Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AFP yazindua kampeni, yaahidi usawa katika ajira

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wakulima (AFP), Said Soud Said amesema madhumuni ya kugombea nafasi hiyo ni kutaka kuondoa mfumo mbovu wa upatikanaji wa ajira visiwani hapa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

CUF yaahidi kufanya kampeni za kistaarabu

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimesema kwamba kitahakikisha kinafanya kampeni za kistaarabu na kuweka wazi sera zake bila ya kukaribisha malumbano ambayo yatasababisha kujenga mazingira ya chuki na uhasama.

 

10 years ago

BBCSwahili

Nyota wa Suffragette atetea usawa katika filamu

Mwigizaji Meryl Streep amesema ni jambo la “kuudhi sana” kwamba wengi wa watathmini wa filamu huwa ni wanaume.

 

5 years ago

Michuzi

ITALIA YAAHIDI KUWEKEZA KATIKA HIFADHI YA MAZINGIRA

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mussa Azzan Zungu akisalimiana na Balozi wa Italia nchini Tanzania Mhe. Roberto Mengoni mara baada ya kuwasili katika Ofisi ndogo ya Makamu wa Rais, Mtaa wa Luthuli Dar es Salaam. Mazungumzo baina yao yamejikita katika nyanja za kuhifadhi na kusimamia mazingira nchini. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mussa Azzan Zungu akizungumza na Balozi wa Italia nchini Tanzania Mhe. Roberto Mengoni...

 

5 years ago

Michuzi

WANAWAKE TANESCO WASISITIZA USAWA WA KIJINSI KATIKA NGAZI ZA KIMAAMUZI

 Wafanyakazi Wanawake wa Shirika la Umeme nchini (Tanesco) wakiwa kwenye maandamano kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambapo Kimkoa wa Dodoma yamefanyika katika Shule ya Msingi ya Mkonze jijini Dodoma.Wafanyakazi Wanawake wa Shirika la Umeme nchini Tanesco wakiwa kwenye picha ya pamoja katika maadhimisho ya siku ya wanawake ambayo mkoani Dodoma yamefanyika jijini Dodoma.Wanafunzi wa Shule ya Msingi Amani jijini Dodoma wakiwa kwenye maandamano katika viwanja vya Mkonze katika...

 

11 years ago

Mwananchi

Tuna safari ndefu katika kuchochea mabadiliko, kuleta usawa wa kijinsia

Kwanza niwape pongezi wanawake wote duniani kwa kuadhimisha siku yao.Pili napenda nitumie nafasi hii kuangalia hali ya wanawake tabaan katika maeneo mbalimbali duniani.

 

9 years ago

Michuzi

HUAWEI YAZINDUA KAMPENI YA “JIEKOTISHE”

Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Huawei Tanzania, Samson Majwala (katikati) na akionyesha Mkuu wa Bidhaa za Rejareja, Sylvester Manyara wakionyesha kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) simu zilizoingia kwenye kampeni maalum ya Msimu wa Sikukuu ijulikanayo kama “Jiekotishe na Huawei”, wakati wa uzinduzi wake uliofanyika leo Jijini Dar es salaam. Kulia Meneja Masoko wa Kampuni ya Huawei Tanzania, Lyidia Wangari.Meneja Masoko wa Kampuni ya Huawei Tanzania, Lyidia Wangari,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

NMB yazindua kampeni ya Jihudumie

BENKI ya NMB imezindua kampeni ya Jihudumie yenye lengo la kumwezesha mteja kupata huduma kirahisi kwa kujihudumia mahali alipo. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana wakati wa uzinduzi wa huduma...

 

11 years ago

Mwananchi

Benki yazindua kampeni ufanisi

Benki ya Exim imezindua kampeni maalumu maarufu kama Power of Service, inayolenga kuongeza ufanisi wa benki hiyo hususan utoaji huduma.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani