NEWS ALERT: SHEKHE WA MKOA WA TABORA NA WAUMINI WATANO WAPANDISHWA KIZIMBANI
Na Allan Ntana, Tabora SHEKHE wa mkoa wa Tabora Salum Shaban Salum na waumini wenzake watano wamefikishwa kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi mkoani hapa akikabiliwa na shitaka la kufanya fujo katika msikiti wa Ijumaa mkoani hapa. Wakili wa serikali Juliana Changalawe akisoma mashitaka hayo mbele ya hakimu mfawidhi wa mkoa wa Tabora Issa Magoli alidai kuwa watuhumiwa hao kwa pamoja walitenda kosa hilo mnamo tarehe 14 Juni 2014 katika msikiti mkuu wa Ijumaa uliopo eneo la Gongoni...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziNEWS ALERT: WATUMISHI NANE WA TRA WAPANDISHWA KIZIMBANI LEO
MAOFISA wanane wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), akiwemo Kamishna wa Forodha wa mamlaka hiyo Tiagi Masamaki (56) wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kutoa makontena 329 bandarini bila ya kulipiwa kodi na kuisababishia Serikali hasara ya sh. bilioni 12.7 za kitanzania.
Ukimuondoa ...
11 years ago
Michuzi10 Feb
news alert: watano wapanda kizimbani kwa mashtaka ya usambazaji wa Dawa feki za kurefusha maisha kwa waathirika wa Ukimwi
11 years ago
Michuzi
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mkurugenzi wa Manispaa ya Tabora wapandishwa kizimbani Baraza la Maadili.

Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Mrisho Mashaka Gambo leo amefikishwa mbele ya Baraza la Maadili ili kujibu tuhuma...
10 years ago
Michuzi
NEWS ALERT: KAFULILA APANDISHWA KIZIMBANI KWA KUMTUKANA MKUU WA WILAYA

MBUNGE wa Jimbo la Kigoma Kusini Mhe. David Kafulila amepandishwa kizimbani katika mahakama ya Wilaya ya Kigoma kujibu shitaka la kutumia lugha ya matumisi dhidi ya Mkuu wa Wilaya Uvinza Khadija Nyembo.
Kafulila alifikishwa mahakamani hapo majira ya saa mbili asubuhi akiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi.
Mbele ya Hakimu David Ngunyale,Wakili wa Serekali Marysinta Lazaro alidai kuwa Kafulila alitenda kosa hilo tarehe 1 mwezi wa 8 mwaka 2013 katika kata...
11 years ago
Michuzi
NEWS ALERT: MUME WA FROLA MBASHA APANDISHWA KIZIMBANI kWA KESI YA UBAKAJI

11 years ago
Michuzi07 Feb
News alert: watu 12 raia wa iran na pakistani kizimbani kwa kukutwa na 'sembe' kilo 200.5 bahari kuu
10 years ago
Mtanzania23 Jan
DC, mkurugenzi wapandishwa kizimbani
NA VICTOR BARIETY, GEITA TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imewapandisha kizimbazi katika Mahakama ya Wilaya ya Chato, Mkuu wa Wilaya ya Uvinza, Hadija Nyembo na aliyekuwa Mkurugenzi wa Wilaya ya Chato, Hamida Kwikega, kwa tuhuma za upotevu wa Sh bilioni 1.4 za pembejeo za kilimo zilizotolewa na Serikali kupitia Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika. Mbali na viongozi hao, wengine waliofikishwa mahakamani hapo jana ni Ofisa Kilimo na Mifugo wa Wilaya ya Chato, Phares...
11 years ago
Mwananchi04 Apr
Kigwangwalla, wenzake wapandishwa kizimbani
11 years ago
Tanzania Daima25 Mar
Raia wa Vietnam wapandishwa kizimbani
WATU watatu raia wa Vietnam wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi kwa tuhuma za kuingia kwenye makazi ya wakimbizi ya Katumba, Wilaya ya Mlele, mkoani...