Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC, mkurugenzi wapandishwa kizimbani

NA VICTOR BARIETY, GEITA TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imewapandisha kizimbazi katika Mahakama ya Wilaya ya Chato, Mkuu wa Wilaya ya Uvinza, Hadija Nyembo na aliyekuwa Mkurugenzi wa Wilaya ya Chato, Hamida Kwikega, kwa tuhuma za upotevu wa Sh bilioni 1.4 za pembejeo za kilimo zilizotolewa na Serikali kupitia Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika. Mbali na viongozi hao, wengine waliofikishwa mahakamani hapo jana ni Ofisa Kilimo na Mifugo wa Wilaya ya Chato, Phares...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MKURUGENZI WA ZAMANI WA TANESCO, MKEWE WAPANDISHWA KIZIMBANI

Askari kanzu akitanua njia wakati Mhando (mwenye shati jeupe) akipelekwa kizimbani. Mhando (kushoto) na wenzake wakitoka mahakamani.…

 

10 years ago

Michuzi

Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mkurugenzi wa Manispaa ya Tabora wapandishwa kizimbani Baraza la Maadili.

Mwenyekiti wa Baraza la Maadili Mhe. Balozi Jaji (Mst.) Hamisi Msumi katikati akiwa na Wajumbe wa Baraza hilo Bibi Selina Wambura kushoto na Bibi Hilda Gondwe kulia kabla ya kuanza kusikiliza Mashauri ya ukiukwaji wa Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma yaliyowasilishwa na Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma.Na Ally Mataula, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma.
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Mrisho  Mashaka Gambo leo amefikishwa mbele ya Baraza la Maadili ili kujibu tuhuma...

 

11 years ago

Mwananchi

Kigwangwalla, wenzake wapandishwa kizimbani

Mbunge wa Nzega, Dk. Hamis Kigwangwalla na wenzake 11 wamefikishwa mahakamani wilayani Nzega, mkoani Tabora wakikabiliwa na mashtaka matatu ya uharibifu wa mali na kufanya mkutano bila kibali.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Kibonde, Gardner wapandishwa kizimbani


NA JESSICA KILEO
WATANGAZAJI wawili, akiwemo Ephraim Kibonde wa Kituo cha Redio cha Clouds, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, kujibu mashitaka mawili, likiwemo la kumtukana ofisa wa polisi.
Kibonde (42) na Gardner Habash (41), walifikishwa mahakamani hapo jana na kupandishwa kizimbani mbele ya Hakimu Mfawidhi, Anicieta Wambura.

Wakili wa Serikali Salum Ahamed, alidai kuwa Agosti 9, mwaka huu, katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay, wilayani Kinondoni, washitakiwa...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Wafuasi 30 wa CUF wapandishwa kizimbani


NA FURAHA OMARY
WAFUASI 30 wa Chama cha CUF, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka matatu, likiwemo la kufanya mgomo baada ya kukatazwa kukusanyika na kuandamana.
Washitakiwa hao walisomewa mashitaka hayo jana mbele ya Hakimu Mkazi, Emmilius Mchauru na kupelekwa rumande katika gereza la Segerea, kutokana na barua za wadhamini kutakiwa kuhakikiwa.
Kwa mujibu wa hati ya mashitaka, washitakiwa hao ni Shabani Ngurangwa (56), Shabani Tano au...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Raia wa Vietnam wapandishwa kizimbani

WATU watatu raia wa Vietnam wamepandishwa kizimbani  katika Mahakama ya Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi kwa tuhuma za kuingia kwenye makazi ya wakimbizi ya Katumba, Wilaya ya Mlele, mkoani...

 

11 years ago

GPL

WATUHUMIWA 19 WA UGAIDI WAPANDISHWA KIZIMBANI JIJINI ARUSHA

Baadhi ya watuhumiwa wa ugaidi wakiwa chini ya ulinzi katika mahakama ya hakimu mkazi Arusha leo. Ulinzi mkali ukiwa umeimarishwa.…

 

11 years ago

Mwananchi

SHERIA: Watu sita wapandishwa kizimbani kwa ugaidi

>Watuhumiwa sita wa matukio ya ugaidi katika Jiji la Arusha jana walipandishwa kizimbani wakiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi kujibu tuhuma za kufanya matendo ya kigaidi.

 

9 years ago

StarTV

Askari Waliodaiwa kuuwa sinza wapandishwa kizimbani Dar

 

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imewapandisha kizimbani Askari sita wa Kikosi Maalum cha kudhibiti na kupambana na ujangili wakikabiliwa na tuhuma za makosa mawili ya mauaji.

Katika kesi hiyo inayosikilizwa na Hakimu Mkazi Thomas Simba wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inadaiwa Askari hao kwa pamoja walifanya mauaji hayo ya wafanyabiashara Yasin Rajab Rashid na Samson Michael ‘Ngosha’ tukio lililofanyika Dar es Salaam.

Katika kesi hiyo ambayo ilionekana kuendeshwa kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani