneo la Gongoni...

 

10 years ago

GPL

CHID BENZ KIZIMBANI TENA

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Rashid Makwiro ’Chid Benz’ leo amepandishwa tena kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kufuatia kesi yake ya kukamatwa na madawa ya kulevya kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Kesi ya staa huyo imeahirishwa mpaka Januari 15, 2015 itakapotajwa tena.

 

10 years ago

GPL

KIBONDE, GARDNER KIZIMBANI TENA

Watangazaji Ephraim Kibonde (wa pili kushoto) na mwenzake Gardner Habash (wa tatu kulia) wakielekea kizimbani katika Mahakama ya Wilaya Kinondoni jijini Dar. (Picha na Maktaba)
WATANGAZAJI Ephraim Kibonde wa Clouds FM na mwenzake, Gardner Habash wa Times FM leo wamepandishwa kizimbani tena katika Mahakama ya Wilaya Kinondoni jijini Dar kwa kusababisha ajali, kutotii amri ya polisi na kutoa lugha ya matusi....

 

9 years ago

GPL

MADAI YA KUMUUA KANUMBA, LULU KIZIMBANI TENA


Stori: Na Brighton Masalu MAMBO yameiva! Nyota wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ (20) yu mbioni kupanda tena Kizimba cha Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kwa ishu yake ile ya madai ya kumuua bila kukusudia aliyekuwa msanii wa filamu nchini, marehemu , Amani lina ripoti mkononi. Nyota wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’. Kwa mujibu wa chanzo chetu kutoka ndani ya...

 

9 years ago

Bongo Movies

Madai ya Kumuua Kanumba…Lulu Kizimbani Tena

MAMBO yameiva! Nyota wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ (20) yu mbioni kupanda tena Kizimba cha Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kwa ishu yake ile ya madai ya kumuua bila kukusudia aliyekuwa msanii wa filamu nchini, marehemu Steven Charles Kanumba ‘The Great’, Amani lina ripoti mkononi.

Kwa mujibu wa chanzo chetu kutoka ndani ya mahakama hiyo jijini Dar, kesi hiyo ilisimama kwa muda wa mwaka mmoja na zaidi kutokana na matatizo yaliyo nje ya uwezo wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani