Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mvutano wa kikatiba wafukuta AFP

Mgongano zaidi umejitokeza kwenye Chama cha Alliance of Tanzania Farmers (AFP) baada ya Katibu Mkuu wa chama hicho, Rashid Rai kusema kwamba hakuna kifungu cha katiba yao kinachoruhusu kumfukuza mwanachama bila ya baraka za Mkutano Mkuu wa Taifa

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Uhuru Newspaper

Mgogoro wafukuta Moravian



Wachungaji, waumini wafunga ofisi ya AskofuKazi zasimama kwa saa nne, Polisi waingilia kati
NA SOLOMON MWANSELE, MBEYA
MGOGORO unaoendelea kufukuta ndani ya Kanisa la Moraviani Tanzania, Jimbo la Kusini Magharibi, umechukua sura mpya baada ya wachungaji na waumini kufunga ofisi ya Askofu Mkuu wa Kanisa hilo, Alinikisa Cheyo, kwa makufuli na minyororo.
Hatua hiyo imefikiwa ikiwa ni shinikizo la kumtaka Askofu Cheyo, ajiuzulu wadhifa huo kutokana na madai ya kumfukuza kazi Mwenyekiti wa jimbo...

 

11 years ago

Habarileo

Mgogoro wa uongozi wafukuta Arusha

MGOGORO wa uongozi mkoani Arusha umefikia hatua mbaya ambapo sasa ni wazi Mkurugenzi wa Jiji, Sipora Liana, hawezi kuiva chungu kimoja na Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Meya na Baraza la Madiwani. Mkuu wa Mkoa, Magesa Mulongo amegonga mwamba baada ya Liana kupuuza agizo lake alilotaka litekelezwe ndani ya siku sita.

 

11 years ago

Mwananchi

Mgogoro Kiwanda cha kahawa Moshi wafukuta

Kiwanda cha Kukoboa Kahawa cha Tanganyika (TCCCO) kimeshikilia msimamo wake wa kuuza baadhi ya majengo yake ili kununua mitambo mipya na ya kisasa ya kukoboa kahawa.

 

10 years ago

GPL

AFP CHAMSIMAMISHA KATIBU MKUU WAKE

Mkurugenzi wa Uenezi na Habari wa AFP, Mwarami Uwesu (wa kwanza kushoto) akitoa tamko.  Mkurugenzi wa Vijana Taifa ni Kilasa Mohamed (wa pili kulia) na Makamu Mwenyekiti, Omary  Sombi. Wanahabari wakifuatilia tamko hilo. Viongozi hao wakitafakari kujiabu maswali kutoka kwa wanahabari. CHAMA…

 

9 years ago

Habarileo

AFP wasifu kasi ya Rais Magufuli

CHAMA cha siasa cha Alliance for Tanzania Farmers (AFP) kimetoa pongezi kwa Rais John Magufuli na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwa kasi ya utendaji kazi ambayo wameionesha na kuleta matumaini kwa wananchi.

 

9 years ago

Mwananchi

AFP yazindua kampeni, yaahidi usawa katika ajira

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wakulima (AFP), Said Soud Said amesema madhumuni ya kugombea nafasi hiyo ni kutaka kuondoa mfumo mbovu wa upatikanaji wa ajira visiwani hapa.

 

11 years ago

Michuzi

MGOMBEA WA AFP CHALINZE RAMADHANI MGAYA AJINADI KWA WANANCHI

 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kupitia chama cha AFP, Ramadhani Mgaya akinadiwa na  Mkurugenzi wa habari na uenezi wa AFP kitaifa, Mwalami Uwesu wakati wa kampeni za mgombea huyo katika ebneo la sokoni Chalinze mjini Kata ya Bwilingu Chalinze.  Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kupitia chama cha AFP, Ramadhani Mgayaakijinadi kwa wananchi wa jimbo la Chalinze wakati wa kampeni zake za kuwania Ubunge jimboni humo.

 

10 years ago

Vijimambo

Mwenyekiti wa Chama cha Wakulima AFP, Said Soud Said, Atangaza Nia kugombea Urais 2015

Mwenyekiti wa Chama cha Wakulima AFP Mhe Said Soud Said, akiwasili katika viwanja vya Idara ya Habari Maelezo Rahaleo kutangaza nia na kulaaani kitendo cha Mawaziri wa kutoka CUF kususia Kikao cha baraza la Wawakilishi Zanzibar, akiongozana na Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa AFP Ndg Shaibu MasoudMhe Said Soud Said akisisitiza jambo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali kuhusiana na kutangaza Nia ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama chake cgha AFP, Na kulani...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakulima watambulike kikatiba — Matango

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Reuben Matango, ametaka kundi la wakulima kutambuliwa kisheria na kuingizwa katika Katiba mpya tofauti na ilivyo sasa. Akizungumza na Tanzania Daima muda mfupi baada...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani